Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe

Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe

Hii ndio IQ ya mtanzania ambae miaka 10 iliyopita alieahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania na leo keshasahau kabisa nini kimetokea katika kipindi hicho kiasi cha hata kushindwa kuweka akiba ya maneno leo hii.

Duniani hakuna mtu rahisi kummtawala kama mtanzania.

Mkuu unadhani ni Watanzania wote? Ni huyu tuu & Lumumba co. Hawajielewi, kujitambua wala kufikiri. Hajui kama huyo Mzee Pombe kama utamshtua na kumuuliza ni nini siri ya ayafanyayo kukubalika na wananchi wote? Kama ni mcha MUNGU kama anavyojinadi atakujibu kuwa kufanya yale yaliyokuwa yanasemwa na wapinzani ndio siri pekee ya kufanikiwa kwake.
Kama ni uongo basi kuanzia wiki ijayo aanze kufanya yale yanayotakiwa na ccm aone wananchi watakavyo mbadilikia.
 
Tuwe makini usiku around nyumba zetu,kwa hali jinsi ilivyo unaweza ukaamka ukakuta wamekuwekea kontena nje......hii hali sio shwari.
 
Ndio maana wenye akili hawataisapoti chadema mpaka overhaul ya uongozi itakapofanyika. Narudia, WENYE AKILI, sio kila mtu mwenye pumzi ana akili.
 
Upuuzwe wewe usiye jua mambo, tulia Magufuli atumbue majipu na bado hajayatumbua ndo kwanza anakamua usaa subiri damu itoke ndo utajua umihimu wa Lissu na Lowassa, go go go Dr .Magufuli.
Yaani wakataliwe kwenye sanduku la kura kwa sababu ya kutokuaminiwa kwa kile walikuwa wanajaribu kuwashawishi wananchi halafu baadaye wawe na umuhimu wa kisiasa?

Lowassa amekataliwa kwenye sanduku kura pamoja na kuwakejeli watanzania akiwaambia wana mahaba naye.
 
Walipanda kwenye majukwaa kutuambia Rais Magufuli hafai, leo tunashuhudia tofauti.

Walipiga kelele wakitueleza hawezi kulisukuma gari lililokwama kwenye matope wakati yuko ndani yake, anatakiwa ashuke, kama alivyofanya Lowassa, Sumaye na Kingunge. Rais Magufuli ameonyesha kwa vitendo unaweza kulisukuma gari lililokwama kwenye matope hata kama uko ndani yake iwapo utatumia akili vizuri.

Walituambia hatuwezi kumtofautisha Dk. Magufuli na CCM. Leo hata vijana wao wa ULIPO TUPO na TimuLowassa wanatuambia Rais Magufuli ni tofauti na CCM kwa sababu anatekeleza ?sera za UKAWA?.

Walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini cha ajabu wakaingia bungeni kumuidhinisha kwa kumpigia kura Waziri Mkuu, Majaliwa ambaye ameteuliwa na Rais wasiyemtambua.

Kwa haya machache, kwanini tusiwapuuze kisiasa kutokana na ulaghai waliotuambia?

kwa nini
 
Nionavyo mimi.....Mh Rais anahitaji saana ushirikiano wetu uwe wa Ukawa au Ccm uchaguzi umekwisha sasa tufanye maendeleo.Tukianza kupigia vyama vyetu debe hatutatoka hapa tulipo.TUMPE SUPPORT MAGUFULI serikali iliyopita kwa hakika imetuangusha.
Ni kweli Rais Magufuli anahitaji ushirikiano wetu.

Ndiyo maana nimesema Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe kwa sababu hawataki kushirikiana na Rais Magufuli wakati sisi tunataka kushirikiana na Rais Magufuli.

Wametuambia hawamtambui Rais Magufuli.
 
Yaani wakataliwe kwenye sanduku la kura kwa sababu ya kutokuaminiwa kwa kile walikuwa wanajaribu kuwashawishi wananchi halafu baadaye wawe na umuhimu wa kisiasa?

Lowassa amekataliwa kwenye sanduku kura pamoja na kuwakejeli watanzania akiwaambia wana mahaba naye.

Vipi mzee wangu Stephen Massato Wassira baada ya kukataliwa kwenye sanduku la kura unaonaje chama kikampuuza kwa sababu hana umuhimu wa kisiasa?
 
Kabla atuja wapuza swali je ccm imeshinda kiali Kama kweli kihali tunasababu ya kufanya hivyo
 
Kwa taarifa yako kama sio nguvu ya Lowassa kuvuruga mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm leo hii Bernard Membe ndio angekuwa rais wa Tanzania na sio Magufuli

Membe ni mara tano ya lowassa, yaani yuko poa! Tunaposema lowassa hafai tunamaanisha! Chenge ni mzuri zaidi ya lowassa! Sijui unatuelewa! Hivyo ingawa Membe ni JK ila angekuwa better 5 times kuliko lowassa!
 
Mnashindwa kuwapuuza walioifilisi hii nchi mnahangaika na watu makini.
lowaasa ni mtu makini?????.. ha ha ha ha... anapaswa kupuuzwa kwani ni kati ya watu walifilisi inch hii. sumaye na kingunge nao wametufilisi sana. we subiri majipu yanaendelea kutumbuliwa.
 
Ni kweli Rais Magufuli anahitaji ushirikiano wetu.

Ndiyo maana nimesema Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe kwa sababu hawataki kushirikiana na Rais Magufuli wakati sisi tunataka kushirikiana na Rais Magufuli.

Wametuambia hawamtambui Rais Magufuli.

Mada kama hizi napitaga kimya maana ni pumba tupu hizi, kama sio uchochezi usio na faida kipindi hiki taifa linapokuwa moja bila kujali itikadi. Wengine wamelewa mchakato wa kampeni bado wako kwenye kampeni wakati zilikwisha kitambo na sasa tunajenga nchi pamoja.
 
Mnashindwa kuwapuuza walioifilisi hii nchi mnahangaika na watu makini.

Watu kama wewe mnatakiwa kukalishwa kwenye dole la kati tu, na kutekenywa ili ukatikie kidole! Watu makini??? Hovyo kabosa!
 
Mada kama hizi napitaga kimya maana ni pumba tupu hizi, kama sio uchochezi usio na faida kipindi hiki taifa linapokuwa moja bila kujali itikadi. Wengine wamelewa mchakato wa kampeni bado wako kwenye kampeni wakati zilikwisha kitambo na sasa tunajenga nchi pamoja.
Taifa litakuwa vipi moja wakati Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu hawamtambui Rais Magufuli?

Huwezi kujenga nchi kwa pamoja wakati kuna wengine hawakithamini na kukitambua unachotumia kuijenga nchi.
 
Kabla atuja wapuza swali je ccm imeshinda kiali Kama kweli kihali tunasababu ya kufanya hivyo
japo umekosea kosea maneno lakin nimekuelewa. hizi ni lugha za watu wanaoishi daslam na maeneo mengine ambapo wabunge wa upinzani walishinda. mnasahau kuwa inch hii si daslam na hayo maeneo ambapo mmeshinda. ni mtu asiyefikiri vizuri ndo anaweza kusema lowasa alishinda huku akiwa amepata wabunge wasizidi 100.

ccm imeshinda kihalali kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Ctv
Back
Top Bottom