Hivi si walisema kwake Dar amezingirwa hakuna kutoka amepitaje au ulikuwa ni uvumi tuWatu ni wengi sana huku kwake wamekuja kumpokea kila mtu anabendela ya CHADEMA, wanabodaboda wameweka bendera za CHADEMA kwenye pikipiki na boshori za CHADEMA. Mzee anajiandikisha kwenye kituo cha ngarashi. Watu wanashauku kujua ataongea nini.
Picha baadae
Bila picha?
Sasa cdm na Lowassa wapi na wapi?aisee