MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Nadhani kuna baadhi ya watu wanatengeneza mazingira ya kuendelea kutumia pesa zake!
Kuna watu wana roho mbaya!
kwani bado lowassa ana chenji zilizobaki mkuu?
Nadhani kuna baadhi ya watu wanatengeneza mazingira ya kuendelea kutumia pesa zake!
Kuna watu wana roho mbaya!
Unajua inawezekana kweli anaamini; sasa imani ni imani. Kuna watu wanaamini kabisa mwezi umetengenezwa kwa cheese! Na inawezekana kabisa anaamini moyoni mwake kuwa yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mioyo ya Walioshindwa; hatuwezi kumzuia.
MwanaKijiji pilipili haiko mdomoni mwako inakuwashia nini?
Ulitaka akae tu? yeye bado anaamini ataingia ikulu. Kama wewe ulivyoamininkjwa utaenda marekani,ukaenda baadaye upo mzee na bado unaishi kwenye viapartment.
kwahio mkuu muda mwingine maoni yako bora ukae nayo mwenyewe kila mtu anao uhuru wake.
Hao wazee naona wengi wana sura za kichaga angalia midomo yao utajua ni wachaga
Umeandika vizuri hapa kwa upande wangu ingawa jina lako halihitaji urafiki na mtu.kati ya vitu CCM imefanya kwa AKILI zaidi ni kumkata huyu jamaa.......a very intelligent move sijawahi ona
Una maana gani?always ni8 lowassa,shame
Mbaya zaidi, kila Rais Magufuli akifanya tukio, na yeye anafanya tukio!Ha haaa kwakweli hata mm huwa najiuliza hilo swali...
Yes, ameishajitangaza mapema!Kwahiyo mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA mwaka 2020 ni EL tena?
Pamoja na mbwembwe zote za mafuriko ya kutengeneza, CCM walikata jina lake kwa kutumia karamu ambayo bei yake ni ndogo ukilinganisha na bei ya kifungo cha shati la Lowassa!kati ya vitu CCM imefanya kwa AKILI zaidi ni kumkata huyu jamaa.......a very intelligent move sijawahi ona
Hawajafahamu kama kumekucha!Hivi mbona mkiambiwa ukweli mnafura sana?..sasa hicho ulichomjibu Mzee mwanakijiji umemjibu ki GT kweli?
unafiki ulonao na jeneza lako litakuzilaLowassa anafurahisha kweli kama sio kusikitisha!
Eti alishinda Uchaguzi Mkuu wakati wabunge wengi wa CHADEMA wametoa kauli zinazokinzana na fikra zake.
The poor guy is still having a pipe dream!
Eti vijana walimtaka atoe kauli ili waingie barabarani. Kwani alitoa kauli kwa hao vijana kuingia barabarani na kuanza kudeki barabara?
Lowassa badilisha mbinu ya kisiasa. Hii santuri ya kutafuta na kukusanya watu ili kuonyesha kama wamekuja kwa hiari yao kukushukuru imepitwa na wakati kama ulivyokuwa unafanya wakati ukiwa CCM ambapo makundi mbali mbali yalifika nyumbani kwako eti kukushawishi uchukue fomu ya kugombea Urais.
Eti ana mpango wa kuzunguka Tanzania nzima! Hizo nguvu amezitoa wapi na atakuwa anahutubia kwa dakika ngapi?
Politically, Lowassa is finished!
Kundi lake la wanamtandao wameichezea sana nchi yetu!
It's enough. Wananchi wengi hawawezi tena kufanya ujinga waliofanya!
we jamaa ukimsikia lowasa nadhani siku za kuingia kwenye mwezi zinafikaUnajua inawezekana kweli anaamini; sasa imani ni imani. Kuna watu wanaamini kabisa mwezi umetengenezwa kwa cheese! Na inawezekana kabisa anaamini moyoni mwake kuwa yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mioyo ya Walioshindwa; hatuwezi kumzuia.
Lowassa anafurahisha kweli kama sio kusikitisha!
Eti alishinda Uchaguzi Mkuu wakati wabunge wengi wa CHADEMA wametoa kauli zinazokinzana na fikra zake.
The poor guy is still having a pipe dream!
Eti vijana walimtaka atoe kauli ili waingie barabarani. Kwani alitoa kauli kwa hao vijana kuingia barabarani na kuanza kudeki barabara?
Lowassa badilisha mbinu ya kisiasa. Hii santuri ya kutafuta na kukusanya watu ili kuonyesha kama wamekuja kwa hiari yao kukushukuru imepitwa na wakati kama ulivyokuwa unafanya wakati ukiwa CCM ambapo makundi mbali mbali yalifika nyumbani kwako eti kukushawishi uchukue fomu ya kugombea Urais.
Eti ana mpango wa kuzunguka Tanzania nzima! Hizo nguvu amezitoa wapi na atakuwa anahutubia kwa dakika ngapi?
Politically, Lowassa is finished!
Kundi lake la wanamtandao wameichezea sana nchi yetu!
It's enough. Wananchi wengi hawawezi tena kufanya ujinga waliofanya!
Wewe hivi huo ukuwadi wako nilini utauwacha?mambo ya cdm waachie wana wa cdm ili mradi unaendelea kupata tonge lako lumumbaLowassa anafurahisha kweli kama sio kusikitisha!
Eti alishinda Uchaguzi Mkuu wakati wabunge wengi wa CHADEMA wametoa kauli zinazokinzana na fikra zake.
The poor guy is still having a pipe dream!
Eti vijana walimtaka atoe kauli ili waingie barabarani. Kwani alitoa kauli kwa hao vijana kuingia barabarani na kuanza kudeki barabara?
Lowassa badilisha mbinu ya kisiasa. Hii santuri ya kutafuta na kukusanya watu ili kuonyesha kama wamekuja kwa hiari yao kukushukuru imepitwa na wakati kama ulivyokuwa unafanya wakati ukiwa CCM ambapo makundi mbali mbali yalifika nyumbani kwako eti kukushawishi uchukue fomu ya kugombea Urais.
Eti ana mpango wa kuzunguka Tanzania nzima! Hizo nguvu amezitoa wapi na atakuwa anahutubia kwa dakika ngapi?
Politically, Lowassa is finished!
Kundi lake la wanamtandao wameichezea sana nchi yetu!
It's enough. Wananchi wengi hawawezi tena kufanya ujinga waliofanya!
Yaani wewe ni nani hadi uwaamulie watanzania nini wavae ili wakaongee na lowasa?hivi unatumia akili au matope?kuvaa rosali imekuwa nongwa?au mtu kuvaa bargashia inakuwa nongwa?naona lowasa atawafanya muwe mazezeta badala ya kuongea mambo ya maana unaleta uharoLowassa anadhani ana hati miliki ya nchi hii. Tangu mwaka 1995 anasaka urais, na ukifuatilia nyendo zake kwa makini utagundua anachotaka ni urais tu, wala sio kusaidia Watanzania. Ingekuwa ni kwa ajili ya Watanzania angeanza na Monduli.
Hao wazee aliowakusanya halafu anajidai wamemtembelea ni kielelezo cha jinsi anavyoona Watanzania ni mazezeta, hawaweze kugundua usanii wake. Ni kinacholeta kichefuchefu ni tabia ya Lowassa kutumia dini kufikia malengo yake ya siasa. Angalia kwenye picha, yuko 'mzee' kavaa rozari! Yale yale ya 'ndugu zangu Walutheri'