Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe

Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe

kama sio washabiki wa lowasa kumwondoa membe kwa kura za hasira kwenye NEC maghufuli leo asingekuwa rais kamwe..
 
Bila hawa usingeona changes hizi.
Huu ndio ukweli. Mazoea yameanza kupungua na namba mnazisoma.
 
Kwa taarifa yako kama sio nguvu ya Lowassa kuvuruga mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm leo hii Bernard Membe ndio angekuwa rais wa Tanzania na sio Magufuli

Loh!
Inamaana Lowassa anagekuja kushindwa na Membe kwenye uchaguzi ??
 
Vipi mzee wangu Stephen Massato Wassira baada ya kukataliwa kwenye sanduku la kura unaonaje chama kikampuuza kwa sababu hana umuhimu wa kisiasa?

Ndio demokrasia.
Wananchi wanaamua viongozi wao.
Alikatwa kwenye sanduku la kura, ni matakwa ya wananchi wa Bunda.
Sasa ulitaka afanywe nini?
Ccm wagome mtu wao kukatwa??
 
Bila wao angefanya anayo yafanya?? We kupuuzwa ni wewe mtoa mada.Hujielewi .unakariri
 
Mada kama hizi napitaga kimya maana ni pumba tupu hizi, kama sio uchochezi usio na faida kipindi hiki taifa linapokuwa moja bila kujali itikadi. Wengine wamelewa mchakato wa kampeni bado wako kwenye kampeni wakati zilikwisha kitambo na sasa tunajenga nchi pamoja.

Post yako inanikumbusha hadithi ya "heri mimi sijasema".

Hapo ushafungua domo na kuchangia pumba.
 
Walipanda kwenye majukwaa kutuambia Rais Magufuli hafai, leo tunashuhudia tofauti.

Walipiga kelele wakitueleza hawezi kulisukuma gari lililokwama kwenye matope wakati yuko ndani yake, anatakiwa ashuke, kama alivyofanya Lowassa, Sumaye na Kingunge. Rais Magufuli ameonyesha kwa vitendo unaweza kulisukuma gari lililokwama kwenye matope hata kama uko ndani yake iwapo utatumia akili vizuri.

Walituambia hatuwezi kumtofautisha Dk. Magufuli na CCM. Leo hata vijana wao wa ULIPO TUPO na TimuLowassa wanatuambia Rais Magufuli ni tofauti na CCM kwa sababu anatekeleza ?sera za UKAWA?.

Walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini cha ajabu wakaingia bungeni kumuidhinisha kwa kumpigia kura Waziri Mkuu, Majaliwa ambaye ameteuliwa na Rais wasiyemtambua.

Kwa sasa wanataka tusiitambue serikali ya Rais Magufuli.

Kwa haya machache, kwanini tusiwapuuze kisiasa kutokana na ulaghai waliotuambia na wanaendelea kutuambia?

Bila hao haya unayoyasifia na unaemsifia ungeyaona kwenye ndoto wamesaidia kubadili mchezo 100% na jamaa kasoma upepo wamabadiliko kaona watu wanakiu yamabadiliko nakaamua kutekeleza Yale yaliyokuwa yakihubiriwa na hao usiowataka ambayo hadi sasa hayawafurahishi watangulizi wao nakupelekea kuwepo na ccm mbili (ccm hapa kazi tu ya jeshi lamtu mmoja na ccm wapigadili aka maslahi aka majipu) hivyo kuwabeza akina lowasa,sumaye,mbowe nawengime nikutotendea haki vuguvugu lamabadiliko
 
Wewe ni mjinga. Bila hao magufuli angepatia wapi urais. Hata kura zikirudiwa leo ninampigia kura lowassa
 
Lowasa wapi fisadi yule na team yake wamekula sana pesa yetu eti leo shujaaa tanzania bana
 
Mdanganywa......uko sahihi na maoni yako ninayaheshimu.Ni kweli yafanyikayo sasa hivi yaliibuliwa na upinzani
 
Last edited by a moderator:
Walipanda kwenye majukwaa kutuambia Rais Magufuli hafai, leo tunashuhudia tofauti.

Walipiga kelele wakitueleza hawezi kulisukuma gari lililokwama kwenye matope wakati yuko ndani yake, anatakiwa ashuke, kama alivyofanya Lowassa, Sumaye na Kingunge. Rais Magufuli ameonyesha kwa vitendo unaweza kulisukuma gari lililokwama kwenye matope hata kama uko ndani yake iwapo utatumia akili vizuri.

Walituambia hatuwezi kumtofautisha Dk. Magufuli na CCM. Leo hata vijana wao wa ULIPO TUPO na TimuLowassa wanatuambia Rais Magufuli ni tofauti na CCM kwa sababu anatekeleza ?sera za UKAWA?.

Walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini cha ajabu wakaingia bungeni kumuidhinisha kwa kumpigia kura Waziri Mkuu, Majaliwa ambaye ameteuliwa na Rais wasiyemtambua.

Kwa sasa wanataka tusiitambue serikali ya Rais Magufuli.

Kwa haya machache, kwanini tusiwapuuze kisiasa kutokana na ulaghai waliotuambia na wanaendelea kutuambia?
hiyo ni sayansi. huwezi sukuma gari lililokwama kwenyetope ukiwa umeketi ndani yake. anachokifanya ni nguvu ya soda
 
Back
Top Bottom