Lowassa ndani ya Scoan tv

Status
Not open for further replies.
Mwache akasafishe Nyota yake kwa T.B Joshua...maana magamba wanataka kumchinjia baharini
 
Umerudi tena?labda baada ya kuona utabiri aliopewa na T B Joshua unataka kuota mbawa.
 
Ampigie magoti Mungu wake, make tumeahidiwa ufalme mwema mbinguni kwa Baba. Asing'ang'ane na vya kaisali tu kwani DUNIANI tunapita!
 
Hii nchi sijui ikoje kila mara lowasa lowasa,who is lowasa mwisho hata akijamba kuna majitu yatakuja humu ndani kusema lowasa leo kajamba, tufanye yetu na yeye afanye yake mtoa post akili ina pilipili
 
Ungekuwa wewe tusingekujadili kwa kuwa wewe huhitaji urais.
Yeye anautaka urais lazima tujue mwenendo wake kwa kuwa anataka kutuongoza.
ikikuchefua usichangie.
 
Ukiiba pesa za masikini lazima uanze kuweweseka, utubu. Na bado mpaka arudishe hizo hela fisadi mkubwa huyu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom