LOWASSA KUWAFUKUZA WATAKAOKWENDA KINYUME NA MAAGIZO YAKE
Lowassa amesema kuwa watakao kwenda kinyume na maagizo yake wataondolewa kwenye nafasi zao,
Naomba tuulizane wananchi maswali machache na tujadiliane,
1. Lowassa ni nani huko CHADEMA maana najua kuwa yeye ni mwanachama mchanga kabisa na wa kawaida ndani ya chama.
2. Nani kampa ruhusa ya kuitisha mkutano ule? Na aliitisha kama nani?
3. Maagizo aliyotoa kwa Ma Meya kayatoa kama nani?
Kwa mara ya kwanza Duniani CHADEMA kinakuwa chama cha kwanza kwa mwanachama wa kawaida kuitisha mkutano na kuwakaripia na kutoa maagizo kwa Viongozi.
Mbowe anapaswa kumuuliza Lowassa ni nani huko CHADEMA na majukumu yake ni yapi kwasasa?