Ngoja nikuache kwanza!!
Japo sijui ugonjwa unaopelekea hasira zako,lakini nakuombea kwa Mungu uje uwone lowassa akiapishwa
Mkuu Pasco,
Kwa kuwa Ben Saanane hafuati Mkumbo ,msimamo wa hao walioitwa viongozi wakuu kuhusu mtu huyo utakua msimamo wao binafsi na ukitolewa kama msimamo rasmi wa chama ni lazima upitie kwenye vikao ambavyo mimi nitakua mjumbe kinyume na hapo itakua ni mambo mengine ya kisiasa au nje ya siasa ,aidha kama nitakua mjumbe kwenye kikao au kama nitakua nje....
Huu ni msimamo wangu binafsi,nipo imara kweli kweli hapa.Sitanii...!
Jamaa yupi?Unakuja na ID nyingine na kujifanya eti yule Jamaa.You're such a Twerp.Ni wapi nilikotoa siri za CHADEMA.Ningekua namsifia Membe ningemstahi kwa lugha zake za kijinga Bungeni Recently na pia kuruhusu Masele kutoa Reckless statements ambazo zinamfanya akimbie Kimbie .Nasikia ana ziara ya Uingereza kwenda kuomba Msamaha Kule Westminster
Nisichopenda ni siasa chafu dhidi ya mtu yeyote na hata Lowassa nilimtetea kuwa adhabu yake ya kufungiwa mwaka mmoja na chama chake kwa tuhuma za kufanya kampeni mapema ni uonevu maana kama msingi wa adhabu ulikua ni kauli ya EL New Year kule Monduli hakuna mahali precisely alikosema anagombea Urais
Hakuna Ushahidi.Na nilihoji iweje EL aadhibiwe halafu Sitta aachwe wakati wote walifanya kitu hicho hicho kupita Makanisani na Misikitini?
Hivyo hivyo nikaomba Ushahidi juu ya tuhuma za Membe kuomba Fedha Uarabuni kama nilivyoomba ushahidi wa Perfomance ya Migiro kule UN,Prof.Tibaijuka kule UNHABITAT na kutaka kujua iwapo kama Magufuli anaaminika kufuatia Tuhuma ambazo hajakanusha za Kumuuzia kimada Nyumba alipokua Waziri wakati wa Mkapa katika uuzaji wa Nyumba za serikali kama nilivyohoji weledi wa Mwakyembe katika Sheria alipofikia hatua ya Kuficha baadhi ya Mambo katika ripoti ya kamati teule ya Bunge kuhusu sakata la RICHMOND.Nilihoji uzalendo wake kwa kutumia logic.Yote yapo humu JF.

Hivyo hivyo nikaomba Ushahidi juu ya tuhuma za Membe kuomba Fedha Uarabuni kama nilivyoomba ushahidi wa Perfomance ya Migiro kule UN,Prof.Tibaijuka kule UNHABITAT na kutaka kujua iwapo kama Magufuli anaaminika kufuatia Tuhuma ambazo hajakanusha za Kumuuzia kimada Nyumba alipokua Waziri wakati wa Mkapa katika uuzaji wa Nyumba za serikali kama nilivyohoji weledi wa Mwakyembe katika Sheria alipofikia hatua ya Kuficha baadhi ya Mambo katika ripoti ya kamati teule ya Bunge kuhusu sakata la RICHMOND.Nilihoji uzalendo wake kwa kutumia logic.Yote yapo humu JF.[/QUOTE
Mkuu saa nane
Kwa hili la id nyingi kwakweli unahitaji pongezi
Wala siyo unasingiziwa.
Lowassa is my President.
Mkuu Pasco,
Kwa kuwa Ben Saanane hafuati Mkumbo ,msimamo wa hao walioitwa viongozi wakuu kuhusu mtu huyo utakua msimamo wao binafsi na ukitolewa kama msimamo rasmi wa chama ni lazima upitie kwenye vikao ambavyo mimi nitakua mjumbe kinyume na hapo itakua ni mambo mengine ya kisiasa au nje ya siasa ,aidha kama nitakua mjumbe kwenye kikao au kama nitakua nje....
Huu ni msimamo wangu binafsi,nipo imara kweli kweli hapa.Sitanii...!
Kumbe tatizo la nchi hii si ccm ila ni nani katoka wapi dini gani (mana watu wanajisahaulisha kuhusu Richmond na ufisadi mwingi alioufanya)
Suala la udini wewe ndiye unataka kuanzisha
Ila tunaomba siyo lazma uchangie uzi huu unaweza ukalala manake hata hivyo ni usiku
Kamwe hatutakubali utupotoshe,watanzania ni wamoja
Mkuu Ben naunga mkono hoja!.Ila pia ningependa hizo hojaji, ziziishie upende mmoja tuu, naomba uendelee kuhoji weledi na uadilifu wa hawa viongozi wetu wote regardless uko upande gani and not a cherry picking!.Jamaa yupi?Unakuja na ID nyingine na kujifanya eti yule Jamaa.You're such a Twerp.Ni wapi nilikotoa siri za CHADEMA.Ningekua namsifia Membe ningemstahi kwa lugha zake za kijinga Bungeni Recently na pia kuruhusu Masele kutoa Reckless statements ambazo zinamfanya akimbie Kimbie .Nasikia ana ziara ya Uingereza kwenda kuomba Msamaha Kule Westminster
Nisichopenda ni siasa chafu dhidi ya mtu yeyote na hata Lowassa nilimtetea kuwa adhabu yake ya kufungiwa mwaka mmoja na chama chake kwa tuhuma za kufanya kampeni mapema ni uonevu maana kama msingi wa adhabu ulikua ni kauli ya EL New Year kule Monduli hakuna mahali precisely alikosema anagombea Urais
Hakuna Ushahidi.Na nilihoji iweje EL aadhibiwe halafu Sitta aachwe wakati wote walifanya kitu hicho hicho kupita Makanisani na Misikitini?
Hivyo hivyo nikaomba Ushahidi juu ya tuhuma za Membe kuomba Fedha Uarabuni kama nilivyoomba ushahidi wa Perfomance ya Migiro kule UN,Prof.Tibaijuka kule UNHABITAT na kutaka kujua iwapo kama Magufuli anaaminika kufuatia Tuhuma ambazo hajakanusha za Kumuuzia kimada Nyumba alipokua Waziri wakati wa Mkapa katika uuzaji wa Nyumba za serikali kama nilivyohoji weledi wa Mwakyembe katika Sheria alipofikia hatua ya Kuficha baadhi ya Mambo katika ripoti ya kamati teule ya Bunge kuhusu sakata la RICHMOND.Nilihoji uzalendo wake kwa kutumia logic.Yote yapo humu JF.
Muda wa mpeni kura a ndio bado!, issue ni jee ni kweli atasisimama?!Mpeni kura za ndio Lowasa
Yahaya unaishi wapi siku hizi?Hebu atoe majibu Kuhusu RICHMOND huko badala ya kujifanya mwanasiasa anayetaka urais.
Mkuu Ben naunga mkono hoja!.Ila pia ningependa hizo hojaji, ziziishie upende mmoja tuu, naomba uendelee kuhoji weledi na uadilifu wa hawa viongozi wetu wote regardless uko upande gani and not a cherry picking!.
Ni hilo tui.
Pasco
ben umekua mkweli kaka ktk hiloJamaa yupi?Unakuja na ID nyingine na kujifanya eti yule Jamaa.You're such a Twerp.Ni wapi nilikotoa siri za CHADEMA.Ningekua namsifia Membe ningemstahi kwa lugha zake za kijinga Bungeni Recently na pia kuruhusu Masele kutoa Reckless statements ambazo zinamfanya akimbie Kimbie .Nasikia ana ziara ya Uingereza kwenda kuomba Msamaha Kule Westminster