Lowassa: Sina shaka na umaarufu wangu .

Lowassa: Sina shaka na umaarufu wangu .

Huyo Membe wenu atakua Raisi wa TFF atusaidie kucheza kombe la dunia raisi wa TZ 2015 ni Dr Slaa
 
380562_247231958671051_193957594_n.jpg
 
lowasa bwana mzee kaanza kupagawa laana ya watoto wanaosomea chini laana ta mama zetu waokosa japo panaldo laana ya richimond imeanza kumtafuna sasa hvi anaropoka lolote mpaka wamasai sasa hawamwamin zaman alikuwa akienda huko wala hataji chadema sasa maji ya shingo anaona ndugu zake wameshaijua chadema sasa yeye anawambia mabaya ya cdm kaishiwa mzee hakujua kula na kipofu we kwa cku nasikia mzee arikuwa anakunja ml.150 wakati kuna shule haina mwalim hata1 mwache atapetape

niweke kumbukumbu sawa.lowasa ni mmeru aliyekulia umasaini.watanzania wengi wanamjua kama mmasai.na alilelewa umagambani.
 
Back
Top Bottom