LOWASSA ni tishio

mchapa kazi huyo ombwe lake la uongozi wa ufuatiliaji linaonekana wazi
 
Let us be contructive, huyo jamaa ni tishio kwelikweli ndani ya ccm, sio tishio kwa wapiga kura. Na hata mimi naona kama atakuwa mgombea wa ccm. 2015 patamu sana, akili mu kichwa Watanzania.:gossip:
 
lowasa hata ukimmilikisha keep left ya samora avenue au ile ya pale new Arusha hoteli atajenga gorofa ... tamaa ipo mbele

LAT acha watuumiza mbavu wenzio tuna pumu
 
Inaelekea Mafisadi walikuchagua bila kupitia CV yako.

Hebu tuletee ushahidi ni lini CDM wamemzungumzia Lowasa. Waliomzungumzia Lowasa hivi karibuni ni UVCCM na Sumaye. Actually, CDM watasherehekea siku Lowasa atakapopitishwa kuwa mgombea.

Hasawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 



senksi mkuu
 
Ndugu,
Nimefuatilia kwa mamini majibu ya wengi humu. Inaonyesha dhahiri kwamba bila kujali itikadi za kichama, wengi hawamkubali LOWASSA. Na mimi mmojawapo. Si kwa ushabiki wa kichama wala nini, ni kwa masilahi ya Taifa tu.
Ila sasa, lisemwalo lipo, kama tumeshajua hivi na nia ya mtu huyu iliyojaa tamaa, nawaomba tusimame kidete kwa pamoja na kuondoa tofauti za kichama ili kumpinga huyu mtu. Ni TISHIO kwa nchi hii.
Tumpinge kwa nguvu zote kwa sababu itatugharimu. Nina maana kusema kwamba maoni haya mnayotoa yasiishie humu tu kwa kumjibu huyu kibaraka KAUMZA sijui KAUZU, ambaye sina hakika amelipwa kiasi gani kuandika utumbo kama huu.
Kama ni Rais niko tayari kumuunga mkono mwingine yeyote awe Slaa, Sitta, Membe au Magufuli lakini si Lowassa.
 
Lowasa hagombei yeye. Anatafuta mtu mtakayemkubali ninyi. Ndivyo alivyofanya mwaka 1995. Mwalimu akauzima mradi ule. Alikuja fanikiwa mwaka 2005. JK ni Rais wetu sasa. Mengine ni historia. 2015 endeleeni kumkaba yeye. Hamuwezi kukaba hata penati. Atatokea kwingine kivingine.
 
Kuna ukweli fulani katika jambo hili, hivi unajua viongozi wote waliokwenda Loliondo kwa Babu walikwenda baada ya kusikia Lowasa amekunywa kikombe cha Babu!! ...na kadri siku zinavyozidi utasikia wengi zaidi wakimiminika Loliondo!

upupu+crap=tambwe hiza
 
ana laana ya NYERERE huyo hawezi kuwa Rais wa nchi hii kamwe...
 
Bwn Kahumuza unaishi ulimwengu gani wewe??????? Ni kwa uzuri gani katufanyia huyu Bwn Lowasa wako???????? Huyu Bwn alianza ufisadi siku nyingi tuu!!!!!! Hapa
Arusha watu walisha mchoka kama wewe hujui!!!!!!!!!!! Siku ya uchaguzi wa TZ kidogo auwawe na watu wenye hasira kali, gari lake lilipondwa mawe kama unabisha uliza watu wa Ars. Hayo madogo mpinzani wake alikuwa anajificha kwa kuogopa Umafia wa huyu Mwizi!!!!!!!!!! Aliiba saana AICC Mpaka akauwa CO ya Tours ya Jumuiya, akaanzisha CO nyingine inayo fanya kazi kwa ubunifu wake wa kimafia.
Kama unasema ni mafia ndio maana ni tishio, hiyo ni kweli!!!!!! Kijana wake Fred Lowasa kamshikia bango kijana mzalendo Mrisho akasimamishwa uongozi kwenye UVCCM Ars, kisa kasema baba yake ni fisadi na R Azizi, akazimwa kusudi anyamaze.
Lakini nakwambia pamoja na fedha mnazolipwa kujaribu kuwangalisha hao mafisadi hamtaweza!!!!! Watanzania wa leo sio wa jana hawadanganyiki!!!!!!!!!!!!
Hao si Malegwanani kuwahonga simu za Alphatel. Nani asiyejua kuwa huyu Bwn katuingiza hasara ya mabilion ya Shilingi hadi leo tunadaiwa na DOWANS na RICHMOND kAMPUNI ZA KUCHONGA KUWAIBIA WA TZ. Watu wametoa data zote za CO za huyu Bwn na DATA za mijumba yeye na mtoto wake waliyo nunua London, lakini serikali imepiga kimya. WATU WAMECHOKA NA HAO MAFISADI!!!!!!!!
Watu wanajua, shule hazina walimu, madawati hadi leo kuna watoto wanakaa chini, hospitali hazina dawa, madaktali hakuna, kama zipo ni maili nyingi kwa wakina mama wenye mimba kuzifikia. Yote shauri ya ufisadi wa watu wako hao unaowasifia!!!!!!!! Watanzania si mbumbu, amepandikiza watu kama wewe wamfagilie kwenye bunge, chama cha SISIEM, UVCCM lakini hawezi kubadili mtazamo wa WTZ wote, hiyo na Mungu wetu anayechukia uovu atatupigania!!!!!!!!!
Aliyofanya yanatosha anelekea kwenye uangamivu wake sasa, kama unabisha muulize Muhamahri Ghadafi wa Libya!!!!!!!!!!!
 
crap! crap! katumwa huyu aende monduli asilete story hapa
 
tuko pamoja!!!! Mkuu hawa wote sehemu yao ni lupango, wakanyee debe ni wezi tu!!!!!!!!!! Watapatikana tuu labda wahame tz!!!!!!!!
 

Aha hizo, EL hana ubavu wa kuwa tishio kwa CDM, on the contrary yeye ndiye anayehofia CDM. Fisadi ni fisadi tu na anajua kuwa CDM wanaujua ufisadi wake kwa details nyingi kupita maelezo; yaani halali usingizi kwa kujua kuwa anaweza kuumbuliwa na PEOPLE POWER ile mbaya!
 
mchapa kazi huyo ombwe lake la uongozi wa ufuatiliaji linaonekana wazi
Jf ni moja ya nguzo zilizopangiwa mkakati kutumika kubadili misimamo ya watu,na kuna watu humu wanaonekana ni full supporter wa cdm bila kutia shaka ila polepole kutokana na heshima zao humu kutokana na michango yao makini wataanza kupigia mafisadi upatu bila watu wengi humu kujua na kutokana na ukweli kuwa Jf inaushawishi mkubwa,hii sumu itaenea kwa vyombo vingi vya habari tunavyoviamini.hii vita vya ukombozi wa kweli si ndogo na bila makamanda waliojitoa mhanga mwanzo mwisho tutasalimu amri bila kujua ndio tunajisalimisha tunyongwe na si kuhurumiwa! TANZANIA KWANZA DAIMA!
 

Naushauri huu kwako na kwa huyo Lowasa unayemleta hapa kwetu......

  1. Nadhani umeingia humu JF bila kupiga hodi,uwezo mdogo wa kusoma majira,wakati na nyakati
  2. Sikulaumu maana nabashiri yawezekana wewe ni mwanachama wa UVCCM tena upo upande wa wendawazimu wenzako akina Shigela na wengine
  3. Watanzania wa sasa sio wa enzi za ndio mzee na upuuzi unaotaka tuuamini,nani asiyemjua EL na skendo zake?
  4. Nakutuma kawaambie umeleta salamu lakini watu hawajaipokea mjipange upya for the next time.....
Nitafute...........
 
[QUOT na weweE=itahwa;1797245]naunga mkono hoja,na ndio anayewatia homa CDM,na ndio maana cdm wakilala wakiamka ni lowasa,huyu jamaa akisimama chadema chali coz lowasa anajua siasa za kisasa,ni msomi na ni msikivu na si mropokaji kama padri slaa! sasa wanachofanya cdm ni kumchafua kwa kashfa ambazo hawawezi kuthibitisha,wanabase kwenye rumours only! cdm need to be realistic with people na waambie sera zao na mipango yao,politics of critizing others imeshapitwa na wakati![/QUOTE]
YAANI NA WEWE UNAKAA NA KUSIMMULIA WANAO KUWA UNA AKILI AU HUWA UNAITWA BABA , USELESS MAN, LOWASA NI MWIZI NA WEWE NI KUWADI WAKE , HASAFISHIKI HATA KWA ACID NDUGU YANGU LABDA KWENU NYIE KAMA AKINA MILLYA ,BACHE NA WAJINGA WAJINGA WENGINE KAMA WEWE, WANJF HIVI NI RASMI KILA MTU ACHANGIE HOJA HUMU HATA KAMA HUJUI KINACHOENDELEA, MIMI NAFIKIRI HAPA PAMEKUWA NI KIJIWE AMABCHO HATA WENDAWAZIMU KAMA HUYO JAMAA HAPO JUU ANWEZA ONGEA , NA THRED ZISIZO NA MSHIKO MOERATORS MNAZIFUTA MAPEMA KABLA HAZIJATUUDHI NA KUHARIBU MODE ZETU
 
LOWASSA TISHIO?!
Tusiandike kwa mate wakati wino upo:

1972 - 1973 Milambo High School (combi: Swahili, History na English - SHE) Division III

1975 - 1970 University of Dar es Salaam (B.A. Theatre Arts "Sanaa ya maigizo") Pass

AMA KWELI TISHIO!

 

Mchafu hachafuki, hawezi chafuliwa wakati mchafu!! labda kusafishwa, hata yeye mwenyewe anajua yu mchafu ndio maana juhudi zake kubwa ni kujisafisha!!!! tena kwa gharama kubwa.
 
Jamani, mtaacha lini ku-champion mijitu mijizi, minyang'anyi, na mifisadi; badala yake mtuletee watu waadilifu wanaoweza kuisaidia nchi yetu?
Dude, stop trying to champion for thief/swindler.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…