Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Ndugu wanaCCM wenzangu, huu ni ukweli. Tabia ya ukweli ni kuumiza mioyo ya watu, kama ambavyo hapa wanaCCM wenzangu watakapoumia mioyo yao na kuanza kunitukana.

Ni hivi, nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini mkubwa mikutano ya CCM pamoja na mikutano ya UKAWA, kiukweli kabisa CCM TUMEKWISHA.

Lowassa tulikukosea, tulikusingizia mengi na tunafahamu kuwa kuna watu walikuhujumu. Tunakuomba utusamehe urudi nyumbani (CCM). Ni kweli tumefanya makosa lakini adhabu unayotupa hatustahili Lowassa.

Ndugu wana CCM wenzangu popote pale mlipo mjitokeze tumuombe msamaha mheshimiwa Lowassa, mpaka muda huu Lowassa amekwisha chukua nchi, October 25 asubuhi anakabidhiwa na JK.

cc: Lizaboni FaizaFoxy Simiyu Yetu
 
Nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini mkubwa mikutano ya CCM pamoja na mikutano ya UKAWA, kiukweli kabisa CCM TUMEKWISHA.

Lowassa tulikukosea, tulikusingizia mengi na tunafahamu kuwa kuna watu walikuhujumu. Tunakuomba utusamehe urudi nyumbani (CCM). Ni kweli tumefanya makosa lakini adhabu unayotupa hatustahili Lowassa.

Ndugu wana CCM wenzangu popote pale mlipo mjitokeze tumuombe msamaha mheshimiwa Lowassa, mpaka muda huu Lowassa amekwisha chukua nchi, October 25 asubuhi anakabidhiwa na JK.

cc: Lizaboni FaizaFoxy Simiyu Yetu

Mamluki maku ww
 
Last edited by a moderator:
Hata ukinitukana haitabadili ukweli kuwa sisi wana CCM uchaguzi huu ni ugumu sana kwetu, ukweli unauma lakini tuwe tayari kuupokea

Hata mgombea urais wa chama tawala amewaomba wananchi wasiihukumu CCM kwa kuiondoa madarakani, sasa kama mpambanaji mwenyewe anaona ngoma nzito hao wanaobisha achana nao!
 
WanaCCM wenzangu ambao mlizoea kuishi kwa mazoea baada ya Oktoba 25 mtaishi maisha ya woga! Amtakuwa na amani ya maisha sababu ya kutotumiza wajibu wenu kwa Taifa la Tanzania
 
Bora wewe umeona mbali hakuna jinsi rais kuwa Lowassa hata Pinda anajua hivyo
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom