Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa na hivyo CCM ipate kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo.
 
Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa na hivyo CCM ipate kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo.
Sema ukweli wako ndugu huna haja ya ku-pretend.
 
Umenikosha sana.

Ndugu wanaCCM wenzangu, huu ni ukweli. Tabia ya ukweli ni kuumiza mioyo ya watu, kama ambavyo hapa wanaCCM wenzangu watakapoumia mioyo yao na kuanza kunitukana.

Ni hivi, nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini mkubwa mikutano ya CCM pamoja na mikutano ya UKAWA, kiukweli kabisa CCM TUMEKWISHA.

Lowassa tulikukosea, tulikusingizia mengi na tunafahamu kuwa kuna watu walikuhujumu. Tunakuomba utusamehe urudi nyumbani (CCM). Ni kweli tumefanya makosa lakini adhabu unayotupa hatustahili Lowassa.

Ndugu wana CCM wenzangu popote pale mlipo mjitokeze tumuombe msamaha mheshimiwa Lowassa, mpaka muda huu Lowassa amekwisha chukua nchi, October 25 asubuhi anakabidhiwa na JK.

cc: Lizaboni FaizaFoxy Simiyu Yetu
 
Kuna binti nimejaribu kumuelimisha kwa wiki tatu kwenye uwanja wa tweeter namna ya kuisoma hadhara (audience) lakini hajanielewa,kiukweli kuna vitu muhimu utaviona kwa Lowasa ila ccm wanajaribu kuiga,mfano jana lowasa kapewa ufunguo(model) leo Magufuli kapewa msumeno,that is a fake action the original one pays,na jambo jingine ni Mabango ya hadhara(Audience) ya ukawa yanaonyesha hisia za wananchi lakini ya ccm ni visasi na kuweka mipasho kwa wale walio hama kuwa ni makapi.

jamani hali nin tete,kuna kitu wananchi wameamua.
 
Na wewe utakuwa unamshikia mic akiwa ikulu ya matete,lakini ikulu ya magogoni never ever,lowassa ana mengi yanayomvua nguo,pole kaka kwa kuogopa kivuli chako,lakini urais ni tinga tinga tu
 
Msiogope maccm, mbona mwafadhaika mioyoni mwenu? Msikaze shingo kama gumegume Lowasa kawashika pabaya lakini msikimbie wala msiombe milima iwaangukie tubuni nanyi mtasamehewa kabla bwana wa mavuno hajapita tarehe 25 maana ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno. Mtatamani kufa nacho kifo kitawakimbia, karibu mkuu kundini
 
Ndugu wanaCCM wenzangu, huu ni ukweli. Tabia ya ukweli ni kuumiza mioyo ya watu, kama ambavyo hapa wanaCCM wenzangu watakapoumia mioyo yao na kuanza kunitukana.

Ni hivi, nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini mkubwa mikutano ya CCM pamoja na mikutano ya UKAWA, kiukweli kabisa CCM TUMEKWISHA.

Lowassa tulikukosea, tulikusingizia mengi na tunafahamu kuwa kuna watu walikuhujumu. Tunakuomba utusamehe urudi nyumbani (CCM). Ni kweli tumefanya makosa lakini adhabu unayotupa hatustahili Lowassa.

Ndugu wana CCM wenzangu popote pale mlipo mjitokeze tumuombe msamaha mheshimiwa Lowassa, mpaka muda huu Lowassa amekwisha chukua nchi, October 25 asubuhi anakabidhiwa na JK.

cc: Lizaboni FaizaFoxy Simiyu Yetu

Kweli kabisa,halafu imewasababishia ban magamba wengi humu JF,MZEE Edo hawezi kubali msamaha,huyo rais wa madaraja na mabarabara atafute kazi nyingine
 
Back
Top Bottom