gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,671
Kwa taarifa nilizozipata jana ni kuwa Lowassa kwa sasa amebakiwa na cheo cha mwenyekiti wa bodi ya shule huko Monduli katika vyeo vyote aliwahi kuwa navyo.
Huko chadema hana cheo chochote ila anatoa matamko yanayopaswa kutolewa na viongozi wa chama hicho. Utumishi wa umma ulimshinda, siasa imemshinda, afanye tu biashara zake na Rostam asizidi kujipotezea muda na siasa.
Chadema na team zake zote kama team Lowassa n.k wanamchuna tu wamemfanya shamba la bibi tangu wanazunguka nae ndipo anazidi kupotea.
Fedha alizo nazo ni bora akaanzisha kitu cha maana hata taasisi kama ukumbusho wake ama akasaidia masikini kama TB Joshua atapata Dhawabu na atasamehewa na Mungu.
Pili pili ya shamba ya kuwashia nini , Akothee ft. Diamondplatnumz