Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

1. TUNAOMBA SANA UTUWEKEE ORODHA YA HIZO TAASISI ZA DINI ZILIZOTOA HIYO TUZO. BILA ORODHA YAKE INAONEKANA ULE USANII UNAENDELEA.

2. VIPI WALE WALIOKUFA NA MKASEMA WANAKUFA KWA SABABU WALIMTUKANA MHE.LOWASA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE NDIO MAANA MUNGU KAWAUA. JE HIYO DAMU HAIHESABIKI????

3. WATUMISHI WA MUNGU WENGI WAMEPOTEZA MVUTO KWA WAUMINI KUTOKANA NA MATAMKO YENYE KUPINDUKAPINDUKA. HEBU SOMENI NENO LA MUNGU TENA MTUAMBIE NI WAPI MANABII WA KWELI WA MUNGU ALIYEHAI WALIKUWA NA KAULI ZENYE MAGUMASHI?? Nabii Eliya alisema mvua hainyeshe ila kwa neno langu na haikunyesha nk

4. HAWA WATUMISHI WALISEMA LOWASA ATAKUWA RAIS MAAANA WANA HAKIKA NA MUNGU ALICHOSEMA NAO. TENA KUNA MMOJA ALISEMA LOWASA ASIPOKUWA RAIS WAMUUE???? Hivi wameshamuongoza sala ya toba????

5. HEBU HUBIRINI INJILI JAMANI YESU KARIBU ANARUDI. DUNIA IMEJAA DHAMBI NA MAOVU. HEBU TAFAKARINI TENA UPOSO WENU???

6. HALAFU HAWA NDIO WALE WANAOTOA PHD FEKI. NATAMANI SERIKALI ITOE TAMKO LA KUFUTA HIZI PHD ZA TAASISI ZA DINI. ZINAONDOA KABISA MAANA. YAANI WACHUNGAJI MITUME NA MANABII WANAKIMBIZANA NA HIZI PHD. SASA HIVI HUO UGONJWA UMEKUJA MPAKA KWA WAUMINI.

7. HEBU ACHENI KUIRAHISISHA IMANI NA NENO LA MUNGU KWA MATUMBO YENU. Shame on you.

Queen Esther

Lowassa na timu yake ni wasanii wa kutupa.
Waliona magari ya washawasha na yale ya FFU wakaikimbia mita 200 mbali na viapo vyote.
Hakuna cha maamuzi magumu wala nini.
Ni genge flani hivi la waoga na walaghai.
 
Tatizo unaangaika na aekuzidi:-
1. Hekima
2.Busara
3.Elimu
4.Cheo na nyadhifa mbalimbali
5.Upendo na kupendwa
6.maisha mazuri
7.pesa
kwa maana hiyo ungeweza hata kumshauri Jecha kule Zanzibar kua nduguyo wa Zanzibar wanakosa haki zao kwa sababu yake.

Loh!
Tuzo ya Lowassa haihusiani na uchaguzi wa Zanzibar na Jecha.
Kaa utulie soma habari na mada kisha jielekeze ipasavyo.
Wikiend hii kamanda. Ni kiroba au cha arusha ndo vinakupelekesha?
 
Lowassa na timu yake ni wasanii wa kutupa.
Waliona magari ya washawasha na yale ya FFU wakaikimbia mita 200 mbali na viapo vyote.
Hakuna cha maamuzi magumu wala nini.
Ni genge flani hivi la waoga na walaghai.

Unayesema hayo wakati rohoni kuna fundo
 
1. TUNAOMBA SANA UTUWEKEE ORODHA YA HIZO TAASISI ZA DINI ZILIZOTOA HIYO TUZO. BILA ORODHA YAKE INAONEKANA ULE USANII UNAENDELEA.

2. VIPI WALE WALIOKUFA NA MKASEMA WANAKUFA KWA SABABU WALIMTUKANA MHE.LOWASA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE NDIO MAANA MUNGU KAWAUA. JE HIYO DAMU HAIHESABIKI????

3. WATUMISHI WA MUNGU WENGI WAMEPOTEZA MVUTO KWA WAUMINI KUTOKANA NA MATAMKO YENYE KUPINDUKAPINDUKA. HEBU SOMENI NENO LA MUNGU TENA MTUAMBIE NI WAPI MANABII WA KWELI WA MUNGU ALIYEHAI WALIKUWA NA KAULI ZENYE MAGUMASHI?? Nabii Eliya alisema mvua hainyeshe ila kwa neno langu na haikunyesha nk

4. HAWA WATUMISHI WALISEMA LOWASA ATAKUWA RAIS MAAANA WANA HAKIKA NA MUNGU ALICHOSEMA NAO. TENA KUNA MMOJA ALISEMA LOWASA ASIPOKUWA RAIS WAMUUE???? Hivi wameshamuongoza sala ya toba????

5. HEBU HUBIRINI INJILI JAMANI YESU KARIBU ANARUDI. DUNIA IMEJAA DHAMBI NA MAOVU. HEBU TAFAKARINI TENA UPOSO WENU???

6. HALAFU HAWA NDIO WALE WANAOTOA PHD FEKI. NATAMANI SERIKALI ITOE TAMKO LA KUFUTA HIZI PHD ZA TAASISI ZA DINI. ZINAONDOA KABISA MAANA. YAANI WACHUNGAJI MITUME NA MANABII WANAKIMBIZANA NA HIZI PHD. SASA HIVI HUO UGONJWA UMEKUJA MPAKA KWA WAUMINI.

7. HEBU ACHENI KUIRAHISISHA IMANI NA NENO LA MUNGU KWA MATUMBO YENU. Shame on you.

Queen Esther

Waliokufa walikufa kwa dhambi ya kukufuru
 
Hiyo tuzo hakustahili nia yake tu kwanza ilikuwa kuanzisha fujo sema akabanwa tu.... Kwa maoni yangu hasitahiri..
 
Hadi mtasema yoote ya mioyoni mwenu lkn lowasa ndiye rais kipenzi cha watanzania

Usisahau kumalizia, watanzania mazoba! Wenye akili tulimchagua Magufuli, wenye akili ni wengi, kumbuka!
 
Mzee hana jipya saiv
Amebaki kuwa mtu wa kusubiri misiba,
Vituzo ambavyo vilitakiwa kugombewa na wakina rais wa wasafi

Utashangaa amepewa hadi tuzo ya kilimanjaro music award maana n msanii mzuri tu

poor kibaraka lowasa
Endelea kupewa vtuzo na mabwana wa magharibi

Kama vya uprofesa na udokta wa kuzawadiwa
 
Ninayo Hofu Kuu, Kua Ccm Wanaweza Kua Na Mkono Wao Katika Hizi Tuzo Za Amani This Time. Isije Ikawa Ccm Wanawaandaa Ukawa Kisaikolojia Ili Wakubali Yaishe Na Kuwaachia Ccm Waichukue Zanzibar Kwenye Nafasi Ya Urais Kiulaini Bila Kuwepo Kwa Vurugu Yoyote. Is Like Tuzo Za Nobel Walizopewa Wakina Yesser Arafat, Dhidi Ya Akina Shimon Perez Na Yirzak Rabin Pale Mido Isti. Hii Dunia Hua Inaendeshwa Kwa Master Plan. Kuondoa Presha Ya Cdm Kule Visiwani Na Kuiachia Cuf Alone. Itaisaidia Ccm Ku-push Interests Zake Vizuri .Kama Tuzo Hizi Zingekua After Uchaguzi Zenji Umekwisha Ningeziamini, Lets Pray N See..

Wewe mwenyewe tu unasema waichukue Zanzibar bila fujo halafu mnampa tuzo ....
 
Kwa hali ya kawaida ya kihistoria kwa Lowasa kununua nunua watu wa kawaida, viongozi wa kisiasa na wakiroho si ajabu kabisa kutoa posa na baadae kulipa mahari kwako viongozi wa taasisi hizo. Lowasa tunamjua hanauwezo wa kujinadi kwa kutumia Sera tangu mwanzo yeye alianza miaka mingi akijidai baba wa misaada kwa makanisa na Miskiti mbalimbali Tanzania. Tumeliona hilo!!!! Tafta mbinu nyingine siyo Tuzo.

Na Mwenyekiti wa watoa tuzo ni mchungaji mtanzania aliyekuwepo kati ya wale "waliombembeleza" agombee.
#TeamLowasaa washatuona sie mafala.
 
Mi nilijua tuzo ya Nobel, anyway hata akipewa na dunia nzima who cares! kikubwa hajaingia white house baaaaasi.
 
Watanzania kwa wivu ni balaa,hawapendi kuona mwingine anapewa heshima hapa kuna watu hawalali roho zinawauma kweli kweli
 
Back
Top Bottom