Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

Hivi haiwezekani kura yangu kwa Lowasa ikatangulia NEC mapema ili niweke rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza kupiga kura ya ndio kwa rais wa awamu ya tano.

Wangeruhusu tu,sasa hivi kuna watu washafanya maamuzi
 
Na wewe utakuwa unamshikia mic akiwa ikulu ya matete,lakini ikulu ya magogoni never ever,lowassa ana mengi yanayomvua nguo,pole kaka kwa kuogopa kivuli chako,lakini urais ni tinga tinga tu

Hivi Urais huu unadhani tunatafuta watakatifu?
hapa ni Lowasa huyo wa kwako asubili kwanza
 
Ndugu wanaCCM wenzangu, huu ni ukweli. Tabia ya ukweli ni kuumiza mioyo ya watu, kama ambavyo hapa wanaCCM wenzangu watakapoumia mioyo yao na kuanza kunitukana.

Ni hivi, nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini mkubwa mikutano ya CCM pamoja na mikutano ya UKAWA, kiukweli kabisa CCM TUMEKWISHA.

Lowassa tulikukosea, tulikusingizia mengi na tunafahamu kuwa kuna watu walikuhujumu. Tunakuomba utusamehe urudi nyumbani (CCM). Ni kweli tumefanya makosa lakini adhabu unayotupa hatustahili Lowassa.

Ndugu wana CCM wenzangu popote pale mlipo mjitokeze tumuombe msamaha mheshimiwa Lowassa, mpaka muda huu Lowassa amekwisha chukua nchi, October 25 asubuhi anakabidhiwa na JK.

cc: Lizaboni FaizaFoxy Simiyu Yetu

Yaani mzee mkapa hakikosea. Hivi kwanza kama unashinda utamwambiaje adui eti utamshinda? Au unadhani wapumbavu wako wengi kihivyo mpaka waamini kwa maneno tu eti ukawa wanashinda?

Uongo huu mnaofanya ni hatari sana kwa chama chenu maana kitasambaratika vibaya. Jukwaani unamsikia lowassa eti tunashinda asubuhi saa 12 watu nao wanakubali na kuanza kuwambia wenzao. Uchaguzi wenyewe inafungwa jioni wewe asubuhi unashindaje au ndio kuhalalisha uongo? Jifunzeni siasa sio propaganda. Badala ya kuwa convice watu kwa sera nyie mnahangaika kuwaaminisha mnashinda mnadhani wao hawana akili kama nyie?
 
unapoandika mambo ya ajabu ajabu kama hayo ndiyo unasababisha sisi wanaCCM tuonekane hatuna lolote, october 25 Tanzania itachagua raisi wa facebook? kwani CCM ina mgombea wa uraisi wa facebook? acha kudhalilisha chama mkuu

MCHUNGUZI HURU katika ubora wake,big up
 
Last edited by a moderator:
Yaani mzee mkapa hakikosea. Hivi kwanza kama unashinda utamwambiaje adui eti utamshinda? Au unadhani wapumbavu wako wengi kihivyo mpaka waamini kwa maneno tu eti ukawa wanashinda?

Uongo huu mnaofanya ni hatari sana kwa chama chenu maana kitasambaratika vibaya. Jukwaani unamsikia lowassa eti tunashinda asubuhi saa 12 watu nao wanakubali na kuanza kuwambia wenzao. Uchaguzi wenyewe inafungwa jioni wewe asubuhi unashindaje au ndio kuhalalisha uongo? Jifunzeni siasa sio propaganda. Badala ya kuwa convice watu kwa sera nyie mnahangaika kuwaaminisha mnashinda mnadhani wao hawana akili kama nyie?

Tulia mkuu,dozi bado
 
unapoandika mambo ya ajabu ajabu kama hayo ndiyo unasababisha sisi wanaCCM tuonekane hatuna lolote, october 25 Tanzania itachagua raisi wa facebook? kwani CCM ina mgombea wa uraisi wa facebook? acha kudhalilisha chama mkuu

Vp mkuu dozi imeingia au iongezewe
 
Mijitu mingine bwana kama yamerogwa!! Kwahiyo unataka kutuambia hao wananchi wanaohudhuria kampeni za lowasa wanatokana na facebook?? Kakojoe ulale gamba mzigo wewe.

Hata mimi huwa nakuja kujionea viroja vya watu wanaomeza matapishi yao bila kupepesa macho! Halafu jioni nahesabiwa kama sehemu ya TSUNAMI!
POLENI!
 
Ndugu umeandika ukweli kabisa kutoka kwenye sakafu ya moyo wako kiukweli kabisa kinachofanya CCM kuhudhuriwa na watu kusikiliza mikutano yao ni uwepo wa wasanii,istoshe mwanamuziki kama Diamond huwa akifanya shoo na ticket akiziuza kwa 100000 huwa panajaa mpaka basi ndio leo imetokea fursa ya kwenda kumuona bure kwenye mikutano ya ccm!!!.
 
kweli katushika pabaya sana mkuu kwakuwa hata mbinu zetu nyingi anazijua
Kukubali ukweli ni uungwana! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Lowasa anapendwa sana, na wale wanaompenda wengi wamejiandikisha kupiga kura na wameapa kuwa 25/10 wanampa kura zao. Hawa ni wengi kuliko wanaoinga CCM mkono!
 
Nywele nyeupe, roho nyeupe, ikulu nyeupe,,,,,lowasa jaribu kuwafikilia fisiem,
 
Hata man to man au kwa lugha ya majirani wetu KE "mundu khu mundu" hatoki mtu,mabadiliko lazima tu.
 
Back
Top Bottom