MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #81
Hoja yako hapa ni nini?Hii ndio IQ ya mtanzania tena mtanzania typical ambae miaka 10 iliyopita aliahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania na leo keshasahau kabisa nini kimetokea katika kipindi hicho kiasi cha hata kushindwa kabisa kuweka akiba ya maneno kwa ahadi anazotoa Raisi wa sasa.
Duniani hakuna mtu rahisi kummtawala kama mtanzania.
Kwa hiyo unataka tuendelee kutomtambua Rais Magufuli kama Lowassa. Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wanavyotaka?