MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Hivi wanapofika 450 wanaotakiwa hawezi kusimamisha zoezi mpaka awasumbue hao wote? Mbona anaanza kukiuka kanuni kungali mapema hivi? Hiyo ni dalili mbaya. Ni sawa na mtu anayejua uwezo wake wa kula nyama choma ni nusu kilo lakini kwa sababu mwenyeji anampenda hivyo akiweka kilo tano mezani lazima ale zote. Ni ulafi tuu.
Ndio kampeni hizo mkuu! We hujaelewa tu? Wanahisi muda wa kampeni utakua mdogo, ni ujanja tu wanaoutumia kuwalaghai wananchi.