Lowassa na Sumaye hamna nafasi CHADEMA

Lowassa na Sumaye hamna nafasi CHADEMA

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,829
Kuna theory nyingi sana kuhusiana na ugombea urais mwaka 2015, zote zinalenga katika majina makubwa ya Wanaccm wanaoutaka urais.

Kuna watu wanasema Lowassa akikosa kupitishwa na CCM kugombea urais, basi atahamia CHADEMA na kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Pia Sumaye kwa upande mwingine, akishindwa huko CCM, atajiunga CHADEMA na kugombea urais au ataiunga mkono CHADEMA.

Haijalishi nini kitatokea CCM, lakini msimamo wa wananchi waliochoshwa na CCM na Wanachadema ni mmoja tu. Hakuna kushiriki meza moja na mafisadi!

Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!

CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
 
Ya lini hii

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
ha ha ha ha....meninjitis!!!
 
akili za chadema bhana chadema sio chama cha wananchi ni saccoss ya mbowe
 
hii nayo kokoro

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Pole CHADEMA tamaa ilimponza fisi. Ndoano imewakaba shingoni. Rudisheni bilioni 10 za mzee yaishe.

Sent from my SM-J100F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom