Lowassa ni mwepesi mno: Amezoea kushindwa

Lowassa ni mwepesi mno: Amezoea kushindwa

"Anacheza filamu ya takwimu wakati wenzake wamesharejesha fomu na fomu zimeanza kuchambuliwa! Ameshindwa mapema." HAPO UMESEMA MKUU. Yupo busy kuaminisha uma wa Tanzania kuwa anakubalika sana across the Nation. Na yeye kuamini kufanya hivyo ni kuwaingizia woga watia nia wenzake. Yeye alikuwa miongoni mwa watia nia wa mwanzo kabisa lkn sasa anakuwa wa mwisho kurudisha fomu.
Na kosa kubwa alifanyalo sasa ni kugeuza zoezi Zima la kutafuta wadhamini kuwa ni kufanya kampeni. Itamkosti hii
 
ikifika hiyo julai 12 ndio mtaamini kwamba lowasa ni rais ajaye wa taifa hili so hamna haja ya kuanza kubwabwaja bwabwaja tusubiri muda utasema tu just few days left
Labda amlithi Malinzi awe Rais wa TFF kwani Team yake ya matumaini FC inapigwa mabao kila siku.
 
Kuna wakati Mungu akipanga mambo yake, huwafanya watu mioyo yao iwe migumu, ili kujidhihirisha utukufu wake kwao!. Mimi sizungumzii Julai 12, bali nazungumzia October 25!, hata Musa alipoanza harakati za kuwakomboa wana wa Israel, alikutana na vikwazo vingi ikiwemo Mungu kuifanya mioyo yao iwe migumu lakini mwisho wa siku, utukufu wake ulijidhihirisha wazi!.

Kwa Tanzania, huu ni mwaka wa lile "Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!"

"Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!" aliambiwa!.

Pasco
Pasco una roho ya paka! nimekuinulia mikono mkuu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ushindi wa Kikwete lipatikana kwa mbinu ya chinichini. Watanzania wengi hawakja kwa Kikwete tang aliposhindwa aliendelea kpambana chini chini. Vyombo vya habari vilivyotmika kuwabomowa wapinzani wake havikjlikana kwa umma. Kila kilichoandikwa dhidi ya wapinzani wake kilichuukliwa kwa ni cha kweli. Ubaya wa Kikwete ulifichwa na vyombo vya habari vilivyokla yamini pamoja na rushwa kmlinda.
Mbinu hizi sasa si mpya machoni na masikioni mwa watanzania. Vyombo vya habari vilivyonunuliwa kumpamba Lowasa vinashitukiwa. Lowasa anatumia mbinunu zile zile zilizokwisha shitukiwa. Anatumia uwanja ule ule wa mapambano na wapambe walewale. Wapambe wengine walikuwemo kwenye mtandao wa JK sasa wamekua adui si wamoja tena hivyo wanatoa siri za mapambano kwa adui yao ambaye awali alikuwa mpambanaji mwenzao kwenye mtandao mmoja. JK ambaye alikuwa mwenye mtandao pamoja na Lowasa sasa anaangaliwa vizuri na jamii asitumie urais wake ili kumnufaisha rafiki yake Lowasa. Kibaya zaidi Kikwete hajafanya vizuri kuwafurahisha watanzania ili wauone uzuri wa mtandao uliomwingiza madarakani. Watanazania wasikuwa kwenye mtandao wanajuta kumchagua JK. Kwa kuwa hajafanya vizuri hana kauli ya kimamlaka ya kuwaaminisha watanzania wamchague nani atayefanya vizuri kama alivyofanya yeye. Pengine kutegemea kauli yake ni kama kujifedhehesha.
Kikwete aliingia kwa nguvu hivi hivi lakini tofauti yake na huyu ni kuwa Kikwete hakuwa amechafuka kama huyu.
 
Ni Mzuri Tena Sana. Lakini Si Nje Ya "Mission Town Deals .." na Ubabe Ubabe Wa Miaka Ya 70 Kupandisha Mori Wa Kimasai.

Muda Umemuacha Sana.

Kupandisha Mori Enzi Hizi Za Smartphone .. Wapi Kwa Wapi. Jina Halipiti Na Mori Wake Utatumika Kama Samadi Ya Kuoteshea Na Kukuza Maua Waridi Yenye Harufu Safiii Kuupamba Uongozi Mpya Tanzania Bila Lowasa. Hili Halina Ubishi.
 
lowasa ni fisadi ,hao wafanyabiashara wanaomdhamini baadae hawatalipa kodi, future ya vijana wa tanzania itakuwa mashakani zaidi kama lowasa atatumia pesa yake kuingia ikulu

Na kwa kuwa ni kipindi cha chama tawala kujisafisha kwa nguvu kidogo tu ya kusogeza EL kando na kuwakabidhi wakulima na wafanyakazi chama chao .. Hoja yako inahitaji kuzingatiwa.
 
Lowasa kwa mtu yeyote makini, ukimwangalia ni mtu aliyeshindwa hata kabla ya mchuano kuanza.

Na ukikaza macho na kumtizama sawia machoni pake utagindua kuwa hili analijua fika. Kwa taratibu za chama lazima amalizie mchakato kwa kuwakabidhi chama "WENYEWE"
 
Naunga mkono hoja...lowasa ni mwepesi zaidi ya unyoya akipulizwa tu anadondoka kuleee. Kimsingi hawezi hata kujenga hoja na hii inaonyesha hata wapambe wake ni weupe kichwani.
 
Kuna wakati Mungu akipanga mambo yake, huwafanya watu mioyo yao iwe migumu, ili kujidhihirisha utukufu wake kwao!. Mimi sizungumzii Julai 12, bali nazungumzia October 25!, hata Musa alipoanza harakati za kuwakomboa wana wa Israel, alikutana na vikwazo vingi ikiwemo Mungu kuifanya mioyo yao iwe migumu lakini mwisho wa siku, utukufu wake ulijidhihirisha wazi!.

Kwa Tanzania, huu ni mwaka wa lile "Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!"

"Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!" aliambiwa!.

Pasco

Mimi sikupuuzi kabisa. Hukumalizia Mstari Wa Mwisho Kuwa Atakuwa Na Chama La ZZK. Hili halipingingi.
 
"Anacheza filamu ya takwimu wakati wenzake wamesharejesha fomu na fomu zimeanza kuchambuliwa! Ameshindwa mapema." HAPO UMESEMA MKUU. Yupo busy kuaminisha uma wa Tanzania kuwa anakubalika sana across the Nation. Na yeye kuamini kufanya hivyo ni kuwaingizia woga watia nia wenzake. Yeye alikuwa miongoni mwa watia nia wa mwanzo kabisa lkn sasa anakuwa wa mwisho kurudisha fomu.
Na kosa kubwa alifanyalo sasa ni kugeuza zoezi Zima la kutafuta wadhamini kuwa ni kufanya kampeni. Itamkosti hii

Hivi yeye mpaka sasa hajarudisha form? Au anatafuta wadhamini africa nzima..
Ajiandae kisaikolojia
 
ikifika hiyo julai 12 ndio mtaamini kwamba lowasa ni rais ajaye wa taifa hili so hamna haja ya kuanza kubwabwaja bwabwaja tusubiri muda utasema tu just few days left

Hawakuelewi na kukuamini. Najitofautisha Ni President tofauti na Mimi Prezident kwa kuwa ZZK atamuachia hadi umri wa kijana utimie. Ulichokosea ni kuwa Si Uchaguzi Wa Mwaka Huu. Na Tatizo La Pili ... ! Itawezekana vipi uchaguzi wa miaka 5 ijayo.? Si bishi kwani Afya inayotokana na Mwenyezi Mungu Si kama ya Vidonge toka Ujerumani Magharibi.
 
Kwa Tanzania, huu ni mwaka wa lile "Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!"

"Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!" aliambiwa!.

Pasco

Dah Pasco I used to hate huu mfano wako,lakini siku hizi nakuelewa sana.Watu hawataamini kile kinachokwenda kutokea,mimi nimejiandaa kisaikolojia,nisije kufa kwa pressure bure.
 
Last edited by a moderator:
Ni mwepesi kuiba ndio sasa akipitishwa anamiliki hata benki zote
 
Dah Pasco I used to hate huu mfano wako,lakini siku hizi nakuelewa sana.Watu hawataamini kile kinachokwenda kutokea,mimi nimejiandaa kisaikolojia,nisije kufa kwa pressure bure.

Haya maadalizi yafanywe na wote bila mimi kujiweka kando. Na nikisisitiza hata "Mzee" Mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Haya maadalizi yafanywe na wote bila mimi kujiweka kando. Na nikisisitiza hata "Mzee" Mwenyewe.

Mkuu kwa CCM wanaweza kufanya Unthinkable,wakati sote tunaona hii haifai,wao watajifungia huko Chimwaga,watakuja na yao tofauti kabisa for the sake ya Chama na sio kwa manufaa ya Taifa.
 
Waamuzi wa mwisho ni watanzania.
Watanzania tulishaamua hatukaki mafisadi waingie ikulu...kelele zote zinatoka kwa kumdi la mafiasid wenzie na vijana walionunuliwa ili kumpigia debe kwani siri?
 
vita imehamia huku,kweli mwaka hu kara yangu itawatoa jasho,sina njaa wala sina chama nahitaji mgombea ambae ukimuangalia tu na ukafuatilia historia yake kwa yale aliyoyatenda na yale anayoahidi kuna uwiano na sura yake na mwenendo wake....huyu si mgeni bali mimi na wewe hatumfaham
 
Back
Top Bottom