Wana JF.
Naombeni kufahamishwa moja ya ahadi ya mgombea wetu wa UKAWA Edward Lowassa, ni kuwatoa jela, Babu Seya na watoto wake kwani hiyo kesi yao ya ubakaji walionewa na mahakama.
na ameahidi kumfufua pia Balali
Na wale masheikh?
Wana JF.
Naombeni kufahamishwa moja ya ahadi ya mgombea wetu wa UKAWA Edward Lowassa, ni kuwatoa jela, Babu Seya na watoto wake kwani hiyo kesi yao ya ubakaji walionewa na mahakama.
Na wale masheikh?
duh propgnda kazini
kataa propaganda mfu za ccm