Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
vigezo vya msamaha vinaeleweka kuna mkosa ambayo hayana msamaha sasa sijui atatumia vigezo vipi huyu jamaa anatumia taaluma yaeya sanaa vizuri
 

Hivi kweli akina "Mario" huwajui kweli? Sitaki kuamini nawewe umeshalishwa shuntama.
 
Ni mtanzania gan asiyejua kua Babu seya alidhulumiwa, kafungwa kisa alikua anamega kisela mzigo wa kiwete! BIG UP LOWASA
Una uhakika na unachosema au unaropoka tu. Marando Mabere alikuwa wakili wao anajua kila kitu. Muulize atakuambia ukweli. Acha kuleta mambo ya kijiweni hapa
 
hakukutana na JK barabaran so anajua mchezo uliotumika kumfunga seya babu
huenda anajua namna kesi ilivyopikwa na ushahidi feki

leo hii serikali ikitaka kukupa msala kesho asubuhi itakutwa bunduki na kipande cha meno ya tembo chumbani
utasemwa bunduki iliporwa shtakishari na tembo aliuwawa KARIAKOO usiku alipokuja mjini toka maporini
 
Lowassa ni mgonjwa anajisemea hovyo. Kinachofanya kazi ni pesa zake na si yeye.

Signature yako:
Maajabu ya Tanzania, DJ wa klabu ya usiku anasafisha dhambi na kuweza kumfanya
"shetani kuwa Malaika".
Pedagogic at Heart

It contradicts with your religious beliefs (faith). Ni Mungu tu (Allah) pekee mwenye uwezo wa kumsamehe binadamu dhabi na si kinyume.
Kufuru hii utailipa siku Mungu atakapokuita mbele ya haki, na atakupa adhabu ya maumivu ya moyo kuanzia leo hadi uchaguzi mkuu utakapo kwisha.
We kaa na ushabiki wako kuwaita watu 'maarufu' mashetani. Hao mashetani wa kweli kweli mbona ndio unaowakumbatia??
 
Hii sheria mpya itatukamata wote humu zaidi ya buku kumi tunaopost uzushi uzushi na wiziwiziii
 
Mkuu, TEKNOLOJIA, nakuunga mkono kwa mchango wako. Hii ndiyo michango yenye hoja za msingi za kuelimisha jamii. BIG-UP
 
Rubbish!!! Una uhakika? Kasema lini? Na wapi? Kama una ushahidi nakushauri ukae kimya tu. Wewe ni chuki tu binafsi dhidi ya Lowassa inakusumbua. Polee!!!

Unaongea hovyo kama mlevi wenu Luwashaaa ..anasimama anasema shut up wakati huohuo anazunguka anawaomba kura aliowaambia shut up ..acheni matusi, semeni sera zenye mashiko si porojo za babu seya ..hayo ya babu seya nendeni kwenye familia yao kwasababu hill si concern ya maendeleo yetu, kama mnataka kutoa watu magerezani semeni kwamba mna Sera ya kutoa wafungwa magerezani
 
mbona aden rage aliposamehewa na rais baada ya kufungwa kwa wizi wa mipira 50 tu ya adidas yenye thamani ya tsh 2500 kila mmoja hukuandamana ?
 

Umesaahau Majaji wa ESCROW?
 
Hakuna dhiki wa dhiki, ipo siku Babu seya atatoka, Kwani ukweli wa mambo Anajua mwenyezi mungu ...
 

JK atapata shida kubwa kumnadi Magufuli maana mtu mwenye siri zake nyingi yupo upande mwingine.Mwaka huu tutasikia mengi
 
msamaha kwa mbakaji watoto....?!!

Sio tu ubakaji na ulawiti pia. Siijui kwanini watu wanang'ang'ania kwamba kaonewa...jambo usilolijua. Nahofia kwa utawala wa Lowassa kama utakuja basi ubakaji, ujamabazi, madawa ya kulevya tutaona ni mambo ya kawaida
 
Nyie mliamini pesa za escrow sio za umma inakuwaje muamini babu seya na wanaye waliwabaka watoto kwa pamoja?
 

Mtu huongea kilichoko moyoni mwake, sishangai huyu babu kumwona mbakaji hana hatia, huyu "Mario" alikuwa mwanamziki wa kwenye club za usiku, haiwezekani mtu akaamua kumlengesha tu bila sababu, kama alikuwa anakula mali ya mkubwa basi huyo mkubwa ni mtu mstaarabu sana, fikiri ni wewe mtu anamshangilia jamaa anaemega vitu vyako utamfikiriaje? Kwa kauli hii nakwambia itachochea mauji ya kutisha subirini picha kwenye magazeti ya Ijumaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…