Kamanda Edson;
Let us wait and see, time will tell.
Nape ni Mpinzani asilia wa Mafisadi hasa EL. Sasa jiulize kwa nini JK alimweka Nape na dogo huyu anawabomoa bila huruma kila kukicha na babu yao Mukama anawapa Chagizo?
Hii ni Ngoma ya wakubwa Mkuu, tusubiri dakika 90. I tend to believe JK atawatosa na asipowatosa CCM inakufa na tai shingoni.
Peace & Love.
Respect.
That is why we need AZIMIO JIPYA!!
Tehe tehe tehe!Mwacheni Mwalimu aitwe Mwalimu. Naona yule mzee alipozungumzia suala la ubaguzi watu wengi hawakumwelewa. CCM wanawabagua CHADEMA kwa kusema wao chadema sisi CCM. Wamemaliza hapo, wamegundua ala kumbe kumbe tuna magamba. Watavua magamba yote na mwisho wa siku watagundua kuwa wana UPELE. Sasa hapo ndo ngoma itakapokuwa inogile. Jamani kutoa upele kazi sana, hiyo nadhani mpaka m/kiti atalia
ha ha ha,kweli wewe ni sailor usiye na dira ya sumaku,naona wapotea katikati ya bahari...kila la kheri utatukuta pwani..Hapa mmechesha, siku zote mmekuwa wapinzani wa ufisadi, Leo mmekuwa watetezi wa mafisadi kwa Sababu ya chuki yenu dhidi ya CCM. Kwa hili CCM imewapiku nwa wananchi wamehamia. Ninyi na CDM yenu mtabaki mahameni katika moto wa milele.
ni kila siku sasa tukisikia bwana nape akiwawashia moto mafisadi watatu kwamba wajivue uongozi na hata uanachama ndano ya ccm. Je kama wakianzisha chama chao cha siasa nini mtazamo wako? Watavuna au ndiyo utakuwa mwisho wao wa kisiasa?
You must be joking mkuu or you are out of your mind!Hivyo vyombo unavyofikiri viko alert, yawezekana viko kwenye pay list yao.
Kama bwana mkubwa ndiyo walimuweka madarakani, watashindwaje kuviweka mfukoni hivyo vyombo vilivyoteuliwa na bwana mkubwa?
Ni kila siku sasa tukisikia bwana Nape akiwawashia moto mafisadi watatu kwamba wajivue uongozi na hata uanachama ndano ya CCM. je kama wakianzisha chama chao cha siasa nini mtazamo wako? watavuna au ndiyo utakuwa mwisho wao wa kisiasa?
raia yeyote ana haki ya kuanzisha chama cha siasa kuvuna watu au kutovuna ni matokeo ya baadae. Inakusumbua hiyo mkuu?????????????
nina imani na mwenyekiti wa ccm taifa. Hawa mapacha wa3 watu mnawaona kama miungu na wakati hawana chochote. My president will get rid of them within the next 90 days