Lowassa, Zitto, Maalim Seif na Fatuma Karume wakutana Zanzibar

haha mkuu mbona unaandika maneno ambayo sijayaandika? wapi nimeandika "what di you think make me your friend? mimi nimeandika "what do you think makes me feel am better than you" hayo uliyoandika umeyatoa wapi? au unalazimisha errors? wonderful enough! ina maana mkuu haujui maana ya "am out"?
Maneno yote niliyoandika nimeyaquote kutoka kitabu cha BETRAYAL IN THE CITY nenda kasome halafu ulinganishe na nilichoandika uone kama nimekosea sio kukurupuka.
Kwa taarifa yako kiswahiki kinanipa tabu kuandika kuliko english and i never apply word to word translation.
Sorry mkuu. Ila nachoelewa labda umekosea ku copy. Kuna neno I'm out ila " am out " sidhani dobble check mkuu. Ila nashukuru kwa kujuabkujibu kistaarabu. Maana mwingine angetiririka matusi pia.
Merry X mass in advance.
 
nakuelewa Mkuu,kwenye hicho kitabu mwandishi amewatumia wahusika wawili ambao ni Askari na Mulili kuonyesha languange incompetence kwa upande wa Mulili alikuwa na broken english mbaya sana na Askari(ambaye nimemuquote)alikuwa na English ya kawaida kwa hiyo unapomquote una quote alichokisema no matter wrong.
"Am out"(hutumika sana kwenye spoken language hasa kwa intimate speakers)kumaanisha "Niko/nipo nje"
"I am out"(most likely to written language hasa frozen/formal speech) kumaanisha "mimi niko/nipo nje"
Kumbuka play is intended to be acted on stage so inakuwa more informal.
Language use ni somo refu kidogo na complicated.
Good day.
 
December 12, 2018

The Honorable Mike Pompeo Secretary of State

U.S. Department of State 2201 C Street, N.W. Washington, D.C. 20520

Dear Secretary Pompeo:

Finally, we must develop a strategy with likeminded diplomatic partners in Tanzania and multilateral fora to speak out against President Magufuli’s war on democratic freedoms and civil liberties, and urge the Tanzanian government to take concerted action to ensure that all political and civic rights guaranteed under the Tanzanian constitution are fully respected. This should include using our voice and vote in International Financial Institutions to ensure no funding is provided that supports intolerant, unfair or inequitable public policies.
Alichofanyiwa Makonda ndio hiki, kazi imeanza.
P
 
Huu ni mkutano muhimu, na
kwa vile serikali ya Magufuli imekataa kutumia open government initiative, wenye kusisitiza transparency na fully disclosure, vyama vya upinzani vionyeshe tofauti kwa kuwa very transparent kuhusu mkutano huo, umeitishwa na Maalim Seif umegharimu kiasi gani na hawa Wamarekani wa taasisi ya IRSA na kuwaweka viongozi wa vyama vya siasa kwa siku 3 kwenye expensive beach resort hiyo huko Zanzibar, na fedha za sponsorship zimekuwa managed na nani na zimepitia benki gani ili kumonitor the source, kama zimeletwa cash, then Watanzania wenzangu wazalendo wa kweli wa nchi hii, mjue kazi imeanza.

Please msiniulize ni kazi gani hiyo imeanza, bali mtayaona tuu matokeo ya hiyo kazi.

P.
Ni katika kukumbushana tuu kuwa sasa kazi imeanza, na matokeo tumeisha anza kuyaona!.
P
 
Back
Top Bottom