Lowassa: Sina shaka na umaarufu wangu .

Lowassa: Sina shaka na umaarufu wangu .

Mbona umaarufu wake haukumusaidia Mkwewe Sioyi Sumary kule Arumeru!

Tatizo la Tanzania ukiwa FISADI ukuwa "MAARUFU" badala ya kuwa BEHIND BARS! Maajabu ya Tanzania hayatakaa yaishe kama CCM itaendelea kututawala.
 
Watu wote waseme,hata Lowasa una ujasiri kweli wa kuishambulia CHADEMA au viongozi wake?!!!
Au huyu mzee amesahau walivyomtia adabu kwa mkwewe?!!!

Salaam zake"Atulie hatuzungumzi na MAFISADI tunazungumza na kwanza na wenye MAFISADI"
 
Kilichompata kwa mkanza mwana wake arumeru ndio kitakachompata makuyuni na kata ya kimandolu kwa hawara yake Edna sauli.
 
Huyu fisadi na yeye sasa ameanza kuweweseka baada ya kusikia kuna makundi mengine ya urais ndani ya ccm yameanza kujipambannua. Atulie anyolewe

mkuu, nadhani umechanganyikiwa
 
Raisi wa awamu ya nne amenena,LOWASA akunaga watapata kipigo cha mmbwa mwizi.
 
binafsi simkubali mtu huyu kama ni dhambi MUNGU anisamehe, lakini inavyoonekana ccm hawana mtu mwingine zaidi yake kama wanabisha wamtaje ( kibaya zaidi wanachoangalia zaidi ni fedha zake ndizo wanazozifikiria )
anangufu kwa kuwa ana mali ambazo sisi wadanganyika hatujawahi hata kuhoji amezipataje.
lakini naamini MUNGU atafanya kitu siamini kama ataendelea kutuacha tunyanyasike.
 
Hivi mamvi alitegemea chadema wasisimamishe mgombea? Naona huyo kaanza kuogopa. Namshauri avunje tena benk kama arumeru, lakini mwisho wa yote ni dakika tisini tusubiri.
 
Daa wazee wngne ving'ang'aniiiiiz hawakati tamaa yaan pamoja na ufisad wake wote lkn bdo haogop kusima mbele za watu na kuwashtumu CHADEMA...!sasa bac Kma kukipigia kura chadema ni kukuchoma kisu, {walay naapa} mwaka huu lazma tukuchome kisu cha tumbo nahv utufanyia ufisadi subr sasa uone...!
 
Lowasa Ni Jembe..kupambana nae ni sawa na kujaza maji baharini au ziwa victoria...Lowassa Presdent 2015
 
Amesahau ufisad aliotufanyia katika nchi hii leo anajifanya ni mwema. hawezi kuzuia sautiya umma, subiri kitaeleweka tu hawa sio watanzania ya enzi hizo wa kudanganywa kirahis.
 
Hii ndio tz . Jamaa kaibaaaaa kafisadiiii. Leo anasimama jukwaani kunadi sera za chama chake, tukisema chama cha mafisadi mnang'aka. LAKINI ARUMERU SI ALIJISIFIA HIVYOHIVYO TENA KWA MUME WA MWANAYE?

Ameiba nini?

Peleka ushahidi kwa vyombo husika basi kama unao.
 
Tusubiri tuone wananchi wanajua cha kufanya.

Chungeni Maneno Yenu, na kesho msije na maelezo mengine, Maana Campaign yenu ya vitongojini mwatumia Helikopter, pesa za kuomba kwa walala hoi,
 
Mbona sijaona sera ya chama ikitangazwa?wamefanyiwa nin?na watarajie kufanyiwa nin ndo nilipenda kusikia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Lowasa ni Mungu wa Monduli. Anaendeleza "zidumu fikra za Mbunge wa Monduli". he is untouchable. Monduli hakuna demokrasia chini ya Lowasa. Analotaka litakuwa. piga ua. he is alpha and omega of Monduli. he is omni-potent. Yeye ni mwanzo na mwisho hapo Monduli. Baadhi ya watu wake wanadirikihata kusema, "hivi mbunge wetu akiwa nasi, je ni nani atakuwa juu yetu?" Msamiati wa ufisadi haupo kwa wana Monduli. Wanahisi mtu akiitwa fisadi, maana yake ni mtu tajiri na anaetumia mali yake kuwanunulia watu wake nyama na pombe minadani. Je ni nani atashindana na huyu mwamba huko Monduli? CDM tumieni mawazo ya kisayansi na kuacha kutumia rasilimali za chama mahali mnapoona watu wana miungu yao ambapo kunahitaji nguvu ya ziada kuwazindua. Hata hivyo hamtaweza kushinda maeneo yote. Kuna maeneo ni budi kuwaachia vyama vingine. Concentrate mahali palipo na uwezekano wa kuwaamsha watu kwa gharama ndogo.
 
Back
Top Bottom