Lowassa, Sumaye waibukia bungeni

Kwa kutumia Tafsiri ya Mke wa Godbless Lema, Bi Neema Tarimo.

"Kumbe hawa Mashoga Lowassa na Sumaye Walikuwepo Bungeni Leo"
 
Uyu Mzee Lowassa amejawa na Hekima na Busara iliyo tukuka.
 
Mkuu Umeugusa Moyo wangu kwa Maneno yako yaliyo jaa Herima na Ustarabu uliko tukuka. Umeifanya siku yangu kuwa muruwa kabisa
 
Staafu na ww kma vizur,,, siasa ndo maisha ya kila siku.
 
Unajua hizo ni cm wanazotumia akina mama niluvyokuona nayo ikabidi nikuulize mana nataka nika mnunulie wife
Ujinga uliotukuka! Watu wanasoma alichopost mchangiaji! Hujawahi ona mwanafunzi kutoka familia ya kitajiri anatumia counter book na mwanafunzi kutoka familia masikini anatumia kidaftari kidogo ila mwanafunzi anaetumia kidaftari kidogo anaandika vitu vya maana na wa counter anaandika pumba tupu! Wewe na hiyo i Phone 6 au samsung galax Note 7 umeandika nini sasa? Bora hata mwenye Huawei Y520
 
Sidhani kama wapo kwa ajili ya kutafuta ulaji!! Wanahaki ya kufuatilia kinachoendelea na mapungufu yapo wapi tangu walipoachia wao...na kwanini ukawa hutoka ovyo bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…