Lowassa ni mwepesi mno: Amezoea kushindwa

Lowassa ni mwepesi mno: Amezoea kushindwa

Watanzania tulishaamua hatukaki mafisadi waingie ikulu...kelele zote zinatoka kwa kumdi la mafiasid wenzie na vijana walionunuliwa ili kumpigia debe kwani siri?

Usiwaamulie watu as if we ndio msemaji wa wananchi wa Tanzania,october watanzania ndio wata amua,then tutaona mnaweka wapi sura zenu.
 
lowasa hana kipaji cha uongozi ila anakipaji cha uongo.
Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu.
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana
 
Haaa haaa aisee Pasco kweli una roho ngumu kama ya Paka.
 
Last edited by a moderator:
Usiwaamulie watu as if we ndio msemaji wa wananchi wa Tanzania,october watanzania ndio wata amua,then tutaona mnaweka wapi sura zenu.

Na ww ni mtz bahati mbaya una ukakasi kwenye akili yako ndo maana huna hisia na mabadiliko!
 
Na ww ni mtz bahati mbaya una ukakasi kwenye akili yako ndo maana huna hisia na mabadiliko!

Kwa jinsi unavyo shupalia ku argue kitu usicho kielewa ndio unavyo onyesha how ignorant u r,watz wa sasa sio wajinga wakulishwa maneno ya uongo na wao wakaamini,watz wataamua wenyewe ni kiongozi gani wanamtaka na the good thing washajua ni kiongozi wa aina gani wanamuhitaji 2015.
 
Narudia maana niliwahi kuandika hapa, mkimkata tu UKAWA wanambeba, maana kaskazini tunautaka urais kwa nguvu zote.
Pamoja na hilo kauli ya Baba wa Taifa "mpinzani wa kweli atatoka ccm" ndiyo inatembelewa by the way.
 
Kwa jinsi unavyo shupalia ku argue kitu usicho kielewa ndio unavyo onyesha how ignorant u r,watz wa sasa sio wajinga wakulishwa maneno ya uongo na wao wakaamini,watz wataamua wenyewe ni kiongozi gani wanamtaka na the good thing washajua ni kiongozi wa aina gani wanamuhitaji 2015.

lowasandiye aliyetuletea na kushinikiza kampuni feki ya Richmond ambayo haikuwa nauwezo kifedha, kitechnojia wala uzoefu wala mtaji wala haikua na ofisi.Alilazimisha kuwapa zabuni. Kwa mujibu wake na nyie wahuni wenzake hayoyalikuwa maamuzi magumu....ALILAZIMISHA TZ KUINGIA KWENYE MKATABA WAKIHUNI KWAMASLAHI YAKE yeye lowasa na mapacha wake wawili.
KIFUPI lowasa ANA UJASIRI WA KIFISADI. Wewe huwezi jua kwa nnaliufyatakuzungumzia hili sakata wakati aliahidi.YEYE MWENYEWE HAWEZI KULIKANANA HAWEZIKUJISAFISHA.

 
Ukimtazama na kumsikiliza Edward Ngoyai Lowassa unaweza kunibishia. Ukimtazama na kumsikiliza tena Lowassa utaniamini. Ukimtazama na kumsikiliza Lowassa kwa mara ya tatu, hutatamani kumtazama na hata kumsikiliza mara nyingine. Ni msanii kwelikweli. Lowassa anajipambanua kama dawa ya umaskini wa Tanzania. Ameshindwa vibaya kuuondoa umaskini wa Monduli tu aliyoiongoza kwa miaka 25 kama Mbunge.

Lowassa anapokaririwa akisema kuwa ndani ya CC na NEC hakuna wa kukata jina lake unaweza kumuamini. Anajichora kama mpambanaji na shujaa hasa. Anajichora kama mwenye misuli imara chamani na asiyezuilika. Mtazame tena Lowassa na utabadili mtazamo wako. Lowassa amejaa woga na kutojiamini. Ndiyo maana anashtukiashtukia. Anacheza filamu ya takwimu wakati wenzake wamesharejesha fomu na fomu zimeanza kuchambuliwa! Ameshindwa mapema.

Kulipokuwa na fukuto la ufisadi katika Jengo jipya la UVCCM, Lowassa aliingia kwenye mpambano na Nape Nnauye. Lowassa akiwa Waziri Mwandamizi Serikalini na mmoja wa wanabodi ya Udhamini ya UVCCM,Nape alikuwa kijana mdogo na mchanga ndani ya UVCCM. Nape alimpeleka puta Lowassa na kumlaza macho. Lowassa, kwa sisi wachambuzi,alishindwa na Nape.

Mwaka 2008, Lowassa aliingia tena ulingoni kupambana na Dr.Harrison Mwakyembe akiwa na Kamati yake teule ya Richmond. Hapa Lowassa alipigwa KO na kuishia kulalama na kulialia kutafuta huruma. Akasingizia kuwa Uwaziri Mkuu ndiyo uliolengwa. Angekuwa mpambanaji angepambana. Hata PM Pinda anamzidi. Pinda amebaki imara pamoja na Operesheni Tokomeza, Operesheni Kimbunga na Escrow.

Kwenye uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki (baada ya kifo cha Hayati Jeremiah Sumari), Lowassa alipanda tena ulingoni. Safari hii alikuwa kichama zaidi. Aliongoza kampeni za mgombea wa CCM na pia ni mkwewe, Sioyi Sumari. Akiwa katika uwanja wa nyumbani-karibu kabisa na Monduli, Lowassa aligaragazwa na kijana wa miaka 25 toka CHADEMA,Joshua Nassari aka Dogo Janja.

Sitaki kutaja kushindwa kwake kununua mvua za kutengeneza Thailand na hata Shule za Kata. Nataka mumtazame na kumsikiliza tena Lowassa halafu mshuhudie usanii wa mtangaza nia huyu. Chamani, Lowassa ni mwepesi na ameshazoea kushindwa. Hana upekee wowote na atayapokea matokeo yoyote Julai 12.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam.
Umesahau jaribio la Lowassa kumleta Batilda Burian agombee ubunge Arusha mjini alivyotandikwa na kahuni tu ka mtaani Yaani KeLema
 
Na ukikaza macho na kumtizama sawia machoni pake utagindua kuwa hili analijua fika. Kwa taratibu za chama lazima amalizie mchakato kwa kuwakabidhi chama "WENYEWE"

kiukweli ukichunguza vizuri, utagundua ni mtu aliyekata tamaa na taratibu za ndani, hivyo analazimisha mambo nje ya taratibu za chama.
 
Imetosha sasa! Baasi! Kila kitu lowassa! Hamuoni watia nia wote 37 waliobaki? Mnawashwaa!
 
ikifika hiyo julai 12 ndio mtaamini kwamba lowasa ni rais ajaye wa taifa hili so hamna haja ya kuanza kubwabwaja bwabwaja tusubiri muda utasema tu just few days left

Leo ndiyo leo asiye mwana aeleke jiwe
 
Kuna wakati Mungu akipanga mambo yake, huwafanya watu mioyo yao iwe migumu, ili kujidhihirisha utukufu wake kwao!. Mimi sizungumzii Julai 12, bali nazungumzia October 25!, hata Musa alipoanza harakati za kuwakomboa wana wa Israel, alikutana na vikwazo vingi ikiwemo Mungu kuifanya mioyo yao iwe migumu lakini mwisho wa siku, utukufu wake ulijidhihirisha wazi!.

Kwa Tanzania, huu ni mwaka wa lile "Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!"

"Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!" aliambiwa!.

Pasco

Jiwe la pembeni limekuwa tope la njiani
 

haya ndiyo mambo yanayoniudhi

mara tunaambiwa ohhh tusichanganye DINI na SIASA huku serikali iko involved na mambo ya kidini utafikiri nini sijui

Hii ni mess ya waislam na ATC na probably baraza kuu na Hajj trust sasa waziri mkuu anahirisha mambo muhimu ya serikali ili ili awaccomodate waislam

Najua ni un popular opinion humu JF lakini huu ni unafiki wa hali ya juu kabisa

sitoshangaa serikali ikaanza kutumia kodi za wasio waislam na wasio na dini ili kuwafurahisha hawa watu


Ukiweza kujibu Lowasa ameshindwaje kuingia tano bora , hapo utakua umepata jibu kabla hujajibiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom