Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Ni kweli amefanya jambo jema kumkimbilia Mungu
.............Nigeria !???
Ni kweli amefanya jambo jema kumkimbilia Mungu
May be Mr Muddy...........na Jesus alipopiga magoti kuomba kikombe kimuepuke, who was the Holy One in front of him !???
Ni kweli amefanya jambo jema kumkimbilia Mungu
Hii nchi sijui ikoje kila mara lowasa lowasa,who is lowasa mwisho hata akijamba kuna majitu yatakuja humu ndani kusema lowasa leo kajamba, tufanye yetu na yeye afanye yake mtoa post akili ina pilipili
...........na Jesus alipopiga magoti kuomba kikombe kimuepuke, who was the Holy One in front of him !???
.............Nigeria !???
Mungu sio lazima akimbiliwe Nigeria
hebu wacho jotro hasira na the comin presidah,utakufa na puresha bure!Hii nchi sijui ikoje kila mara lowasa lowasa,who is lowasa mwisho hata akijamba kuna majitu yatakuja humu ndani kusema lowasa leo kajamba, tufanye yetu na yeye afanye yake mtoa post akili ina pilipili
.............Nigeria !???
Hii nchi sijui ikoje kila mara lowasa lowasa,who is lowasa mwisho hata akijamba kuna majitu yatakuja humu ndani kusema lowasa leo kajamba, tufanye yetu na yeye afanye yake mtoa post akili ina pilipili
Kwa hiyo uyo TB joshua ndo mpiga ramli wa huyu waziri aliyeachia ngazi kwa aibu kwenye kashfa ya richmond?
labda marehemu mudi
sawa kabisa wamwache amwabudu mungu.