Lowassa: Tutaingia Ikulu bila kumwaga damu

DSC_0077.JPG

Edward Lowassa akizungumza na wazee wa CHADEMA Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam jana

Aliyekuwa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa, akizungumza na wazee wa chama hicho, jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam jana walipomtembelea ofisini kwake amewataka wazee hao kutokata tamaa na kujipanga kimkakati kujiandaa na kuimarisha chama chao pamoja na ukawa kwa ujuml ili kujiandaana uchaguzi ujao wa 2020.

Lowassa pia ameendelea kuwataka Watanzania kuwa watulivu na kulinda amani ya nchi na kujiepusha na kila jamboambalo wanaona linamwelekeo wa uvunjifu wa amani.

Hayo aliyasema wakati alipokuwa akijadili mambo mbalimbali ya kuimarisha chama.

Aidha, aliwaomba wazee hao kutokata tamaa kwani kuna mambo mengi ya kufanya hadi kufikia malengo waliyojiwekea.

"Hali ya chama chetu na UKAWA iko vizuri, uchaguzi tulishinda, sisi tunajua, Jumuiya za Kimataifa zinajua na hata CCM wenyewe wanajua kama tulishinda, ila ubabe wao na dhuulma ndio wamefanya waliyofanya," alisema.

Lowassa alifafanua zaidi kuwa kama chama kinachojiandaa kushika dola hawakuwa tayari kuingia Ikulu kwa damu ya watazania na ndiyo maana hata vijana walipomtaka atoe kauli ya kuingia barabarani anasema, "niliwazuia."

yupo vizuri kwani hatuwezi kwenda ikulu kwa kujilipua
 
wananchi wepi? mbona wewe unakuwa mnafiki na kimbelembele hivyo?
umaarufu wa Lowasa hautaisha Babu
Tulia hivyo hivyo uone acha kujipendekeza
Lowassa anafurahisha kweli kama sio kusikitisha!

Eti alishinda Uchaguzi Mkuu wakati wabunge wengi wa CHADEMA wametoa kauli zinazokinzana na fikra zake.

The poor guy is still having a pipe dream!

Eti vijana walimtaka atoe kauli ili waingie barabarani. Kwani alitoa kauli kwa hao vijana kuingia barabarani na kuanza kudeki barabara?

Lowassa badilisha mbinu ya kisiasa. Hii santuri ya kutafuta na kukusanya watu ili kuonyesha kama wamekuja kwa hiari yao kukushukuru imepitwa na wakati kama ulivyokuwa unafanya wakati ukiwa CCM ambapo makundi mbali mbali yalifika nyumbani kwako eti kukushawishi uchukue fomu ya kugombea Urais.

Eti ana mpango wa kuzunguka Tanzania nzima! Hizo nguvu amezitoa wapi na atakuwa anahutubia kwa dakika ngapi?

Politically, Lowassa is finished!

Kundi lake la wanamtandao wameichezea sana nchi yetu!

It's enough. Wananchi wengi hawawezi tena kufanya ujinga waliofanya!
 
Ninadhani kuna umhimu wa watu kurudi shule
 
This old man needs serious help, delusions are eating his mind!
Eti alishinda uchaguzi? Vituko vingine!
 
Nadhani kuna baadhi ya watu wanatengeneza mazingira ya kuendelea kutumia pesa zake!

Kuna watu wana roho mbaya!
Sio roho mbaya, ni njaa na ulafi. Hawawezi kumuacha mpaka yeye mwenyewe anyooshe mikono juu,unadhani kuna mtu anakataa fedha?
 
Kweli mkuu maalim ni habari nyingine wala lowassa sio size kwake
 
Huyu Mzee El amechoka kimawazo hata fikra, kwa sasa Mbowe na wenzake,wagemuacha apumzike, vizuri Mbowe aseme anataka kiasi gani cha fedha, iliamuache Babu Lowassa.
Sio vizuri kumdhalilisha El kwa matamko yasiokuwa endelevu kama haya ya kuwa Rais 2020.
Ushauri wabure kwa luwasa, jitihada haishindani na kudra ya mwenyezi mungu, bora Lowassa kuacha kufanya siasa, na kutafuta shughuli nyingine, ukweli wenzake wakina Sitta, Jk na wanamtandao wengine wamestaafu siasa.
Jua limeshazama, kama meli nanga imepaa. Lowassa acha siasa kwa sasa hazikufai.
 
Unajua inawezekana kweli anaamini; sasa imani ni imani. Kuna watu wanaamini kabisa mwezi umetengenezwa kwa cheese! Na inawezekana kabisa anaamini moyoni mwake kuwa yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mioyo ya Walioshindwa; hatuwezi kumzuia.
Nasikia Mzee amechoshwa na tabia.yako ya kumpigia ameamua akimbilie Canada?
 
Unajua inawezekana kweli anaamini; sasa imani ni imani. Kuna watu wanaamini kabisa mwezi umetengenezwa kwa cheese! Na inawezekana kabisa anaamini moyoni mwake kuwa yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mioyo ya Walioshindwa; hatuwezi kumzuia.

Wasalimie Lumumba...mpe hi babu slaa
 
Hivi ile mahakama ya mafisadi imeanza Kazi. ???

Ps. .... kama umeandaa tusi kinywani mwako
Akilini mwako au unataka ku quote nilichoandika
Na kunitusi tafadhali kaa mbali.

Bali kama unataka kunijibu kwa NDIO au HAPANA
Karibu.
ndio mkuu...inakuja!
 
Amani ni kwa kila MTU urais ni kwa Lowasa pekee atilie asubiri Siku itafika tu.
 
kati ya vitu CCM imefanya kwa AKILI zaidi ni kumkata huyu jamaa.......a very intelligent move sijawahi ona

Halafu huwezi kuamini Director wa hiyo Movie kuna watu waliaminishwa ni dhaifu sana wakabweteka kuishia kufagia na kudeki barabara
 
DSC_0077.JPG

Edward Lowassa akizungumza na wazee wa CHADEMA Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam jana

Aliyekuwa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa, akizungumza na wazee wa chama hicho, jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam jana walipomtembelea ofisini kwake amewataka wazee hao kutokata tamaa na kujipanga kimkakati kujiandaa na kuimarisha chama chao pamoja na ukawa kwa ujuml ili kujiandaana uchaguzi ujao wa 2020.

Lowassa pia ameendelea kuwataka Watanzania kuwa watulivu na kulinda amani ya nchi na kujiepusha na kila jamboambalo wanaona linamwelekeo wa uvunjifu wa amani.

Hayo aliyasema wakati alipokuwa akijadili mambo mbalimbali ya kuimarisha chama.

Aidha, aliwaomba wazee hao kutokata tamaa kwani kuna mambo mengi ya kufanya hadi kufikia malengo waliyojiwekea.

"Hali ya chama chetu na UKAWA iko vizuri, uchaguzi tulishinda, sisi tunajua, Jumuiya za Kimataifa zinajua na hata CCM wenyewe wanajua kama tulishinda, ila ubabe wao na dhuulma ndio wamefanya waliyofanya," alisema.

Lowassa alifafanua zaidi kuwa kama chama kinachojiandaa kushika dola hawakuwa tayari kuingia Ikulu kwa damu ya watazania na ndiyo maana hata vijana walipomtaka atoe kauli ya kuingia barabarani anasema, "niliwazuia."
Au mtaa wa Ufipa nayo siku hizi ni Ikulu?
 
Walifanya kosa sana kumdump slaa,
anamopita magufuli,slaa angepita mle mle,
slaa alikua na nafasi ya kuleta ushindani mkubwa dhidi ya magufuli,NAFASI WALIICHEZEA ,
Nadhani haamini kama muda wake umepita!

Lowassa wa miaka ya 1990's sio huyu wa sasa ambaye hata kuongea ni majanga!
 
Back
Top Bottom