Lowassa ni nani CHADEMA?

Lowassa ni nani CHADEMA?

CCM ni wapuuz sana, kwanza tuambie msajili ana maana gani kuwalazimisha kafu kushiriki uchaguzi
 
Ndio mwenye chama, umesahau alinunua chadema
 
Limekuwa swali gumu kujibu. Alitoa tamko kama nani katika CDM? Matusi ndiyo jibu. Hongera CDM mpya nje ya Dr. Slaa.
 
et mada za kitoto. Mwambieni ajitathmini. Viongozi muhimu na maarufu wana heshima ya majina yao kuwa na taasis mbalimbali kama Mkapa, Jakaya Kikwete, yeye atabaki na drycleaner yake kama mbowe na danguro lake.
ukitaja lowassa uzi unajaa kwa kuchangia, kuliko hao wenye vyeo. mm sio mshabiki wake, ila kuna watu wanatetemeka wakisikia jina lake akiwemo alianzisha hii mada!! kama hana chochote kwanini kumuanzishia habari???
 
mnataka tu kula pesa hadi 2020 wala hamtompitisha. Mtiririko wake umeshavurugika na nguvu yake imekwisha hata akianza tena kufanya sherehe na kuchangisha makanisani haitosaidia
Kipimo cha nguvu yake ni nini? Mi nadhani angekuwa hana nguvu bado asingekuwa kwenye vichwa vyenu. Huwezi ukaweka kitu ambacho hakina maana kichwani wakati viko vya maana kibaoo, it means lowasa ni kiungo muhimu sana bado anasumbua bongo zenu yaani kama messi vile. Otherwise mtoeni vichwani mwenu msimzungumzie kabisaaa hapo mtaeleweka.
 
LOWASSA KUWAFUKUZA WATAKAOKWENDA KINYUME NA MAAGIZO YAKE

Lowassa amesema kuwa watakao kwenda kinyume na maagizo yake wataondolewa kwenye nafasi zao,

Naomba tuulizane wananchi maswali machache na tujadiliane,

1. Lowassa ni nani huko CHADEMA maana najua kuwa yeye ni mwanachama mchanga kabisa na wa kawaida ndani ya chama.

2. Nani kampa ruhusa ya kuitisha mkutano ule? Na aliitisha kama nani?

3. Maagizo aliyotoa kwa Ma Meya kayatoa kama nani?

Kwa mara ya kwanza Duniani CHADEMA kinakuwa chama cha kwanza kwa mwanachama wa kawaida kuitisha mkutano na kuwakaripia na kutoa maagizo kwa Viongozi.

Mbowe anapaswa kumuuliza Lowassa ni nani huko CHADEMA na majukumu yake ni yapi kwasasa?
Mbona wewe Fatuma unaingilia yasiyokuhusu? Inakuuma nini? Mbona mna mengi ya kufanya ktk chama chako na hamfanyi? Kweli we Fatuma una mambo ya umbea wa kwenu Tandale. Hata wanawake wenzio siku hizi wameacha umbea na kufuata yasiyowahusu!
 
Back
Top Bottom