FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 733
Na Lowassa hajajitokeza hadharani kusema kuwa ahusiki kwa sababu hana jambo lolote ambalo anaweza kutuambia kama ushahidi wa kuonyesha kutohusika wkake. Anajua wazi kuwa kila mmoja anafahamu jinsi alivyohusika, na kusema uwongo kwake hivi sasa kutamuweka pabaya zaidi ya alipoMahali tulikofikia TZ katika medani ya uongozi tunahitaji kumsikia EL anasemaje, maana mujngwa amekaa kimya mno. Uwongo ukiongewa muda mrefu bila kukanushwa unageuka kuwa ukweli. Mpaka sasa EL amesema hakufanya kosa lolote katika Richmond bali alijizuru kuiokoa serikali. JK anasema hausiki. Karamagi anasema hausiki na ndiyo maana hapelekwi mahakamani.
Kiutawala ni heri ya shujaa aliyekufa kuliko mwoga anayeishi. EL has better chances as we go foward kwa sababu ya vaccuum ya uongozi.
Kile ambacho hakikuwatokea wakati wa Mkapa na wala kisingetokea kama Mkapa angeendelea kuwa madarakani.what happened to Mramba na Yona?
Na Lowassa hajajitokeza hadharani kusema kuwa ahusiki kwa sababu hana jambo lolote ambalo anaweza kutuambia kama ushahidi wa kuonyesha kutohusika wkake. Anajua wazi kuwa kila mmoja anafahamu jinsi alivyohusika, na kusema uwongo kwake hivi sasa kutamuweka pabaya zaidi ya alipo
Kachero, Lowassa alipata nafasi ya kujieleza hakutaka kufanya hivyo akaamua kususa; baadaye akajitokeza kwenye TV angalia kwenye http://www.youtube.com/mwanakijiji na utaona line ya maelezo yake kabla hajakatizwa. Lakini yeye mwenyewee na wapambe wake wanaamini wanao ushahidi wa kutosha kabisa wa kuonesha kuwa mhusika mkuu wa sakata hilo ni JK kwani EL anadai alijaribu mara kadhaa kuipinga Richmond lakini alikuwa overruled na JK.
So the line of his defence itakuwa kama hivi:
"Binafsi nilitambua matatizo ya Richmond kuwa x,y, z nikawasiliana na Ikulu na kuwaeleza reservation yangu lakini kwa barua namba x,y wakaniambia niendelee na hili. Na nilipoona kuwa hawa jamaa hawafai niliandika barua m,n kueleza ikulu kuwa hii kampuni haifai. Nilifanya DUE DILIGENCE (taking aim at what Luhanjo said) ya Richmond na sikuridhishwa nao na nikawaambia Ikulu (isomeke Kikwete) kuwa hii kampuni ni ya kilaghai. Lakini nilipewa jibu na Ikulu kuwa hali ni mbaya ya umeme na hivyo tuwaingize tu lakini tusiwalipe malipo ya awali (downpayment). Hivyo, kimsingi nilifanya jukumu langu lakini mambo mengine yalitolewa maamuzi yaliyonizidi mimi (Rais)".
Mzee wangu wee! hivi kweli watu wanafikiria kuwa JK atakuwa mjinga kiasi hicho kweli!Kachero, Lowassa alipata nafasi ya kujieleza hakutaka kufanya hivyo akaamua kususa; baadaye akajitokeza kwenye TV angalia kwenye http://www.youtube.com/mwanakijiji na utaona line ya maelezo yake kabla hajakatizwa. Lakini yeye mwenyewee na wapambe wake wanaamini wanao ushahidi wa kutosha kabisa wa kuonesha kuwa mhusika mkuu wa sakata hilo ni JK kwani EL anadai alijaribu mara kadhaa kuipinga Richmond lakini alikuwa overruled na JK.
So the line of his defence itakuwa kama hivi:
"Binafsi nilitambua matatizo ya Richmond kuwa x,y, z nikawasiliana na Ikulu na kuwaeleza reservation yangu lakini kwa barua namba x,y wakaniambia niendelee na hili. Na nilipoona kuwa hawa jamaa hawafai niliandika barua m,n kueleza ikulu kuwa hii kampuni haifai. Nilifanya DUE DILIGENCE (taking aim at what Luhanjo said) ya Richmond na sikuridhishwa nao na nikawaambia Ikulu (isomeke Kikwete) kuwa hii kampuni ni ya kilaghai. Lakini nilipewa jibu na Ikulu kuwa hali ni mbaya ya umeme na hivyo tuwaingize tu lakini tusiwalipe malipo ya awali (downpayment). Hivyo, kimsingi nilifanya jukumu langu lakini mambo mengine yalitolewa maamuzi yaliyonizidi mimi (Rais)".
Lowassa kukanusha au kutokanusha kuhusika ktk kashfa ya Richmond amechelewa. Hata kama kuna Wabunge watakaomsaidia kukanusha, wamachelewa. Majority ya umma wa Watanzania wanaamini alihusika na hawatamsamehe kwa kuchangia kwake ktk kututumbukiza zaidi ktk lindi la umaskini.
Huenda Lowassa akicharuka na kuungwa mkono na Wabunge walioko ktk mtandao wake, ataweza kuigawa CCM na kuwa tishio kwa J.K. mwaka wa 2010. Wana mtandao wake wamhimize wakati ukiwa muafaka.
Kuhusu Freeman Mbowe kuachia ngazi kama Mwenyekiti wa Chadema itakuwa ni jambo la kusikitisha kweli. Kama mwanaJF Gagnija alivyotamka hapo awali, Mbowe amedhihirisha ni kiongozi bora wa chama cha siasa, zaidi hata yeyote wa CCM, tangu Tanzania iingie ktk mfumo wa vyama vingi. Akiachia uenyekiti Chadema, uongozi wa CCM watasherehekea na nina hakika kuna wanaCCM wanaochochea Freeman aachie ngazi. Chadema chukueni tahadhari. CCM wajanja sana.
Chadema kimeonyesha kinaweza kubadilisha uongozi wa juu kitaifa bila kugawanyika. Bila shaka kinaweza kuteuwa Mgombea Urais kutoka miongoni mwa viongozi wake, bila kuwa na ulazima wa kumteuwa Mbowe.
Mwana JF Mwita Maranya amemtaja Dr. Kitila Mkumbo kama Mtanzania anayeweza kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Mimi simjui, na nadhani siyo MwanaChadema mwenye wadhifa wa juu sana. Hata hivyo CHADEMA hakina shida ya kupata wanachama maarufu kitaifa au hata kimataifa. Watanzania wanaovalia suti za combati kutokana na kukereketwa kwao na uanachama wa Chadema wako wengi: waume kwa wanawake, jasiri , wazalendo, waadilifu na wasomi. Mmoja wao anaweza kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti endapo Mbowe ataachia kiti. Mwingine, au huyo huyo, anaweza kuteuliwa na CHADEMA kuwa Mgombea urais.
Nilivyosema hapo mwanzo, Edward Lowassa, kutokana na kuhusika ktk kashfa ya Richmond na ushiriki wake na wahusika wengi wa kashfa nyingine kama za EPA na ufisadi kwa jumla, jina lake ni chafu. Licha ya kwamba Chadema wanaweza kumkaribisha kuwa mwanachama, kama Mtanzania yeyote anayesaini fomu ya kuomba uanachama, itakuwa ni foolhardy kumteua kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema. Wazo la Samwel John eti Lowassa ataleta ushindi kwa Chadema ni naivity in the extreme. Historia ya Lowassa haiwezi kushangiliwa na wanaChadema.
Hi everyone; I'm back.
Some updates and new information:
- We had advised M to write the original report in English but he refused arguing that this one was for the regular Tanzanians consumption so there was no need to put in Engglish. But, after a number of Human Rights Organisations have inquired about it our team is now working on releasing an English summary of the report. It should take us about seven days.
- We have noticed some interesting patterns on the part of Lowassa and his team. All the evidence and intelligence we have collected point to the reality that Lowassa is going to categorically deny wrong doing in the Richmond Affair and would put total blame absolutely on Kikwete. They have had another meeting with some of their supporters in the past few hours on which way to go especially after Luhanjo's ridiculous defense and indictment of Kikwete's role in the whole affair.
- Once he strike back at Kikwete and the people who have accused him of improprierty and corruption it is expected the act to usher a permanent rupture of his strategic friendship with Kikwete. This will officialy divide CCM into two camps as the party moves towards general election next year. The recent announcements about possible canditates are just a preludes of the oncoming collision between Lowassa's camp and Kikwete's.
- Meanwhile as Chadema is moving towards its general election in a month or so there is a strong indication that Mbowe would finally give up the chairmanship to someone else. However, there are some people who still believe he should lead the party towards general election while others believe that the time has come for a new leadership to lead the party towards victories next year. He is expected to run for a parliamentary seat.