Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,716
angali msimamo wangu kuanzia fisadi ahamie chadema utanielewa!
sina rangi mbili mimi!

Kuna theory nyingi sana kuhusiana na ugombea urais mwaka 2015, zote zinalenga katika majina makubwa ya Wanaccm wanaoutaka urais.
Kuna watu wanasema Lowassa akikosa kupitishwa na CCM kugombea urais, basi atahamia CHADEMA na kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Pia Sumaye kwa upande mwingine, akishindwa huko CCM, atajiunga CHADEMA na kugombea urais au ataiunga mkono CHADEMA.
Haijalishi nini kitatokea CCM, lakini msimamo wa wananchi waliochoshwa na CCM na Wanachadema ni mmoja tu. Hakuna kushiriki meza moja na mafisadi!
Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!
CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
Mkuu heshima kwako sana, sisi tulipiga kelele sana juu ya kupokea mafisadi, tuliishia kuitwa buku 7 na Lumumba. Leo hii lichama linajifia kifo cha kawaida,inauma sana nchi kukosa upinzani.Kuna theory nyingi sana kuhusiana na ugombea urais mwaka 2015, zote zinalenga katika majina makubwa ya Wanaccm wanaoutaka urais.
Kuna watu wanasema Lowassa akikosa kupitishwa na CCM kugombea urais, basi atahamia CHADEMA na kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Pia Sumaye kwa upande mwingine, akishindwa huko CCM, atajiunga CHADEMA na kugombea urais au ataiunga mkono CHADEMA.
Haijalishi nini kitatokea CCM, lakini msimamo wa wananchi waliochoshwa na CCM na Wanachadema ni mmoja tu. Hakuna kushiriki meza moja na mafisadi!
Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!
CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
Kuna theory nyingi sana kuhusiana na ugombea urais mwaka 2015, zote zinalenga katika majina makubwa ya Wanaccm wanaoutaka urais.
Kuna watu wanasema Lowassa akikosa kupitishwa na CCM kugombea urais, basi atahamia CHADEMA na kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Pia Sumaye kwa upande mwingine, akishindwa huko CCM, atajiunga CHADEMA na kugombea urais au ataiunga mkono CHADEMA.
Haijalishi nini kitatokea CCM, lakini msimamo wa wananchi waliochoshwa na CCM na Wanachadema ni mmoja tu. Hakuna kushiriki meza moja na mafisadi!
Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!
CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
Sasa hivi Lowassa Na Sumaye wako wapi mangi?Kuna theory nyingi sana kuhusiana na ugombea urais mwaka 2015, zote zinalenga katika majina makubwa ya Wanaccm wanaoutaka urais.
Kuna watu wanasema Lowassa akikosa kupitishwa na CCM kugombea urais, basi atahamia CHADEMA na kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Pia Sumaye kwa upande mwingine, akishindwa huko CCM, atajiunga CHADEMA na kugombea urais au ataiunga mkono CHADEMA.
Haijalishi nini kitatokea CCM, lakini msimamo wa wananchi waliochoshwa na CCM na Wanachadema ni mmoja tu. Hakuna kushiriki meza moja na mafisadi!
Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!
CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
Bado unawapinga Lowassa Na Sumaye?Mkuu bado tupo na tuna msimamo ulelule wa kuupinga ufisadi katika mavazi yake yote!
Mwanakijiji we ulibadilika kisa ukabila, yaa usukuma wa magufuli ulikufanya umkatae lowassa, lakin angegombea membe usinge mpinga lowassa , chezea bilion wewwMsimamo huu wengine tumeendelea nao na nawashukuru na kuwapongeza wale wote ambao hawakuwa tayari kusalimu amri na kucompromise on this fundamental principle!!
sanamuda ni mali
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Mbowe ameshazilaPole CHADEMA tamaa ilimponza fisi. Ndoano imewakaba shingoni. Rudisheni bilioni 10 za mzee yaishe.
Sent from my SM-J100F using JamiiForums mobile app
nomaonce named a fisadi turns to be a hero!
Hakuna atakayekubali au kuelewa!
bado tupogo mzeeThread zingine ukizisoma unabaki kucheka!
Kinachoshangaza zaidi, majina ya waliotoa comment pamoja na mleta thread kwa sasa yamepotea hapa Jamiiforums! Wamezaliwa upya na ID mpya!
True heroes wanaonekanaMsimamo huu wengine tumeendelea nao na nawashukuru na kuwapongeza wale wote ambao hawakuwa tayari kusalimu amri na kucompromise on this fundamental principle!!