ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Lowasa hana jipya yeye anaamini katika kugawa rushwa, kama wali na pilau! Yeye ajihoji kweli amelitendea haki taifa letu kuhusu rushwa? Hasa Richmond?
Hivi kuchi ana meno?
Uwaziri Mkuu ulimshinda sasa analilia uraisi. Uwezo wa kuendesha nchi hawezi kuwa nao hata kidogo ndio sababu anataka kuununua kwa kutumia fedha alizotuibia kwa kupitia kampuni za richmond na mdogo wake dowans.
Umaarufu wake wa kuwa fisadi hauna tija yoyote kwa wananchi wa Tanzania na hata monduli kwenyewe ambako wamasai wanakufa njaa huku yeye akikesha makanisani akifanya kampeni.
ni kazi sana kuukubali ukweli na hasa ikiwa mfereji wako wa maisha unapitia kwake endelea kuvuta pesa mabazo kiukweli hazikusaidii zaidi ya kukuongezea laana kwa kutetea ujinga.acha kumtaja mungu kwa roho yako mbaya.we kama hujui kutafuta pesa jinyonge.mnamzushia ufisadi bure mzee wa watu wakati jk ndo alimchafua kwa fitna yake
Lowassa jembe sana banaa........