Lowassa: Tutaingia Ikulu bila kumwaga damu

Lowassa: Tutaingia Ikulu bila kumwaga damu

MMM kuna kitu nimejifunza hapa.

Kila Mhe. Rais akihutubia au akiongea na wananchi lazima siku hiyo na Mhe. Lowassa aongee ili nae atokee kwenye media. Yeye kwa akili zake anapunguza nguvu za Serikali.

Washauri wake badilisheni staili hii imebuma.

Queen Esther
Wewe hujaona strategy hiyo inavyo zaa matunda? Lowassa mnabaki hapaJF kumjadili yeye mwenyewe na mnavyomfikiria na sio alichosema lakini vyombo vya habari na taasisi mbalimbali zinajadili makosa katika hotuba za Pombe. Mfano sasa hivi hii ya kuagiza mahakama kuhakikisha hizo kesi za ufisadi hiyo Trilioni moja inapatikana na kuwa atawapa (hongo) mahakama robo ya hela hiyo na nyingine kununulia ndege.
 
Ahaaaa!!! Kumbe anabakia humu na kujadiliwa JF sawa tu. Hata u Rais JF walimtangaza na bado wanamtangaza ndie Rais Wa mioyo yao Kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa.

Kuhusu kujadili hotuba ya Rais kuwa kakosea. Ni population asilimia ngapi wanaona kakosea??? Kwa taarifa yako huko vijijini hotuba hiyo ndio habari ya mujini. Na hao ndio wapiga kura wakubwa Wa Mhe. Magufuli.

Huku mjini Kama kawaida tumegawanyika.

- Wale ambao ni MAFISADI lazima wapinge

- Wale UKAWA kijicho lazima wapinge

- Wale wenye undugu na MAFISADI na wanafaidika kwa namna moja au nyingine lazima wapinge

- WALE WASIO NA MAKANDOKANDO WANASHANGILIA OYAAAA!! Powaaaa!!!! Ndio tulichokuwa TUNATAKA. VIVA MAGUFULI VIVAAAAAAA!!!!!

Tunamuomba JAJI MKUU MAHAKAMA YA MAFISADI IANZE HARAKA!!!!!! Wanatusumbua sana hata huku JF!

Nikiendelea nitakuwa nakuonea maana huelewi hata msingi wa hoja yangu uko kwenye nini. Lakini ukiongeza juhudi Nafasi ya kuelewa bado unayo
 
DSC_0077.JPG

Edward Lowassa akizungumza na wazee wa CHADEMA Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam jana. Aliyesimama ni kiongozi wa msafara, Enock Ngombale Mwiru ambaye ni mdogo wa Kingunge Ngombale Mwiru.

Aliyekuwa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa, akizungumza na wazee wa chama hicho, jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam jana walipomtembelea ofisini kwake amewataka wazee hao kutokata tamaa na kujipanga kimkakati kujiandaa na kuimarisha chama chao pamoja na ukawa kwa ujuml ili kujiandaana uchaguzi ujao wa 2020.

Lowassa pia ameendelea kuwataka Watanzania kuwa watulivu na kulinda amani ya nchi na kujiepusha na kila jamboambalo wanaona linamwelekeo wa uvunjifu wa amani.

Hayo aliyasema wakati alipokuwa akijadili mambo mbalimbali ya kuimarisha chama.

Aidha, aliwaomba wazee hao kutokata tamaa kwani kuna mambo mengi ya kufanya hadi kufikia malengo waliyojiwekea.

"Hali ya chama chetu na UKAWA iko vizuri, uchaguzi tulishinda, sisi tunajua, Jumuiya za Kimataifa zinajua na hata CCM wenyewe wanajua kama tulishinda, ila ubabe wao na dhuulma ndio wamefanya waliyofanya," alisema.

Lowassa alifafanua zaidi kuwa kama chama kinachojiandaa kushika dola hawakuwa tayari kuingia Ikulu kwa damu ya watazania na ndiyo maana hata vijana walipomtaka atoe kauli ya kuingia barabarani anasema, "niliwazuia."
 
Nani anaemdanganya Lowasa kwamba bado ana nafasi kwenye siasa za Tanzania?
 
Kwa mtu yeyote makini hoja ya Lowassa kudhulumiwa ushindi ingekuwa na mantiki kidogo tu kuonesha idadi ya wabunge inayoendana na madai yao. Lowassa asingeweza kushinda kwa kiasi hicho wakati maeneo mengi Wabunge walitoka CCM na hata Serikali za Mitaa mwaka mmoja kabla bado upinzani walishindwa kuipiku CCM pamoja na mikakati ya karibu miaka minne; walifanya vizuri zaidi lakini bado CCM iliendelea kukamata sehemu nyingi zaidi nchini. Kufumbia macho ukweli huu ni watu kujivika miwani myeusi gizani wakidai jua halijatoka!
 
Back
Top Bottom