MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 144
Lowasa kwanza afya mbovu,, pili atashindwa tu na akishinda siyo kama ilivyokuwa 2005..
Chadema mwendo mdundo..
Chadema mwendo mdundo..
watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??
Aminia mkuumkuu... nashukuru kunipa nafasi... unajua ukisoma post number 1, utadhani kazi imeisha
lakini cha maana hapa ni kukusanya nguvu, lowassa was not built in a day and will not go down kirahisi... kama kuna nia ya dhati, basi ni kuanza kukamata viti vya mwdiwa, wanampa sana nguvu kwani, ikiisha hiyo ndio kupanda juu
Katika kile kinacho semekana ya kuwa utabiri wa kweli unatimia umeanza kujionyesha dhahiri huko jimbo la monduli anapotoka fisadi lowassa,
mapema juzi kijiji kimoja na vya jirani alimaarufu kama mto wa mbu, kijiji hicho na vya jirani siku za nyuma vilikuwa ni ngome kuu ya lowassa laki ya kustaajabisha baada ya kamanda wa CHADEMA mgombea ubunge wa jimbo hilo kwenda kuhutubia na kumwaga sera za uhakika na si longo longo
kijij kizima kikashusha bendera za ccm na kupandisha za chadema na wanakijiji hawo kuapa ya kuwa lowassa asitegemee kupata kura hata moja kutoka kijiji hicho na vijiji vya jirani,
lowassa alivyo pata habari akatuma timu yake pamoja na yeye mwenyewe wakaenda pale, yaliyo mkuta lowassa hakuamini baada ya baadhi ya jamii ya kimasai kupandisha morali huku wakisema unatuaibisha jamii ya kimasai ndiyo maana tunakuhisi yakuwa wewe siyo mmasai,
nibora tukaongozwa na mtu tunayejua kuwa simmasai kuliko kuwa na imani kuwa tunaongozwa na masai wmenzetu kumbe pandikizi kwa hali hii ulivyo liaibisha jamii ya kimasai sasa basi hapa no CCM hapa ni ile chama ya ule mtu inaitwa SLAA (CHADEMA) wewe ondoka tu hapa kabla haja kukuta mengine,
masai wakakaa waka chagua mtu wao mmoja kwajili ya kupiga kura kwa CCM ili wasije wakasalitiana wengi wapiga naasijulikane nani kafanya hivyo,
so kwasasa bendera za chadema ndizo zinazo pepea maeneo hayooo........ WAO WANA HELA sisi CHADEMA TUNA MUNGU.... MPAKA KIELEWEKE

Pamoja na kwamba nishabikii Chadema wala CCM, lakini kwa jinsi ninavyomfahamu Lowassa na Monduli, ninadiriki kusema uliyoandika si sahihi ni fabrications tu za ushabiki.
nafikili Slaa amerizie kampeni katika jimbo hilo kummliza kabisa huyu jamaa
dogo sikiliza, tena sikiliza sana
mambo ya mke na familia, tuna jukwaa kule, karibu sana... i am talking about politics and uchaguzi to be specific.. mimi si wewe unayejadili mpita njia ukiwa selo.. you hvae to get out to see the sunlight!!
Lowassa ni zaidi ya unavyomjua, wenye akili timamu wanaelewa... kumuangusha ni zaidi ya mto wa mbu... ningekua naongea na kuwaza unavyowaza, basi tungekua na nchi mbaya zaidi ya hapa
you must learn to appreciate capability ya mtu kabla ya kuweka mabandiko udhaniayo... kwenye primaries tuliambiwa kakaliwa koon, akachapa over 90%... he is powerful and capable of using vinavyoonekana na visivyoonekana. FYI, hata rafiki yangu lema pale arusha, kama isingekua lowassa basi angeanza kusherehekea ushindi
Una jina zuri lakini huendani nalo
pumba tupudogo sikiliza, tena sikiliza sana

Acid jazba yako inatia shaka sana. Nguvu hiyo unayozungumzia haitashinda nguvu ya watu. Lowasa 1995 akiwa Arusha alimshurutisha mtu ajitoe saa sita usiku baada ya kuongoza kwenye kura za maoni. Ikiwa hiyo ndiyo nguvu basi nakubaliana na wewe
dogo sikiliza, tena sikiliza sana
mambo ya mke na familia, tuna jukwaa kule, karibu sana... i am talking about politics and uchaguzi to be specific.. mimi si wewe unayejadili mpita njia ukiwa selo.. you hvae to get out to see the sunlight!!
Lowassa ni zaidi ya unavyomjua, wenye akili timamu wanaelewa... kumuangusha ni zaidi ya mto wa mbu... ningekua naongea na kuwaza unavyowaza, basi tungekua na nchi mbaya zaidi ya hapa
you must learn to appreciate capability ya mtu kabla ya kuweka mabandiko udhaniayo... kwenye primaries tuliambiwa kakaliwa koon, akachapa over 90%... he is powerful and capable of using vinavyoonekana na visivyoonekana. FYI, hata rafiki yangu lema pale arusha, kama isingekua lowassa basi angeanza kusherehekea ushindi
Una jina zuri lakini huendani nalo
watu wengine wanadhani mambo ni rahisi sana... hivi unamjua lowassa wewe??
wewee acha kukatisha makamanda tamaa LOWASSA NI LOWASSA hawezi kushindna na nguvu ya umma na kuhakikishia mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko ya kweli na lowassa hachomoki monduli kama jina linakuogopesha ni wewe na vibaraka wako tulipo sema ukombozi wa kweli
hatukuangalia tunaanza nanani, tuliangalia mustakabali wa taifa nzima so usilete maneno yako mepesi kwenye majibu mgumu ambaya tumekwisha amua,,,, sawa kamanda nadhani umenielewa kama bado njoo monduli ujionee hali halisi na siyo jina,
majina tunayo toka enzi na enzi kama we nikamanda weka jina lako live kama mimi , mukiitwa vibaraka mnakataa wakata muda unawahukumu, lowassa fisadi tupa kulee, kamuelezi KAMANDA KILEWO ANASEMA MWAKA HUU AMAZAKO AMA CHADEMA ILA` JIMBO HUCHUKUI
Mara Nyingi tungo tata zinaleta maana nyingi.
Pia kama wote tungekuwa tunawaza kuwa kuna vigogo wasioangushika ba si hakuna haja ya kujadili wala kupiga kura. Kumbuka Tingatinga limeangushwa. Miamba kama kina Mateo Quares, Chambiri, Mungai nk iliangusha bila kutegemea. lowasa naye anaweza kupigwa chini kwani ni binadamu kama wengine. It is true he is capable of using everything but siku ya kufa nyani miti yote huteleza
Pia ni kweli kuwa nayemjua Lowasa ni mkewe. Kama kuna wengine ni siri yao.
Muwe na akiba ya manenowewe acha kuongea pumba anaye mfahamu lowassa ni mke wake na familia yake hapa tunaongelea mstakabali wa maendeleo ya taifa letu na mustakabali ya watu anao waongoza na sisi kuongea propaganda na ni wapiga kura wake ndiyo wamemkataa then tofauti 2005 na 2010 ni vitu viwili tofauti .............. Wananch wamechoshwa
kuongozwa na mafisadi wa rasilimali zao then wanapigiwa kampeni wapitishwe tena dic time kamanda hapa monduli lowassa hana chake