ILA NI MTU MAARUFU NA ANAYEHOFIWA NA WENYE MADARAKA KULIKO MTU YEYOTE KWA SASA.
mada za kitoto, wewe una cheo gani?
NDIO SI ANATAKA KUONDOKA NA UHAI WA CHAMA NA MADARAKA YAKE.UJAMBAZI WA HERI HUUjambazi ndiye huhofiwa maana anaweza akaondoka na uhai.
Inaonyesha jins gan maccm mnavyopenda vyeo........bila cheo inawezekana ndo mana kule zanzibar mnakuwa kama Nkurunzinza....lowasa amewaonyesha kuwa sio mchu wa madarakaKwa taarifa nilizozipata jana ni kuwa Lowassa kwa sasa amebakiwa na cheo cha mwenyekiti wa bodi ya shule huko Monduli katika vyeo vyote aliwahi kuwa navyo.
Huko chadema hana cheo chochote ila anatoa matamko yanayopaswa kutolewa na viongozi wa chama hicho. Utumishi wa umma ulimshinda, siasa imemshinda, afanye tu biashara zake na Rostam asizidi kujipotezea muda na siasa. Chadema na team zake zote kama team Lowassa n.k wanamchuna tu wamemfanya shamba la bibi tangu wanazunguka nae ndipo anazidi kupotea.
Fedha alizo nazo ni bora akaanzisha kitu cha maana hata taasis kama ukumbusho wake ama akasaidia masikini kama TB Joshua atapata Dhawabu na atasamehewa na Mungu.
Inaonyesha jins gan maccm mnavyopenda vyeo........bila cheo inawezekana ndo mana kule zanzibar mnakuwa kama Nkurunzinza....lowasa amewaonyesha kuwa sio mchu wa madaraka
Ila issue nikulalamika kuwa lowasa hana cheo ,hiyo ni mentality ya kiccm ,ww mwenyewe upo hapa jf ...ili upate cheo,,,,, shame on you lowasa alishasema yeye anaenda chunga mifugo yake amechoka na vyeo vya kinafiki ,mnawanyonya watanzania tu.....angekuwa hana uchu asingeinunua cdm ili agombee uraisi huo ni uchu na tamaa ya madaraka, mtaka yote kwa pupa....
Kwa haya mliondika hapa sina budi kusema bado anawatesa au maumivu aliyowapa bado hayajaishaKwa taarifa nilizozipata jana ni kuwa Lowassa kwa sasa amebakiwa na cheo cha mwenyekiti wa bodi ya shule huko Monduli katika vyeo vyote aliwahi kuwa navyo.
Huko chadema hana cheo chochote ila anatoa matamko yanayopaswa kutolewa na viongozi wa chama hicho. Utumishi wa umma ulimshinda, siasa imemshinda, afanye tu biashara zake na Rostam asizidi kujipotezea muda na siasa.
Chadema na team zake zote kama team Lowassa n.k wanamchuna tu wamemfanya shamba la bibi tangu wanazunguka nae ndipo anazidi kupotea.
Fedha alizo nazo ni bora akaanzisha kitu cha maana hata taasisi kama ukumbusho wake ama akasaidia masikini kama TB Joshua atapata Dhawabu na atasamehewa na Mungu.
Ila issue nikulalamika kuwa lowasa hana cheo ,hiyo ni mentality ya kiccm ,ww mwenyewe upo hapa jf ...ili upate cheo,,,,, shame on you lowasa alishasema yeye anaenda chunga mifugo yake amechoka na vyeo vya kinafiki ,mnawanyonya watanzania tu.....
Kwa haya mliondika hapa sina budi kusema bado anawatesa au maumivu aliyowapa bado hayajaisha
Halafu kilasiku ni lowasa huchoki ,unataman awe mumewako nn ?? ila faham kuwa lowasa anamke na ameoa ndo ya kikristo ,hahitaji mke wa pili kama umekosa mume wa kukuridhisha hapo lumumba polehao ng'ombe alizaliwa nao? Amejilimbikizia vya kutosha ndo maana anapaswa kurudisha kwa masikini. Alitafuta sana uraisi kwa udi na uvumba maana ndicho cheo pekee alitamani akifikie ila hana sifa. Usimsemee kwa kauli ile ya sungura ''sizitaki mbichi hizi"
Mtoa mada namashaka na iQ yako...ujielewi upuuzi
Halafu kilasiku ni lowasa huchoki ,unataman awe mumewako nn ?? ila faham kuwa lowasa anamke na ameoa ndo ya kikristo ,hahitaji mke wa pili kama umekosa mume wa kukuridhisha hapo lumumba pole
Ila uache kumfuata mume wa mtu huyo...kila ukiamka lowasa ,,,, ameoa usijipendekeze ,,, Kama hawakutoshelez hapo lumumba pole sanakwani sasahv anasikika tena? Chale kifo cha mende!
Kwa hiyo mbowe azuie kusiwepo na changudoa disco kwake ,changudoa ambao wengine polisi ndio wateja wao?et mada za kitoto. Mwambieni ajitathmini. Viongozi muhimu na maarufu wana heshima ya majina yao kuwa na taasis mbalimbali kama Mkapa, Jakaya Kikwete, yeye atabaki na drycleaner yake kama mbowe na danguro lake.