Lowassa Vs Jakaya vita rasmi kampeni zikizinduliwa

unachekesha ewe kizalia cha mafisadi.

Kwa wale wenye hamu kubwa ya kujuwa vita ya Lowassa na Jakaya inaenda kuishaje,Na hatimae mshindi apatikane subirini kesho kutwa kampeni zinavyozinduliwa.
Jakaya ufisadi wake utaanikwa wote hadharani na wakufanya hivyo ni mzee Lowassa
Jakaya anajitahidi kutumia watu wamwombe lowassa asimrarue sana.Na lowassa kasema atamrarua tu,Na liwalo na liwe.
Subirini vita kali kutoka kwa mahasimu hawa wa kisiasa kuanzia kesho kutwa,Mbivu na mbichi zitajulikana.
 
Ufisadi wa Kikwete hata ukianikwa hautasaidia...tatizo lipo pale ufisadi wa EL utakapoanikwa maana yeye ndo anayegombania urais
 
EL hana muda wa kujibishana na JK watakutana siku anakabidhi ikulu..EL hana akili za kijinga hizo
 
Ufisadi wa Kikwete hata ukianikwa hautasaidia...tatizo lipo pale ufisadi wa EL utakapoanikwa maana yeye ndo anayegombania urais

Wewe DuppyConqueeror, ebu jaribu kuupa ubongo wako tease ufanye kazi ya kufikiri zaidi. Kwa taarifa yako JK ni fisadi mkubwa kuliko EL.

EL became rich due to his LEGITIMATE business undertaking which he has painstakingly tried to grow (ALPHA Companies) lakini mwenzie JK ni through corruption and abuse of his office. JK kaenda mbali zaidi kwa kumpa mwanae mtaji kutoka kwenye pesa za umma! This boy is now rich akikaribia watu waliosota kufanya biashara miaka ishirini.

Umeisikia ya RA na JK? Chui na paka sasa, maneno yarushwayo kati yao sasa ni 'hunitishi', na wewe hunitishi kitu na huwezi kunifanya kitu'! Upo hapo? Yote hii ni kwa sababu kila mtu anajua siri na ufisadi wa JK.

Sijui wewe mwenzangu unaambulia nini kwenye makombo..
 
Sijasema JK sio fisadi (sina huo ushahidi)..Nilichosema ni kwamba..hata ukianika ufisadi wa JK haitasaidia maana hana uchaguzi wa kupoteza..
Swali: 1995 Nyerere alimuuliza Lowassa kuwa utajiri wa watu waliokuwa mawazariwake kwa zaidi ya miaka 20 haujafikia utajiri wa Lowassa alioukusanya ndani ya miaka minne wakati amekuwa waziri....mali zote amezitoa wapi?
Naomba umsaidie kujibu hilo swali
 
jakaya hagombei urais,mda wake unakwisha,ni kati ya lowasa na magufuli...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom