Wanalipwa na Chadema si unaona walitunga kuwa kamati kuu itakuwa Dodoma kukutana na wabunge wa Chadema? Lengo ilikuwa kuwatengenezea ulaji na wao watoke wakapunge upepo wa viyoyozi bungeni Dodoma lengo kuwasaidia Ku Steam out frustration zao kidogo.NIlichojifunza ni kuwa MTU aliyekuwa akikaa viti vya waheshimiwa Leo anakaa viti vya wageni ambavyo hata watoto wa shule hukalia wakienda kutembelea binge nawahurumia sumaye na lowasa wanadhalilisha hadhi ya uwaziri mkuu mstaafu.