Lowassa, Zitto, Maalim Seif na Fatuma Karume wakutana Zanzibar

Wote hawa "Fyekelea mbali, Sukuma ndani, hata hako kam,ama kanaimba "Nchikichi nchikichi", sweka ndani hadi mwezi March 2019." Poleni makamanda. Naona upungufu mkubwa sana, Mbowe, Mwalim sijui na nani tena hapo. 2019 ndo inaanza hivyo. Uchaguzi wa madiwani mtaukataa au?
Wewe unatumiwa kama dekio kwa kushangilia ccm wakati huyo bi Fatuma amekulia ikulu lkn leo hii anaikosoa ccm ndiyo ujijue kuwa wewe ni zuzu tu
 
Safi sana lazima wakutane na watu walio na uchungu na nchi sio akina Fatma kuchwa wanahangaiak na mabeberu tu. Hapo Sumaye .. Lowasa .Duni. n.k lazima waambie hao vijana wadogo maana ya uhuru. Sio kuchwa mko tweeta tu. Subiri kama utawasikia tena na ngojera zao. Uhuru lazima ulindwe.
Wewe na Fatuma nani anaijua na aliyenufaika sana na ccm?
 
Wote hawa "Fyekelea mbali, Sukuma ndani, hata hako kam,ama kanaimba "Nchikichi nchikichi", sweka ndani hadi mwezi March 2019." Poleni makamanda. Naona upungufu mkubwa sana, Mbowe, Mwalim sijui na nani tena hapo. 2019 ndo inaanza hivyo. Uchaguzi wa madiwani mtaukataa au?
Woga na hofu mnaogopa hata mikutano kweli ccm bila polisi ni wepesi
 
niliweka uzi mapema sana kuhusu hili lakini kabla sijaedit moderator mnoko aliuhamishia kwenye Jamiiphoto ! je alilenga kuficha habari ile ?
 
Ccm wameingizwa chaka mchezo wa Mbowe kuruka dhamana ili awekwe ndani mabeberu watoe tamko.
 
Back
Top Bottom