LOWASSA ni tishio

Kweli kabisa, Lowassa ni tishio kubwa kwa ustawi wa taifa lenye umoja na maendeleo kwa jinsi ambavyo anavyojali zaidi nafsi yake na kugeuka kuwa shimo lenye kina kirefu kisichojaa na kinachoongozwa na tamaa zaidi.

Hakika ni kiongozi mmoja ambaye atalazimika kutumia zaidi ya 3/4 ya mali zake kujaribu kumnunua kila mtu na mwishowe kuambulia patupu!!

Wa-Tanzania kula kwa Lowassa na kura kwa CHADEMA!!!!!!!!!!
 
Ahaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kumbe ndio maaanaa leo nimepata jibu la swali langu la kipindi kirefu sana juu ya huyu mheshimiwa. Duuuhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!

E bwana hebu tuongezeee tena japo kidogo zaidi hii dozi.


LOWASSA TISHIO?!
Tusiandike kwa mate wakati wino upo:

1972 - 1973 Milambo High School (combi: Swahili, History na English - SHE) Division III

1975 - 1970 University of Dar es Salaam (B.A. Theatre Arts "Sanaa ya maigizo") Pass

AMA KWELI TISHIO!
 
itahwa, najaribu kukupata asili yako napata wasiwasi kidogo. Watanzania wote sasa hv wanalia na madeni makubwa ya nishati kwa sababu ya huyu unayesema ni msomi, siasa za kisasa zikoje unazozizungumzia?Hz za kulazimisha tenda? Hz za kulazimisha wananchi kujenga miundombinu ya kijamii ilhali pesa za serikali ambazo zingefanya kazi hizo zikitiwa ktk mifuko yao binafsi? Msipeleke siasa za ushabiki hata mahali palipo wazi makosa kutendeka. Kwani alipotakiwa kujiuzulu haikuthibitishwa kwamba alihusika moja kwa moja na kashfa ya Richmond? Richmond mpaka leo tunapozungumza si kashfa kwa serikali? Na mtendaji unapojihusisha na chombo chenye kashfa unakwepaje kuwa mwenye kashfa? Hakupewa nafasi huyu kujisafisha na kashfa hiyo? Je, alifanikiwa kujisafisha?
Mimi sitaki kusema na wewe umelipwa pia lkn hebu jitolee doa hilo mwenyewe!
 
KAUMAZA,ITAHWA,MUHADHIRI ni VIBARAKA TU HUWA SIJISHUGHULIKI NA KUJIBU THREAD LABDA KWA DHARURA SANA.... SHUKRANI KWA MWIBA BAADA YA KULA BAN LA NGUVU AMERUDI NA ADABU
 

Huo ndiyo ukweli ambao wengi hawataki kuusikia. Nakuhakikishia kuwa Lowasa kama atapata nafasi ya kugombea kituchochote katika nchi hii, kwa mtandao alio nao na kwa idadi ya watu wanaomuunga mkono nakuhakikishia kuwa kura atakazopata zitakuwa za ajabu. Pamoja na ukweli kuwa mimi si mwanachama wa ccm lakini kwa sasa huyu ndiyo tishio kwa wale wote watakao taka kugombea nafasi ya urais 2011 kwa ccm. Nyota ya Lowasa inawaka kwa kiasi kikubwa ndiyo maana waandishi wa habari kama Saed Kubenea wanafanya kila linalowezekana kujaribu kukumbusha watanzania maisha ya Lowasa ili wasije wakamkubali. Ni bahati mbaya sana kuwa inavyoonyesha wengi wanamuunga mkono kisirisiri moyoni ila mbele za umma wanajifanya kumpinga. Na hii ndiyo kusema kuwa wengi hawataki kujionyesha misimamo yao kwani endapo atafanikiwa kupenya 2011 basi siasa za visasi zinaweza kuwazoa wale wote wanaompinga hadharani, ndiyo maana hata viongozi waandamizi wa ccm pamoja na vyama vingine huwezi kukuta wanamsema Lowasa vibaya. Hao wenye ujasiri wa kumkosoa ni wale wasiojua hatari inyoweza kuwa mbele ya safari kama bahati itamrudia na hawa ni watu wa kawaida ambao hawana sauti za kutosha kuwaeleza wananchi.
 
lowassa ni tishio kwa uadilifu (anautisha uadilifu kwa kuwa yeye si muadilifu yaani fisadi), lakini si tishio kwa viongozi shupavu na mahiri kama sitta.
(nakumbuka zamani tulikuwa tunamuimba sitta si mchezooo........ Sitta si lele mamaaaa......heko jemedari wetuuuu..........)
 
ukweli mtupu kaka mm nadhani cna cha kuongeza kwa hili.
 

Nijuavyo mimi waliotuingiza kwenye deni ni serikali maana ishu ya Dowans ili jadiliwa awali kwenye kikao cha baraza la mawaziri ambacho mwenyekiti ni Rais kwa pamoja na baraza la mawaziri wote wakaridhia kuwa mitambo hiyo inunuliwe. waziri mkuu ambaye alikuwa Lowasa ndiye alikuwa pia kiongozi wa shughuli za serikali hivyo ilikuwa lazima asimamie kwa nguvu zote maagizo ya kikao cha baraza la mawaziri, baadae mambo yakaharibika je mbaya ni Lowasa tuuuuu? Watanzania tusiwe wavivu wa kufikiri, hili sakata la Richmondi limeharibiwa na mfumo wote wa uongozi huu ndiyo ukweli kama ni nchi zinazojua kuwajibika wote wangejipiga chini. Msimamo wangu mimi ni kuwa wote walistahili kubebeshwa msalaba, kumbebesha Lowasa peke yake sio sawaaaaaaa! kwa hili hata unishikie bunduki sitabadilisha msimamo wangu
 
Again another mental disorder of some jf members

mtoa maada kaeleza vizuri kwa nini ni tishio...nilidhani mngekuja na hoja ya kusema ni jinsi gani ya kumzuia

wengi mmechukulia kuwa mtoa maada anamsafisha lowassa!!!! What a shame?? Shame!!! Shame!!!! Shame!!!!
 

fataki data zako ni za kifataki. They are not true. Hata ulivyoandika tu bado umechakachua. Kama kitu hujui usiandike
mimi siungi mkono ufisadi bali pia siungi mkono uchafuzi kwa kutumia uongo
tunaomba data kwamba lowassa kachukua shs ngapi na wapi
tumesoma akina chenge na rada, akina manji na kagoda, akina ra na deep green
hebu tuache unafiki tuseme kile ambacho mtu amechukua na tuwe na records kama zingine vinginevyo tunapiga kelele ambazo hata kwa mwananchi wa kawaida huwezi kumwambia huyu mtu mbaya.
Watu wote waliochukuwa fedha za umma wameandikwa sana na wote sasa hivi wala hatuwasemi kila siku tunapoteza muda kwa lowassa
kama vipi huyu mtu tumpotezee lakini siyo kwa maneno ya giliba yasiyo ya kweli maana kwa hilo hakika twatenda dhambi sisi weneyewe na itaendelea kututafuna
huyu mzee mnamwekea maneno mdomoni kila siku, kwanini hayo makombora mliyonayo msiyaweka tuyatoe wakati ukifika akisema anataka urais
kwani kama yeye ni mbaya na ccm ikamsimamisha si ndiyo vizuri kwa chadema, cuf au nccr mageuzi ili tuinyang'anye ccm hati miliki ya utawala wa tanzania?
Hebu tuongeleeni tunayotaka kikwete na serikali yake watufanyie sasa watanzania, maana kwa njia moja au nyingine maneno yatamfikia tu, watu wake wa tiss ambao wamo humu ndani watamfikishia na itatusaidia!!
 
for you own good Lowasa ana kadegree cha tamthilia na kamasters ka Development study, hana elimu ya kutisha kiivyo kama unavyo dhani, issue ya kuwa mropokaji ni kwamba, Dr Slaa always speaks sense, please my you allow me to question you integrity maana you are giving out baseless comments like a ninny.
 
Kama sisi ni wazalendo wa nchi hii, tuangalie ni jinsi gani serikali zilizopita za ccm zimeipeleka nchi hii kwenye hali ilivyo sasa hivi. Kama ni hali nzuri tuwape heko, kama ni hali mbaya basi tuwape wengine nafasi.
Tusimwangalie lowassa kama yeye tuiangalie system nzima ya ccm. Tukiweka macho yetu kwa lowassa ina maana ccm hata wakituwekea bogus yeyote yule isipokuwa lowassa basi tunaridhika.
Hapa jf nilidhani tulikuwa intellectuals lakini kwa sasa hata watoto wa shule ya msingi hawachangii mada kwa namna hii (naomba samahani kwa kusema haya).
 
nadhani UVCCM WANAKOSA MUELEKEO KWAKUWA WANAKUBALI KUTUMIA NA WATU WENYE NIA MBAYA NA C CM NA TAIFA KWA UJUMLA
 
shelukindo analipa fadhila kwa sababu Lowasa alitumia fedha zake za kifisadi kuandaa dinner ya kumuombea kura ndio maana anamsapoti tena ni yeye na mumewe tu. wote walio kwenye kambi hiyo wana connection ya kifisadi: makongoro, alifadhiliwa kuiba kura, nchimbi wana dili na lile jengo pale karibu na Mzizima secondary, Rostam ni comrade wake in arms, sasa wewe unamtetea kwa lipi?
 

Umma wa watu masikini wakipigwa kanga tu wanampigia kura. Usidhani watanzania wengi wanamchukia kihivyo, wengi hawajui kinachoendelea, wengi bado wanampenda tena kama hiyo mikoa ya kaskazini ukitaka ukosane nao waambie Lowasa mbaya. Usiwasemee watanzania kabisa wengi ni wanafiki ndiyo maana mafisadi wengi uchaguzi uliopita wamepeta. Yaaani mkuu usiwaseemee watanzania kabisa ni watu rahisi kupita.
 
Lowassa hafai kuiga wala kuwa ndugu
Sisi tuliopo huku kanda ya kaskazini tunaomba achaguliwe na ssim hata monduli hawamtaki

naskia huwa anajikomba sana kwa wale wamasai kwa kuwachinjia na pombe,vinginevyo hawamtaki kabisa!na kuna kipindi naskia walimleta mmasai mwenzao agombee ubunge monduli lowassa akamtoa kimyakimya kwa mapesa mengi,ni tishio hafaiiiiii
 

mkuu nanu nawe umekuwa unapotea sana bana,unakimbia kumkoma nyani gilabu?jf imevamiwa kiaina lkn tusirudi nyuma
 

Lowasa ningemuunga mkono sana kama angemtoa kafara Rostam, Watz tungeweza kujaribu kufanya jambo lakini kwa hali ya Rostam hawezi kuwa safi, napenda kujiamini kwa lowasa na anaweza kuiweka nchi ktk discpline japo twaweza kuibiwa zaidi cjui! Nchi haina mtawala hii, ila ningemshauri aachane na mtandao wa akina Chenge atafute uhusiano mzuri na akina Mwakyembe atatoboa.
 

Unaanza kuchemka! Haya yote tunayoyapata ni matunda yake uje! Labda kamka wewe mgeni nchi hii! Huwezi mlinganisha Slaa na Mwnasiasa yeyote wa ccm wewe! Labda Magufuli kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…