Una ushahidi na haya unayotulisha hapa mkuu
Akizungumza jana Bagamoyo alipokwenda kutafuta wadhamini, Lowassa alisema,"Bagamoyo ni nyumbani kwangu kwa pili, kwa sababu ni nyumbani kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye ni rafiki yangu. Nataka niwaambie kuwa mimi na Jakaya ni marafiki wakubwa, na urafiki wetu utaendelea hadi Mwenyezi Mungu atakapotuchukua."
Chanzo: Mtanzania, Jumatatu, 29.6.2015, Lead story.
MY TAKE: Lowassa hapa anatuma ujumbe kwa Kamati Kuu kwamba, Jakaya ambaye ni rafiki yake mkubwa hivi, hawezi kukubali kuona jina lake linakatwa, NI LAZIMA liingie katika tano bora!
Nyerere tu ndie angeweza kumaliza hili jambo kwa kuweka wazi pumba na mchele ila hawa wa leo hamna mwenye huo ubavu kwani wote ni wale wale tu.Ndani na nje ya JF, Mh. Lowassa kaandikwa sana lakini bahati mbaya hakuna bandiko la wazi linalobainisha waziwazi pasi na shaka mazuri au mabaya ya Kiongozi huyu. Halipo hilo. Kwa hiyo sitegemei kwamba kelele hizi zitakuwa ni spring board kwa wana ccm kumtosa mtu kama huyu hata asiwemo kwenye top five.
CC. Pasco na Salary Slip
Nakumbuka 1998 kwenye Msiba wa Mzee Mrisho Kikwete, aliyekuwa akinawisha mikono waombolezaji kwenye Msiba walikuwa ni Samuel Sitta na Edward Lowassa na aliekuwa mwenyekiti wa Shughuli za Msiba alikuwa Rostam Abdurasul Aziz. Hawa jamaa wametoka Mbali sana Wizi na Uroho wa Madaraka ndo uliwaunganisha na vitu vivyo hivyo ndo vimewatofautisha

Basi saaawaaaaaupo sahihi.
Katika ubora wakoNyerere tu ndie angeweza kumaliza hili jambo kwa kuweka wazi pumba na mchele ila hawa wa leo hamna mwenye huo ubavu kwani wote ni wale wale tu.
Basi saaawaaaaa