Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
Hao wanaompinga kwa wazo lake hilo akili zao ZINA KIPINDUPINDU
 
Mimi napita tu...Kauli hizi ni zile ninazozitoa kwa wajukuu zangu kama hii.."Kaniletee ugoro wangu pale kwenye kabati ndogo...usijali niatakununulia ndege wiki ijayo eeeh! usijali... fanya haraka"
Kauli za "Nitamleta Balali nchini" au "Nitamtoa Babu Seya jela" hazitofautiani na hizi za kuletewa ugoro na ahadi ya kununua ndege!Simply amlete huyo BALALI apewe kura.
Nawahi ugoro jamani....
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je, Lowassa hautambui mhimili wa mahakama?

Je, utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania

Wewe hacha kuwa na akili kama tumbili, unadai mikoa yote imeunganishwa kwa barabara? kwa hela hipi? kwa nini usijiulize hela hiyo imetoka wapi? unabakia kukariri tu kama litoto la cheke chechea. Kodi za watanzania wamekula, badae wakakopa na kuongeza madeni katika taifa letu. ela za kukopa ndo wanafanyia maendeleo arafu badae tulipe. nikuulize wewe mtoa mada kama hauropoki unaweza kuniambia mpaka sasa hivi nchi yetu inadaiwa kiasi gani? hujui mpaka kulipa hilo deni hata mwanao ambaye hajazaliwa anatakiwa kulipa? Pimbili kweli weeeee
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je, Lowassa hautambui mhimili wa mahakama?

Je, utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania

Kinacho onekana hana washauri, hajui nini watanzania wanataka, na anaonekana ni Mwepesi mno kisiasa na kimkakati
 
Hapa amekosea. Ukweli usemwe, na nadhani anasoma hii. Ni kweli, kama rais ana madaraka ya kufanya hilo, kama alivyokuwa na madaraka ya kuidhinisha mtu anyongwe.....lakini kisiasa na kiwakati, angalau angesema" nitashughulikia suala la uadilifu wa mahakama, na kuwatoa wote waliobambikizwa na wasio na hatia" Hiyo ingeeleweka na ni ya kimantiki zaidi, kama anaamini Seya alifungwa kijeuri.
En tous cas, hili si suala la kipa umbele kwa Watanzania wa leo.
 
..sio wote walioko jela n wahalifu wa kweli,wengi wameonewa kwasab ya nguvu ya fedha au mamlaka
 
BRO USIPOTOSHE WATU..aliombwa na umma juu ya hilo, yeye akajibu hawezi kusema atamtoa bali ataaangalia mashtaka yake na jinsi kesi ilivyoisha. kwa ufupi mwenendo mzzima wa kesi. acheni fitina.....huyo NGUZA kaonewa hata hivyo
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je, Lowassa hautambui mhimili wa mahakama?

Je, utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania

Ni dhahiri atakuwa anafahamu kuwa hawakuwa na hatia yeyote ndio maana wakawekwa ndani kama ambavyo ilivyowahi kunenwa.

tatizo la nchi hii tetesi nyingi huishia kua kweli .....BTW sina maana kina babu Seya hawajatenda kosa
 
Binafsi nilishtuka sana kumsikia Rais mtarajiwa akiahidi hadharani ku frustrate maamuzi ya Mhimili wa mahakama bila hata kusema atatumia sheria ipi. Tunajua Rais ana mamlaka ya kutoa msamaha kwa wafungwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria nyingine. Lakini msamaha huo hautolewi kihorelahorela na kwa kosa lolote tu bila kufuata guideline zilizopo.

Babu Seya kwa kosa aliloshtakiwa na kufungwa kwalo haliko na muda wa kifungo alichopewa (Maisha) halimo katika orodha ya makosa ya kusamehewa na kutolewa jela. Sijui huyu atakuwa ni Rais wa aina gani.

Nadhani Lowassa amepoteza uwezo wa kutafakari kwa kina na anaoambatana nao pia ni laymen kwa mambo mengi tu achana kuwa laypersons wa kisheria tu.

Huyo mwenyekiti wa CDM ndo layman wa mambo mengi sana na hata anayodhani anajua anayajua kijuujuu tu na nadhani hata washabiki wao wengi ni wa aina hiyohiyo. Wakipewa viroba, wakawekewa mafuta kwenye bodaboda, posho kidogo iso zidi 20000 wako tayari kuandamana na kushangilia lolote litokalo vinywani mwa hao wakubwa zao.

Hivi wewe ambaye una mtoto wako wa kike au kiume mwenye umri wa miaka 10 na kurudi chini hadi 6 anapobakwa tena kwa namna ile ya kuchangiwa na watu zaidi ya mmoja na akaharibiwa sehemu zake za siri mbele na nyuma utakuwa na ushujaa wa kumshangilia rais ajaye anyesema atawaachia huru wabakaji wa aina ya Babu seya?

Mahakama ya Rufaa ndiyo chombo cha juu kabisa cha utoaji haki nchini kwetu na ina majaji weredi sana na kwa hiyo uamuzi wake ni wa mwisho. Leo unawezaje kuwa na rais ambaye anasisitiza kuwa ataingilia uhuru wa Mahakama?
 
Tulisha jadili hii mada wiki mbili zilizo pita Moderator unganisha huu uzi na ule wa "lowassa atamtoa babu seya gerezani"
 
Last edited by a moderator:
Hahaha nimependa hapo kwenye viroba du! Asilimia 90% ya fuata Mkumbo CDM niwanywa viroba Na mateja
 
Jinsi mnavyomsema huyu jamaa ata asiemjua itabidi ampende tu manake atajua mmejaa chuki na fiksi na mmejaa woga kweli kweli...miaka nane mnamsema lkn umaarufu unazidi kupaa tu..poleni sana
 
Uliyetoa post uko vizuri katk sector moja lakin nyingne unataka kuzidi. Umesema kuwa et KUWABAKA NAMNA ILE NA UNGEKUWA WEWE MWANAO KAFANYWA VILE..... Ulifanikiwa kuwaona hao waliobakwa na unaweza kuprove wewe hapa bila hata kuacha chembe ya shaka ukatuaminisha kuwa ni kwreli walibaka au basi tu ushatekwa na siasa? Otherwise, umeongelea vyema kuingilia muhilimili wa mahakama lakin ktk kubakwa na kuongea kanakwamba ulikuwa eye witness ambaye kisheria is a good witness hapo ungeeleweka faster lakin umetia chumvi tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom