Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,952
- 132,549
Wanabodi,
Nimekaa mahali jioni na watu fulani, baada ya mazungumzo haya na yale, jina la EL likaibuka, ikaelezwa kuwa EL is more powerful than JK and that no one can do anything to him. He command highest respect and he is very powerful such that he is untouchable!. Jee ni kweli EL ni stronger, more capable na more powerful than JK?.
NB. Hapa naulizia kuhusu power comand na capabilities, hatuzungumzii issues za ufisadi. Kama hujui lolote kuhusu power, command na capabilities naomba usichangie!.
Pasco.
Ndio nini hiyo? Fafanua basi kidogo mkuu wengine tuliishia kwenye za kata.
Pasco,
Lowassa amekupa nini Mkuu?
Unanifurahisha unapomfagilia.
Umeamua kuuza utu wako kwa bei gani aisee?
Uwezo wa Lowassa kiuongozi is too far compared to kikwete anayeshindwa kufanya hata maamuzi madogomadogo!
Pouwa, ni vipi, ulikuwepo kabla?haswaa!
Hello? Za siku?
Imani bila matendo ni "mfu"Ni kweli ana nguvu sana; kwa wanaomuamini!
Pouwa, ni vipi, ulikuwepo kabla?
nitizame vizuri utanikumbuka chit chat, sema tu nilipata misuko suko ndo nikajikuta nimekuwa hivi.
What happened mkuu?Niliposoma umepigwa ban asubuhi nilijua utakuja kivingine, japo nilikushauri kwenye thread yako fulani kukata rufaa.
Kon..sho
uwezo wa lowassa kiuongozi is too far compared to kikwete anayeshindwa kufanya hata maamuzi madogomadogo!
'Angekuwa na nguvu asingejiuzulu.Mwenye nguvu ni JK aliyebaki madarakani.Ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, who is EL?
Hapa naona nitaambiwa sijui maana ya hiyo "power, command and capabilities"