simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
Lisemwalo Lipo. Lisemwalo babu Seya hakutendewa haki.Lisemwalo la babu seya limewatia huruma watanzania wanadai haki sawa kwa wote.
Kuachiwa Kwa Babu Seya ni hitaji la Watanzania. It is a fact and not a supposition. Here is the reason.
The meaning borne behind Lowassa's promise ya kumtoa Babu Seya ina maana kubwa sana kwa mtu anayefikiri kwa makini. While I wont point out issues related to the technicalities of law, I can infer that anachokisema Lowassa ni kwamba haki ilitendeka kwa mujibu wa sheria, lakini haikutendeka kwa ukweli uliopo nyuma ya pazia. Ambao wewe na mimi hatuujui lakini yeye kama aliyekuwa ndani ya system anafahamu.
Remember that "justice according to law, must not necessarily be justice". There justice according to the law, justice according to morality, and justice according to equity.
What you have done in your statement or argument is to show that Babu Seya was convicted and sentenced to imprisonment... That is Justice according to the law. Meaning kwamba hata kama ushahidi ulitengenezwa vyema dhidi yake...ilipaswa afungwe tu coz ushahidi umethibitisha hivyo. But would that be justice? Not at all. This is the meaning borne behind Lowassa's promise ya kumtoa Babu Seya.
Je, Watanzania wanamuhitaji Babu Seya? I would answer this; whether watanzania wanamuhitaji au hawamuhitaji Babu Seya, justice needs him out. More so, we need a person who will stand firmly to oppose injustices done to innocent people like Babu Seya. We may not need Babu Seya but we need people who will protect or dare to protect the injured innocents and Lowassa has proved to be the best person for this.
Lowassa's statement sends a message to the public on where we've gone as a nation in valuing and protecting Human Rights. Probably it's a time to make a U-Turn to ward Justice to people in its true meaning
Hivi Magufuli alivyoahidi laptop kwa waalimu JE LAPTOP NDIO HITAJI LA WAALIMU?
.....umeshatafakari ni kwa kiasi gani muhanga wa uhalifu wake ( yeye babu seya) wanavyotia huruma kamanda?
Lete ushahidi wa hilo jambo maana limekanushwa na msemaji wa ccm,hajatoa hyo ahadi
kuachiwa kwa babu seya ni hitaji la watanzania. It is a fact and not a supposition. Here is the reason.
The meaning borne behind lowassa's promise ya kumtoa babu seya ina maana kubwa sana kwa mtu anayefikiri kwa makini. While i wont point out issues related to the technicalities of law, i can infer that anachokisema lowassa ni kwamba haki ilitendeka kwa mujibu wa sheria, lakini haikutendeka kwa ukweli uliopo nyuma ya pazia. Ambao wewe na mimi hatuujui lakini yeye kama aliyekuwa ndani ya system anafahamu.
Remember that "justice according to law, must not necessarily be justice". There justice according to the law, justice according to morality, and justice according to equity.
What you have done in your statement or argument is to show that babu seya was convicted and sentenced to imprisonment... That is justice according to the law. Meaning kwamba hata kama ushahidi ulitengenezwa vyema dhidi yake...ilipaswa afungwe tu coz ushahidi umethibitisha hivyo. But would that be justice? Not at all. This is the meaning borne behind lowassa's promise ya kumtoa babu seya.
Je, watanzania wanamuhitaji babu seya? I would answer this; whether watanzania wanamuhitaji au hawamuhitaji babu seya, justice needs him out. More so, we need a person who will stand firmly to oppose injustices done to innocent people like babu seya. We may not need babu seya but we need people who will protect or dare to protect the injured innocents and lowassa has proved to be the best person for this.
Lowassa's statement sends a message to the public on where we've gone as a nation in valuing and protecting human rights. Probably it's a time to make a u-turn to ward justice to people in its true meaning
mimi sio mshabiki wa siasa za upande wowote ule lakini niliwahi kumsikiliza huyu bwana wakati wa kuomba wadhamini akiwa ccm,alikuwa akirudia rudia kusema kwamba eti walikubaliana na raisi kikwete kwamba akimaliza muda wake atamwachia yeye,you can imagine mtu ambaye anataka urais anaongea upuuzi huo jukwaani.Sijamsikia akiongea mambo ya maana mimi kwenye ziara zake zote zaid ya blaaah blaaah.
Jamani huu u ni nini.
jinga mwingine kama tukiukubali tutakuwa watu wa hovyo na tutachekwa watu dunia nzima, kuna taratibu za kuendesha mtu, after all babu seya ni nani katika kutafuta maendeleo ya nchi hii? Ama kweli akili ni nywele......
dah nimecheka mpaka basi
ulitaka aongee nn wakati kampeni bado? Mikutano ya kusaka wadhamin huwa sio ya kampeni ni kosa kisheria. subiri kampeni zianze