Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

Nyie watu wote milioni sits mliompigia kura mnaweza kumpa hizo tuzo mzitakazo ila lowassa ataendelea Kuwa hafai Kuwa Rais wa nchi Hii.

Nalog off
 
Watu wengi wamereport hii Ila sijawai ona mahara wametaja izo taasisi.
Pia watupe list for the last 5 years ni akina nani wamewai tunukiwa iyo tuzo.
Nitatoa pongezi baada ya kuona majina ya izo taasisi na kutathmini credibility ya izo taasisi.
Kwa sasa bado nareserve pongezi zangu kwake
 
Banki Moon, lazima atampa kazi Lowassa UN... mark my words...!!!
 
Hii ni tuzo kubwaaaa sanaaaaaaaaa...

Hata ukijumlisha za JK zote, hazifikii hata nusu...!! JK atamuonea wivu sana... teh..!😨

👉🚶🚶🚶
 
Watu kibao wanakufuru kuwa Yesu si mwana wa Mungu na hawajafa itakuwa Leo kumkufuru mwanadamu ambaye ni udongo na udongoni atarudi. Yeye mwenyewe utakatifu wake kipimo kipo kwa Mungu.

Acheni kudhalilisha dini kwa kivuli cha wahuni wanaojiita TAASISI za dini duniani. By the way zipo dini nyingi tu za kitapeli kule Kongo. Who knows ni kati ya hizo na branches zake ulimwenguni.

Tangu juzi TUNAOMBA TUPEWE majina ya hizo TAASISI za dini duniani, mbona hamtupi?? Je walishindanishwa kina na ina ndipo Lowasa akiamua kifedha pia ham semi.

Nyie ni watu wa namna gani mnaodhalilisha dini kwa maslahi yenu??? Kama watu walimdhihaki Lowassa wakafa basi hastahili kupata tuzo ya amani.

Kumbuka Yesu aliitwa mfalme wa amani kwasababu hakulipiza wala hakuna aliyekufa kati ya wote waliomkufuru. Zifuatilie hizo sababu ndipo uone sifa za mfalme wa amani. Je hizo sifa Lowasa anazo??

Queen Esther

Waliokufa walikufa kwa dhambi ya kukufuru
 
Watu wengi wamereport hii Ila sijawai ona mahara wametaja izo taasisi.
Pia watupe list for the last 5 years ni akina nani wamewai tunukiwa iyo tuzo.
Nitatoa pongezi baada ya kuona majina ya izo taasisi na kutathmini credibility ya izo taasisi.
Kwa sasa bado nareserve pongezi zangu kwake

Je kama imeanza mwaka huu hiyo taasisi, kuna TATIZO GANI...?? Au ulijua taasisi zote za dini ziko kama Roman Catholic Church, ya tangia kabla na baada ya Yesu...

Lowassa ni mtu AMANI SANA SANAAAA... DUNIA IMEONA... hata bila ya hiyo taasisi HILI LIKO WAZI.... LABDA UWE NA AKILI KAMA ZA DONALD TRUMP au Prof. Lipumba... ndio hutaona.. au akili za mafisiCCM...!!

Haya kaoge, ule, ulale...

👉🚶🚶🚶....
 
Mkuu sikua na namna nyingine ya Kumwelewesha nikaona mimi mpumbavu kushindana na mwerevu haitoleta maana ila labda akirudi kwenye senses zake ataelewa kwanini wameona ni vyema Lowasa kupewa tuzo hizo za amani ,ni logic raisi tu eti hoja yake kwanini wasipewe tuzo wanao suluhisha Migogoro kwenye nchi zenye machafuko ila apewe Lowasa ambaye yupo kwenye nchi isiyo na machafuko ,hivi ni mpaka tusibiri nchi iingie kwenye machafuko ndio tutafute amani ??? Haoni kwamba ilikua busara kwa Lowasa kutong'ang'ania madaraka na kusababisha kuchafuka kwa amani ambayo ndio tunu moja wapo Mungu aliotujalia watanzania

Maelezo yote hayo yanadhihirisha kwamba hakustahili hio tuzo

Lakin achen apewe tu imfariji kidogo apunguze stress ya pesa aliyopigwa na mbowe
 
wasichokijua hao viongozi Wa dini nikuwa bila juhudi za vyombo vya ulinzi na usalama kumdhibiti Lowassa Tanzania ilikuwa iingie ktk machafuko.

Lowassa alinyongea baada ya kudhibitiwa na njama zake na chama chake kutibuliwa. Hizo taasisi zingekuwa makini tuzo hiyo hamustahli yeye walistahili walidhibiti usalama.
 
Banki Moon, lazima atampa kazi Lowassa UN... mark my words...!!!

Kama n kweli hilo
Basi bankmoon hatasahau kitakachomtokea

Maana atapigwa pesa yule na mmasai yule
hata mirad yote ya UN itakwama
na hapo ndipo itakuwa mwsho wawatanzania kufanya kaz UN
 
Taasisi za dini 1,200 ?! Dunia?! Tuzo inatokewa DRC ?! ( hiyo Tuzo inahitaji uhakiki wa chombo kinachoitoa na udhamani wake ) : Siyo kila sifa mtu unapopewa unazikubali. Zinaweza zikakushua hadhi bure.
 
Ungemwambia afute kauli yake ya kuomba kura za kidini ,halafu ndo useme acha ubaguzi ,ndo wamempa tuzo ni walutheri Wala sio uongo
 
1. TUNAOMBA SANA UTUWEKEE ORODHA YA HIZO TAASISI ZA DINI ZILIZOTOA HIYO TUZO. BILA ORODHA YAKE INAONEKANA ULE USANII UNAENDELEA.

2. VIPI WALE WALIOKUFA NA MKASEMA WANAKUFA KWA SABABU WALIMTUKANA MHE.LOWASA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE NDIO MAANA MUNGU KAWAUA. JE HIYO DAMU HAIHESABIKI????

3. WATUMISHI WA MUNGU WENGI WAMEPOTEZA MVUTO KWA WAUMINI KUTOKANA NA MATAMKO YENYE KUPINDUKAPINDUKA. HEBU SOMENI NENO LA MUNGU TENA MTUAMBIE NI WAPI MANABII WA KWELI WA MUNGU ALIYEHAI WALIKUWA NA KAULI ZENYE MAGUMASHI?? Nabii Eliya alisema mvua hainyeshe ila kwa neno langu na haikunyesha nk

4. HAWA WATUMISHI WALISEMA LOWASA ATAKUWA RAIS MAAANA WANA HAKIKA NA MUNGU ALICHOSEMA NAO. TENA KUNA MMOJA ALISEMA LOWASA ASIPOKUWA RAIS WAMUUE???? Hivi wameshamuongoza sala ya toba????

5. HEBU HUBIRINI INJILI JAMANI YESU KARIBU ANARUDI. DUNIA IMEJAA DHAMBI NA MAOVU. HEBU TAFAKARINI TENA UPOSO WENU???

6. HALAFU HAWA NDIO WALE WANAOTOA PHD FEKI. NATAMANI SERIKALI ITOE TAMKO LA KUFUTA HIZI PHD ZA TAASISI ZA DINI. ZINAONDOA KABISA MAANA. YAANI WACHUNGAJI MITUME NA MANABII WANAKIMBIZANA NA HIZI PHD. SASA HIVI HUO UGONJWA UMEKUJA MPAKA KWA WAUMINI.

7. HEBU ACHENI KUIRAHISISHA IMANI NA NENO LA MUNGU KWA MATUMBO YENU. Shame on you.

Queen Esther

Dadangu..maswali yako hayajibiki!!
 
Nimekuwa nikufuatilia sana comment zako. Sidhani kama wewe umeokoka kweli, sidhani kama unamjua YESU wa kalvari, walio na Roho wa MUNGU hawaubishi mwili wa Kristo, walio na Roho wa MUNGU hawatukani, watukanaji wote sehemu yao ni ziwa la moto, walio na Roho wa MUNGU wanaombewa watumishi wa MUNGU na kwa kuwa wale ni wanadamu tu sio kuwatukana na kuwaabisha, walio wa Kristo hawako hivyo, pole!!!!, walio wa Kristo ni wanyenyekevu na wapole, walio wa Kristo hawasimangi mwili wa Kristo, wanaoenda mbinguni wamefanywa upya nia zao na wanayatufuta yalio juu, wanaoenda mbinguni maneno yao yamejaa munyu, na hunena maneno ya kujenga, wanaoenda mbinguni hawahukumu wengine maana wanajua wameokolewa kwa neema tu. Wewe hujampta YESU wa Kalvari. Ingia kwenye toba ya kweli na ugeuke kama unataka kwenda mbinguni.
 
Back
Top Bottom