balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,511
- 15,140
mama saliiiima,mama saliima,ulinidang'anya nikamwacha yuleeee,,,,mama saliiiiiiiimaaaaa
Yuko CCM mmoja leo akiwa na Makomeo ,masikini amepanda jukwaani eti Lowasa kasema atawaachia mashehe na babu Seya,nilimuoneya huruma sana kijana yule ,ooh sijui anataka kuwaachia magaidi wamemwagia watu acidi womechoma misikiti na makanisa kule Zanzibar ,mahakama hadi leo wanasubiri ushahidi huo ,wewe kama huo ndio ushahidi wako na hao mashehe wa uamsho ndio waliochoma miskiti na makanisa neda kawasaidie upande wa mashitaka kwani hayo unayoyasema hawayajui na hawana shahidi wa hayo ,tafadhali jitokeze usaidie.
Ila waliochoma makanisa na misikiti na kuwamwagia watu acid nyie ccm mnawajua kwa undani kabisa,iko siku mtawataja au mtatajana.
Hivi kumshabikia Lowassa ni lazima uwe zezeta?? unajaribi kwa kila hali kumuokoa Lowassa asionekane nunda, ila ukweli ni NUNDA! Si ajabu hata bungeni kina Lucinde wana hoja zaidi yake!Kama uliwahi kusoma katika vyuo vikuu vya huko majuu ,kama unamsikiliza Lipumba huwa hakutumiki chaki ubaoni, na kwa muda ulivyokuwa mdogo ulitakiwa uwe na ufahamu ,alichokusudia Lowasa ni kuondosha dhuluma ,dhulma inayofanywa na utawala wa CCM na si lingine ,kupotea kwa balali,kufungwa kwa Seya sababu na mikasa ukisikia na hao mashekhe wa Zanzibar ambao kundi lao lipo kisheria la uamsho ,mpaka leo hakuna ushahidi wowote ule uliowasilishwa na upande wa mashtaka ,hakuna kila wanapojaribu kuwahusisha na wengine wanakwama ,wanabaki kuwapiga kalenda.
Mnaopiga makelele naona mmeshindwa kuelewa kuwa CCM yenu inaendesha nchi hii kwa kuwadhulumu na wapo wengi wanaodhulumiwa ,kaeni chonjo saa mbaya CCM mnaondoka mkitaka msitake.
acha uongo, alichosema ndo alichokusudia.
Hivi kumshabikia Lowassa ni lazima uwe zezeta?? unajaribi kwa kila hali kumuokoa Lowassa asionekane nunda, ila ukweli ni NUNDA! Si ajabu hata bungeni kina Lucinde wana hoja zaidi yake!
Too bad your president appointed a NUNDA PM! Sasa sijui lengo lilikuwa nini....?Hivi kumshabikia Lowassa ni lazima uwe zezeta?? unajaribi kwa kila hali kumuokoa Lowassa asionekane nunda, ila ukweli ni NUNDA! Si ajabu hata bungeni kina Lucinde wana hoja zaidi yake!
Na wale masheikh?Sijamsikia akisema atawatoa, mara mbili nimemsikia akisema atashuhulikia hiyo kesi.....kujibu swali lako inawezekana kuna kitu anajua sio sawa kwenye hiyo kesi, maana kesi yenyewe iliendeshwa kiaina na.ilikuwa na mizengwe kibao mpk baadhi ya raia kutilia shaka mashtaka yenyewe.
Kwa hiyo mnataka kunishawishi Mahakama sio huru inafanya maamuzi kiaina?