Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Kwa wale wenye hamu kubwa ya kujuwa vita ya Lowassa na Jakaya inaenda kuishaje,Na hatimae mshindi apatikane subirini kesho kutwa kampeni zinavyozinduliwa.
Jakaya ufisadi wake utaanikwa wote hadharani na wakufanya hivyo ni mzee Lowassa.
Jakaya anajitahidi kutumia watu wamwombe lowassa asimrarue sana.
Lowassa kasema atamrarua tu,Na liwalo na liwe. Subirini vita kali kutoka kwa mahasimu hawa wa kisiasa kuanzia kesho kutwa,Mbivu na mbichi zitajulikana.