Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

jana si tulimsikia sadifa akisema hakuna wa kukatwa jina?

Mkuu hawa watu Kila mtu anasema lake s's.........Sadifa akisema hiki, Makando sijui makonda naye anasema Kile,kesho Nape anaibukia kule, mara JK naye kasema Kile......Ili mradi tu mnara uanguke CCM ibaki historia.
 
Reactions: jme
Kajimbange uje na story nyingine nzuri hii imechina kuipangilia umeshidwa mwaka mtakoma kumjua COMRED LOWASSA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA
 
Mkuu hawa watu Kila mtu anasema lake s's.........Sadifa akisema hiki, Makando sijui makonda naye anasema Kile,kesho Nape anaibukia kule, mara JK naye kasema Kile......Ili mradi tu mnara uanguke CCM ibaki historia.
mkuu hata mnara wa babeli ulianguka hivi hivi kila mtu anaongea lugha yake
 
Kajimbange uje na story nyingine nzuri hii imechina kuipangilia umeshidwa mwaka mtakoma kumjua COMRED LOWASSA TUMAINI JIPYA KWA WATANZANIA

Endelea kufikili ni story, unafikili huu ni udaku? atakatwa na wenzie, tuambie atatokea wapi? yeye tu ndio atalalamika? we amini utakalo ila habari ndio hiyo
 
Mpaka ifke wakati wa uteuz na uchaguz wenyewe,wenye hadithi watatunga sana mwaka huu,zetu n kuzsoma tu hzo hadith.
 
manelezu kampeni zenu tu hizo za majitaka...kwamba mnamhofia lowassa ni dhihirisho tosha kuwa yeye ndiye chaguo la Mungu kwa kipindi hiki.. aliyekudanganya kuwa majina yatakatwa mwambie anajidanganya kwani kila mtu na kila timu inayo mipango mikakati na inaifanya kwa hadhari na uangalifu mkubwa sana.
 
ocampo four ukuje pande hii.. Ati wanataka kumchinjia baharini kamanda wa ulwaigan..?
 
Last edited by a moderator:
 
Tunachora tuu
 

Attachments

  • 1424775689933.jpg
    70.3 KB · Views: 164
Kwani ni lazima apitie ccm kuwa raisi bana? Awapige chini tu mapema wajifie mbali ccm tayari wanapumulia mashine icu ya Mwaisela.
 
..... yupo unclassified kwangu its enough, we jua tu ni insider. Always classified to the general population.
Hapa ndo sasa umeeleweka...! Kaa naye vizuri...atoe data za uhakika ili waje wabanwe vya kutosha...!
 
Asante kwa taarifa muhimu kwa waroho wa madaraka na wezi wa taifa letu. Sasa napata amani kuwa rais ajaye sio huyu mwizi na fisadi kuu lililokubuhu (el).
 
Mbona kila siku mnaishia vitisho kateni muone
 
CCM wasubiri wapigwe salama wasianze kutafuta visingizio mapema kuwa tumepigwa kwa sababu tulisimamisha kiongozi ambaye hakubaliki na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…