VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
- Thread starter
- #61
Mmeniamini?
Mzee Tupatupa
Mzee Tupatupa
Vipi R.B umerudi lini kutoka Tabora.....?
Kuna wakati Mungu akipanga mambo yake, huwafanya watu mioyo yao iwe migumu, ili kujidhihirisha utukufu wake kwao!. Mimi sizungumzii Julai 12, bali nazungumzia October 5!, hata Musa alipoanza harakati za kuwakomboa wana wa Israel, alikutana na vikwazo vingi ikiwemo Mungu kuifanya mioyo yao iwe migumu lakini mwisho wa siku, utukufu wake ulijidhihirisha wazi!.
Kwa Tanzania, huu ni mwaka wa lile "Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!"
"Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!" aliambiwa!.
Pasco
Pasco una roho ya paka! nimekuinulia mikono mkuu!!!!!
Haaa haaa aisee Pasco kweli una roho ngumu kama ya Paka.
Mkuu hapo sio issue ya roho ya paka bali ameamua makusudi kujitoa ufahamu na mwisho wa siku ateenda kunywa nae chai uraisi ng'o hata ungesema kwenye kumi bora hayumo.
Mimi sikupuuzi kabisa. Hukumalizia Mstari Wa Mwisho Kuwa Atakuwa Na Chama La ZZK. Hili halipingingi.
Dah Pasco I used to hate huu mfano wako,lakini siku hizi nakuelewa sana.Watu hawataamini kile kinachokwenda kutokea,mimi nimejiandaa kisaikolojia,nisije kufa kwa pressure bure.
Ni katika kukumbushana tuu, tulisema nini!, tarehe 25 October, tutaheshimiana tuu!.Jiwe la pembeni limekuwa tope la njiani
Lowasa kwa mtu yeyote makini, ukimwangalia ni mtu aliyeshindwa hata kabla ya mchuano kuanza.
Ukimtazama na kumsikiliza Edward Ngoyai Lowassa unaweza kunibishia. Ukimtazama na kumsikiliza tena Lowassa utaniamini. Ukimtazama na kumsikiliza Lowassa kwa mara ya tatu, hutatamani kumtazama na hata kumsikiliza mara nyingine. Ni msanii kwelikweli. Lowassa anajipambanua kama dawa ya umaskini wa Tanzania. Ameshindwa vibaya kuuondoa umaskini wa Monduli tu aliyoiongoza kwa miaka 25 kama Mbunge.
Lowassa anapokaririwa akisema kuwa ndani ya CC na NEC hakuna wa kukata jina lake unaweza kumuamini. Anajichora kama mpambanaji na shujaa hasa. Anajichora kama mwenye misuli imara chamani na asiyezuilika. Mtazame tena Lowassa na utabadili mtazamo wako. Lowassa amejaa woga na kutojiamini. Ndiyo maana anashtukiashtukia. Anacheza filamu ya takwimu wakati wenzake wamesharejesha fomu na fomu zimeanza kuchambuliwa! Ameshindwa mapema.
Hakuna Mwepesi Kama Wewe Kilaza Wa Lumumba, Mwambie Na Huyo Wa Uenezi Na Itikadi Aandae Nchi Ya Kukimbilia, Na Diplomatic Pass Yake Kabla Haijachukuliwa
Ni katika kukumbushana tuu, tulisema nini!, tarehe 25 October, tutaheshimiana tuu!.
Pasco
Labda kashindwa tu kukodi wasanii wa kila rangi ili kuwashawishi watu kuja kwenye mikutano yake, lakini vinginevyo TIME WILL TELL.