BIG RESULTS NOW
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 673
- 36
Naomba ujibu hoja za msingi.niko huru si mwanamtandao wenu.ukiwa huru raha sana.
mbonaa wewe hujawahi kukanusha kuhusu wewe kutumiwa na hawara ya mbowe?
Hoja zipi za msingi unataka ujibiwe? Hizi za kuwaita watu wapuuzi? Hivi ndugu huwezi kuunganisha dots japo kidogo tu kujua nani anahusika na Richmond mpaka Lowasa akutajie? Tuliokuwa jikoni tunajua ishu hii ni propaganda chafu na tumeshaishinda tayari kwa uwezo wa Mungu. Tunavuta muda tu kihakikisha ndoto ya watanzania kupata maendeleo ya kweli inatimia.
Hahahaha! Huna ubavu wa kunijibu hata kidogo! Ok, nipe maana ya neno " mpuuzi" mnaposoma habari jikiteni kwenye mzizi na kuzama kwenye ujumbe ulipo egemea kwanza. Ukitaka niamini hayo uliyosema juu ya EL tiririka hapa na ushahidi wa wazi kama hakuusika ndiyo! Hili ni jukwaa huru usiogope Mura!
Hujui kitu kaa kimya.
Mwepesi sana wewe vitu simple unatetemeeeka!!
Teh teh teh...mkuu umepaniki?
Hapana mkuu funika kombe mwanaharamu apite.nakutakia mlo mwema bye bye!!
Haya mkuu najua umeshasoma upepo mkali wa EL unavyovuma kwa kasi. Simama uhesabiwe
Mkuu mbona aliwapa majibu kwenye vikao vyenu mkanyamaza mkapotezea kabisa na misemo ya Gamba ikafa??Hebu atoe majibu Kuhusu RICHMOND huko badala ya kujifanya mwanasiasa anayetaka urais.
Huu mtindo wa kuwazushia watu uwongo mtupu badala ya kujenga hoja ni mtindo mbaya na unashusha hadhi ya JF. Tusifanye JF jukwaa la UWONGO na uzushi badala ya GT
Na kinyume chake
Daraja lina mamba(CHADEMA),Lowasa na degedege lake ataweka kuogelea
Huu mtindo wa kuwazushia watu uwongo mtupu badala ya kujenga hoja ni mtindo mbaya na unashusha hadhi ya JF. Tusifanye JF jukwaa la UWONGO na uzushi badala ya GT
Atakuwa anamgombea wake wa mfukoni amemtuma kusoma upepo humu
Ila arudi akamwambie ajaribu fb,humu ni wazee wa busara tu
mkuu jibu swali mbona unaruka vihuzi vya umiseta
Kama humpendi lowassa wewe si mzalendo na hupendi maendeleo ya Tz