Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,959
Hawa ndo mashujaa wa Tz kupuuzwa siyo rahisi
Unashida kichwani.
Hawa ndo mashujaa wa Tz kupuuzwa siyo rahisi
walipanda kwenye majukwaa kutuambia rais magufuli hafai, leo tunashuhudia tofauti.
Walipiga kelele wakitueleza hawezi kulisukuma gari lililokwama kwenye matope wakati yuko ndani yake, anatakiwa ashuke, kama alivyofanya lowassa, sumaye na kingunge. Rais magufuli ameonyesha kwa vitendo unaweza kulisukuma gari lililokwama kwenye matope hata kama uko ndani yake iwapo utatumia akili vizuri.
Walituambia hatuwezi kumtofautisha dk. Magufuli na ccm. Leo hata vijana wao wa ulipo tupo na timulowassa wanatuambia rais magufuli ni tofauti na ccm kwa sababu anatekeleza ?sera za ukawa?.
Walituambia hawamtambui rais magufuli lakini cha ajabu wakaingia bungeni kumuidhinisha kwa kumpigia kura waziri mkuu, majaliwa ambaye ameteuliwa na rais wasiyemtambua.
Kwa sasa wanataka tusiitambue serikali ya rais magufuli.
Kwa haya machache, kwanini tusiwapuuze kisiasa kutokana na ulaghai waliotuambia?
Mashujaa wa Tanzania kwa kigezo/vigezo gani?
Wapinzani wa kweli walikuwa Dr. Slaa,Pro. Lipumba na ZZK. Lowasa,Kingunge,Sumaye na Mwapachu hawajawahi na hawatakuwa wapinzani. Hawa ni wahudumia matumbo yao tu. Tujadiliane mini tufanye kuijenga nchi yetu isonge mbele.
"duniani Hakuna Mtu Rais Kummtawala Kama Mtanzania" Asante Kwa Kulijua Hilo,unajua Lakini Bado Unataka Kutawaliwa Na Lowassa Ambaye For 7years,mbowe Na Wenzake Walimwita "fisadi Papa".
Ni kweli Rais Magufuli anahitaji ushirikiano wetu.
Ndiyo maana nimesema Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe kwa sababu hawataki kushirikiana na Rais Magufuli wakati sisi tunataka kushirikiana na Rais Magufuli.
Wametuambia hawamtambui Rais Magufuli.
Mkuu unadhani ni Watanzania wote? Ni huyu tuu & Lumumba co. Hawajielewi, kujitambua wala kufikiri. Hajui kama huyo Mzee Pombe kama utamshtua na kumuuliza ni nini siri ya ayafanyayo kukubalika na wananchi wote? Kama ni mcha MUNGU kama anavyojinadi atakujibu kuwa kufanya yale yaliyokuwa yanasemwa na wapinzani ndio siri pekee ya kufanikiwa kwake.
Kama ni uongo basi kuanzia wiki ijayo aanze kufanya yale yanayotakiwa na ccm aone wananchi watakavyo mbadilikia.
Membe ni mara tano ya lowassa, yaani yuko poa! Tunaposema lowassa hafai tunamaanisha! Chenge ni mzuri zaidi ya lowassa! Sijui unatuelewa! Hivyo ingawa Membe ni JK ila angekuwa better 5 times kuliko lowassa!
Mashujaa kwa ufisadi au kwa kigezo gani we kiazi?Hawa ndo mashujaa wa Tz kupuuzwa siyo rahisi