Lowassa, Zitto, Maalim Seif na Fatuma Karume wakutana Zanzibar

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Pamoja na kwamba Jecharism iliathiri siasa za visiwani tangu 2015, Zanzibar ni mahala nafuu kwa kufanya mikutano ya kisiasa kuliko bara. Mkutano uliofanyika leo ungefanyika bara, viongozi hao wangekuwa "behind bars" hivi sasa kama alivyofanyiwa Salum Mwalimu.

Hali inavyoendelea inanikumbusha kauli moja kwa waliosoma literature; ...it's better if we waited... na ...we are free to move but in a cage... (Rejea Betrayal In The City). Uongozi wa Boss na mteule wake mshauri wa karibu (mjomba) Mulili na wateule wengine kama Mzee Tumbo, hawakuifikisha nchi yao salama. Walichojali ni matumbo yao tu. Wazazi wanalia watoto wao kuuawa na dola kama Doga na Nina wanavyolilia mtoto wao Adika. Je, ni wazazi wangapi wanalilia watoto wao walopotezwa? Walio kinyume na serikali wanapotezwa kama Kabito. Je, ni viongozi na raia wangapi wamepotezwa kwa kumpinga Bwana yule? Tunahitaji vijana shupavu kama Jere, Mosses wa Tonga, Jusper na Regina. "We must work together to bring down the Boss" (MAONI HAYAHUSIANI NA HABARI)

HABARI KAMILI HII HAPA.
Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wamejichimbia visiwani Zanzibar kwa ajili ya kupatiana mafunzo mbalimbali juu ya mwenendo wa siasa na demokrasia.

Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi, pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa na Kiongozi wa ACT - Wazalendo Zitto Kabwe.
Screenshot_20181217-233812.png

Mbali na hao, viongozi wengine walionekana na Rais wa Chama Cha Mawakili Tanzania, (TLS) Fatma Karume pamoja viongozi wengine mashuhuri nchini ambapo imeelezwa walijadili juu ya mwenendo wa hali ya kisiasa nchini.
Screenshot_20181217-233843.png

Akizungumza na www.eatv.tv Kaimu Msemaji wa chama cha CUF, Mbarara Mahagande amesema kikao hicho kimeandaliwa na taasisi ya marekani IRI kupitia kwa Katibu wa CUF, Maalim Seif. " Ni kweli kuna semina inafanyika ya viongozi wa vyama inafanyika Zanzibar ambayo inafanyika kwa siku tatu, na aliyewaalika ni Katibu Mkuu wetu Maalim Seif na imeandaliwa na taasisi ya IRSA, watu wa democratic ya America ," amesema Maharagande.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Maalim Seif aliandika " ni heshima kubwa kwangu na kwa CUF kuandaa na kuwa mwenyeji wa kikao cha kutathmini demokrasia yetu na kujitathmini sisi wenyewe kama vyama vya upinzani na mwelekeo wetu. "

Source:
Siri ya vigogo Upinzani kukutana Zanzibar | East Africa Television.
 
Attachments

  • Screenshot_20181217-233812.png
    Screenshot_20181217-233812.png
    102.1 KB · Views: 65
Kama namuona Jiwe lilivyofura nahisi kiongozi aliyepandikizwa huko visiwani kashambuliwa na maneno kama mtoto mdogo juu ya kuruhusu huu mkutano.
Natabiri kesho hakutakuwa na hiki kikao tena japo kilipangwa kuwa cha siku tatu.
Ukiwa dhalimu hata kivuli chako unakiogopa. Maskini Jiwe anakosa imani hata na nafsi yake mwenyewe.
Nahisi kwa sasa anamuamini mganga wake wa kienyeji tu.
Jiwe amekuwa kama adui wa movie za kihindi, ana mikwara mingi lakini muoga balaa.
 
Pamoja na kwamba Jecharism iliathiri siasa za visiwani tangu 2015, Zanzibar ni mahala nafuu kwa kufanya mikutano ya kisiasa kuliko bara. Mkutano uliofanyika leo ungefanyika bara, viongozi hao wangekuwa "behind bars" hivi sasa kama alivyofanyiwa Salum Mwalimu.

Hali inavyoendelea inanikumbusha kauli moja kwa waliosoma literature; ...it's better if we waited... na ...we are free to move but in a cage... (Rejea Betrayal In The City). Uongozi wa Boss na mteule wake mshauri wa karibu (mjomba) Mulili na wateule wengine kama Mzee Tumbo, hawakuifikisha nchi yao salama. Walichojali ni matumbo yao tu. Wazazi wanalia watoto wao kuuawa na dola kama Doga na Nina wanavyolilia mtoto wao Adika. Je, ni wazazi wangapi wanalilia watoto wao walopotezwa? Walio kinyume na serikali wanapotezwa kama Kabito. Je, ni viongozi na raia wangapi wamepotezwa kwa kumpinga Bwana yule? Tunahitaji vijana shupavu kama Jere, Mosses wa Tonga, Jusper na Regina. "We must work together to bring down the Boss" (MAONI HAYAHUSIANI NA HABARI)

HABARI KAMILI HII HAPA.
Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wamejichimbia visiwani Zanzibar kwa ajili ya kupatiana mafunzo mbalimbali juu ya mwenendo wa siasa na demokrasia.

Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi, pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa na Kiongozi wa ACT - Wazalendo Zitto Kabwe.

Mbali na hao, viongozi wengine walionekana na Rais wa Chama Cha Mawakili Tanzania, (TLS) Fatma Karume pamoja viongozi wengine mashuhuri nchini ambapo imeelezwa walijadili juu ya mwenendo wa hali ya kisiasa nchini.

Akizungumza na www.eatv.tv Kaimu Msemaji wa chama cha CUF, Mbarara Mahagande amesema kikao hicho kimeandaliwa na taasisi ya marekani IRI kupitia kwa Katibu wa CUF, Maalim Seif. " Ni kweli kuna semina inafanyika ya viongozi wa vyama inafanyika Zanzibar ambayo inafanyika kwa siku tatu, na aliyewaalika ni Katibu Mkuu wetu Maalim Seif na imeandaliwa na taasisi ya IRSA, watu wa democratic ya America ," amesema Maharagande.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Maalim Seif aliandika " ni heshima kubwa kwangu na kwa CUF kuandaa na kuwa mwenyeji wa kikao cha kutathmini demokrasia yetu na kujitathmini sisi wenyewe kama vyama vya upinzani na mwelekeo wetu. "

Source:
Siri ya vigogo Upinzani kukutana Zanzibar | East Africa Television.
Mtasubiri sana kwa Maalimu seif na Lowasa wale mali ya serikali wanajua wanachofanya halafu nyie ngogwa mnadanganyanga kumuindoa rais. Hahaha
 
Mmmmmh
 
Waliorudi nyuma kwa kweli ni wezi serikalini, wapiga dili, wazembe kazini na wala rushwa ! Ambao mheshimiwa raisi amepambana nao kisawasawa. Njia ya maendeleo ina vikwazo na kukatishana tamaa, hili liko wazi.
 
"The next time you call me your friend you will lose your teeth,what do you think makes me feel am better than you? am out you are inside if that does not make sense to you something else will"
-Askari
Note this
"it doesn't pay to have a hot mouth"
BETRAYAL IN THE CITY
 
hao wote ni watumishi wa umma... na kiongozi wao au boss wao yupo pale magogoni hivyo Hanna shida wala wasiwasi...

hacha wafuasi wakanyagane lakini wakimaliza kikao wanaenda kuandika report na kuwasilisha kwa boss...!

Viva JMT... Viva JPM...
 
Maalim Seif Kapewa Beki Mwenye pafu Za Mbwa Ibraheem Lipumba a.k.a Roberto Carlos

Left wing Edward Lowassa yupo Huko Kwa Mkopo

Zitto Kabwe Ni Kama Veron kusambaza Mpira uwanjan japo Pia anasaidia kuiba Siri Za Timu yake Na Kupeleka Kwa Wapinzani kutokana Na Uzalendo wake
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom